Yanga kwa kweli wamewafunika Simba 100%

Black BackUp

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
631
1,000
Jamani, jamani, jamani hii Yanga Day Imetisha!

Yanga kweli ni kiboko yao Kwanza imejaza uwanja watu wamefurika mpaka nafasi hakuña wengine wamebaki nje ukilinganisha na Simba day uwanja ulipwaya Sana.

Show ya msanii (harmonise) Latisha namna alivyoingia uwanjani. Kabumbu limepigwa vizuri Sana. Yàani Yanga Wamesajili watu wa ukweli wanapiga kazi show game wanaijua Simba walirukaruka Kama maharagwe kwenye chungu.

Jamani Acheni Yanga iitwe timu ya wananchi
 

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
8,766
2,000
Jamani, jamani, jamani hii Yanga Day Imetisha!!!!!
Yanga kweli ni kiboko yao Kwanza imejaza uwanja watu wamefurika mpaka nafasi hakuña wengine wamebaki nje ukilinganisha na Simba day uwanja ulipwaya Sana.

IMG_1492.jpg

Mambo ya utopolo hayo...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom