Yanga yatoka rasmi mashindano ya CAF, hakuna muujiza utaweza kuwasaidia

View attachment 2906369

Mechi za Yanga zilizobaki

Yanga vs CR Belouzidad - Nyumbani
Al Ahly vs Yanga - Ugenini

Mechi za CR Belouzidad

Yanga vs CR Belouzidad
CR Belouzidad vs Medeama SC

Hata Yanga akimfunga Belouzidad ni lazima afunge goli 3, Belouzidad wakiwa nyumbani kwao wana mechi dhidi ya vibonde wa kundi zikipungua sana ni moja, sioni yanga akitoboa mbele ya Al Ahly huko Misri
Ndio madhara ya kupenda midako na rede halafu mpira mnalazimisha kuupenda ukubwani.

Yanga anahitaji kushinda hata goli moja tu dhidi ya CRB na atoe sare mechi na Al Ahly moja kwa moja anafuzu kwasababu hatolingana point na CRB. Yanga inahitaji point 4 tu ambazo katika hizo point 4, point 3 azichukulie kwa CRB anafuzu moja kwa moja haijalishi kafunga magoli mangapi bali itamfanya awe na point 9 zisizoweza kufikiwa na CRB
 
Yanga anaweza kupita, goli 3 zinawezekana kabisa. Anahitaji huo ushindi tu, kwani wakiwa point sawa head to head itatumika baina yao kuona katika yake na CR nani kachukua point nyingi kwa mwenzake, ikiwa sawa magoli yatachukua nafasi.
Ili Yanga ifuzu inabidi waipige CR Belouzidad kono la nyani (bao tano) maana kuna dozi inawasubiri Misri kwa Al Ahly, na hapo waombee Belouzidad akiwa nyumbani kwao dhidi ya vibonde wa kundi ashinde goli tatu tu kwa timu ambayo imepigwa tatu ugenini kwa Yanga na Al ahly.
 
Ndio madhara ya kupenda midako na rede halafu mpira mnalazimisha kuupenda ukubwani.

Yanga anahitaji kushinda hata goli moja tu dhidi ya CRB na atoe sare mechi na Al Ahly moja kwa moja anafuzu kwasababu hatolingana point na CRB. Yanga inahitaji point 4 tu anafuzu moja kwa moja haijalishi kafunga magoli mangapi bali itamfanya awe na point 9 zisizoweza kufikiwa na CRB
Sare na Al Ahly ni mutual exclusive ni sawa na mtu aliyeambiwa avae boxer kisha avuke maji ya shingo bila pumb kulowa.

WE utaweza?
 
Sa

Kwaakoli yako Topolo ataweza? Ndo mana msrmaji wao Jana alikuwa abajuhami kuiombe Al ahly ashinfe ugenini
 
View attachment 2906369

Mechi za Yanga zilizobaki

Yanga vs CR Belouzidad - Nyumbani
Al Ahly vs Yanga - Ugenini

Mechi za CR Belouzidad

Yanga vs CR Belouzidad
CR Belouzidad vs Medeama SC

ili Yanga ifuzu hakuna namna inabidi ishinde SIO CHINI YA GOLI 4 dhidi ya CR Belouzidad, ukipunguza hisia za ushabiki utakubaliana nami kwamba Mechi ya Al Ahly sio ya kuipa matumaini, huwa wapo tofauti sana wakiwa kwao, kwa makadirio tukijitahidi wanaweza kutufunga goli mbili.

Belouzidad mechi ya mwisho atacheza nyumbani kwake dhidi ya vibonde wa kundi Medeama SC ambao wamefungwa 3 - 0 mechi zote za ugenini dhidi ya Yanga na Al Ahly, Kwa makadirio si ajabu nao Belouzidad wakijipigia tatu.
Idadi ya wehu inaongezeka kwa kasi nchini Tanzania
 
Ndio madhara ya kupenda midako na rede halafu mpira mnalazimisha kuupenda ukubwani.

Yanga anahitaji kushinda hata goli moja tu dhidi ya CRB na atoe sare mechi na Al Ahly moja kwa moja anafuzu kwasababu hatolingana point na CRB. Yanga inahitaji point 4 tu anafuzu moja kwa moja haijalishi kafunga magoli mangapi bali itamfanya awe na point 9 zisizoweza kufikiwa na CRB
Labda Majini yawasaidie kutoa sare na Al ahly.
 
Sare na Al Ahly ni mutual exclusive ni sawa na mtu aliyeambiwa avae boxer kisha avuke maji ya shingo bila pumb kulowa.

WE utaweza?
Kwani Al Ahly watacheza na wachezaji zaidi ya 11 uwanjani hadi ishindakane? Siku hizi umekuwq mtabiri au umekuwa Mungu unayejua kuwezekana kwa kitu ama lah? Ukisema Yanga hawawezi kupata sare Misri basi bila shaka mchezo wa mpira huujui. Yanga kupata sare Misri ni jambo linalowrsekana kikubwa apambane kwanza kumfunga Belouizdad
 
Ndio madhara ya kupenda midako na rede halafu mpira mnalazimisha kuupenda ukubwani.

Yanga anahitaji kushinda hata goli moja tu dhidi ya CRB na atoe sare mechi na Al Ahly moja kwa moja anafuzu kwasababu hatolingana point na CRB. Yanga inahitaji point 4 tu anafuzu moja kwa moja haijalishi kafunga magoli mangapi bali itamfanya awe na point 9 zisizoweza kufikiwa na CRB
Ukitoa sare na CRB na mechi zenu za mwisho mkashinda ,Yanga na CRB si wote mtafikisha points 9 . Au points 9 zenu zitakuwa na nguvu za majini ?
 
Back
Top Bottom