Dozi ya Goli 5 za Yanga ni kama keki ya Birthday,kila mualikwa lazima aonje

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,151
Kwa wale wote waliwahi kuzionja goli 5 kutoka kwa Young Africans bila shaka watakuwa wanauelewa utamu wake namna ulivyo!

Kama ulikula keki vipande 5 na bado hukuridhika,basi usiwe na shaka wewe jiandae na Birthday nyingine lazima utakula na utashiba!

Kazi ya Yanga ni kuhakikisha kila mualikwa lazima aionje keki atake asitake!

KOLO alikula vipande 5 lakini ajabu amebaki kuwaonea waalikwa wenzie wivu nao wakila vipande Vi - 5 kama yeye!.

Huu wivu umeanza lini ndugu zangu wa UKOLOKOLONI?
 
Back
Top Bottom