Wana Yanga Wenzangu kwa hile tusikubali kwani huenda ikawa ni hujuma kwa Wananchi.

Rajab_Omar

JF-Expert Member
May 15, 2016
16,457
27,104
Habarini Wananchi Wote,

Kufuatia Idara ya uhamiaji kuagiza Timu zote ambazo zimeajiri kocha na Wachezaji wa Kigeni kuwasilisha Majina, Vibali vya kuishi na Vibali vya Kazi kwenye ofisi za Uhamiaji, Munaonaje sisi Timu ya Wananchi tukakataa kupeleka Vibali vya Morrison?
Ikumbukwe kuwa hapo mwanzo walituagiza tupeleke kibali cha kazi cha Morrison ambaye ni mchezaji wetu halali ili wawape Simba lakini sisi Timu ya Wananchi tukakataa!
Sasa wameamua kutumia njia nyengine ili Wananchi tuhujumiwe.
Bora uongozi utamke wazi kuwa hautopeleka jina wala vibali vya Morrison kwenye Ofisi yoyote ile ya Uhamiaji.

#DaimaMbeleNyumaMwiko
#TimuYaWananchi
#Wakimataifa
 
Ishu ya morison ilishaisha ndo maana hata ngao ya jamii alicheza ,na ligi ataanza kucheza kesho kutwa ,Mzee kikwete aliwapa ushauri mzuri ufanyieni kazi zaidi ya hapo mnaonekana wajinga
 
๐Ÿ™Š๐Ÿ™Š๐Ÿ™Š๐Ÿ™Š๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿฆ๐Ÿฆ๐Ÿฆ๐Ÿฆ๐Ÿฆ๐Ÿฆ๐Ÿฆ๐Ÿ•โ€๐Ÿฆบ๐Ÿ•โ€๐Ÿฆบ๐Ÿ•โ€๐Ÿฆบ๐Ÿ•โ€๐Ÿฆบ๐Ÿ•โ€๐Ÿฆบ๐Ÿ•โ€๐Ÿฆบ๐Ÿ•โ€๐Ÿฆบ
 
Habarini Wananchi Wote,

Kufuatia Idara ya uhamiaji kuagiza Timu zote ambazo zimeajiri kocha na Wachezaji wa Kigeni kuwasilisha Majina, Vibali vya kuishi na Vibali vya Kazi kwenye ofisi za Uhamiaji, Munaonaje sisi Timu ya Wananchi tukakataa kupeleka Vibali vya Morrison?
Ikumbukwe kuwa hapo mwanzo walituagiza tupeleke kibali cha kazi cha Morrison ambaye ni mchezaji wetu halali ili wawape Simba lakini sisi Timu ya Wananchi tukakataa!
Sasa wameamua kutumia njia nyengine ili Wananchi tuhujumiwe.
Bora uongozi utamke wazi kuwa hautopeleka jina wala vibali vya Morrison kwenye Ofisi yoyote ile ya Uhamiaji.

#DaimaMbeleNyumaMwiko
#TimuYaWananchi
#Wakimataifa
Mkuu wananchi wanakuchanganya hivyo!? Na wewe tutakuitia Mike Meddie Tyson Kagere akung'oe japo meno ya mbele tu kwanza
 
Ushoga ni kujifanya 'mtu' au jinsia nyingine.! Waache wanayanga wazungumze mambo yao na simba pia. Why ujifanye mtu wa timu nyingine? Ushoga!
 
Ushoga ni kujifanya 'mtu' au jinsia nyingine.! Waache wanayanga wazungumze mambo yao na simba pia. Why ujifanye mtu wa timu nyingine? Ushoga!
 
Jezi za Wananchi zimechapishwa nyingi tu lakini GSM wamegoma kuzitoa mpaka za msimu uliopita ziishe.
Duh,,,kumbe mwenye mamlaka na jezi za Yanga ni gsm sio club ya Yanga?.
Inamaana zisipoisha za mwaka jana atoachia za msimu huu.kweli utopolo ni utipolo tu.
 
mkuu vipi yule mchezaji wetu wa yanga morrison tuliomtambulisha siku ya wananchi mechi ya jumapili dhidi ya tanzania prison atakwepo???

Mkuu tokea Jana Enjenea Hersi anajaribu kumpigia Simu Morrison ili amwambie awepo kwenye mechi yetu na TP lakini Morrison hapokei Simu.
Lakini bado tunaamini Morrison hawezi kutusaliti sisi Wananchi, tutampanga tu kwenye hiyo game na TP huenda akaja japo kipindi cha pili.
 
Duh,,,kumbe mwenye mamlaka na jezi za Yanga ni gsm sio club ya Yanga?.
Inamaana zisipoisha za mwaka jana atoachia za msimu huu.kweli utopolo ni utipolo tu.

Unajifanya hujui kuwa sisi Wakimataifa hatuna hela hata ya kuwalisha Wachezaji mpaka tuchangiwe? Sasa tutawezaje kutengeneza Maelfu ya Jezi za Wananchi pamoja na Wachezaji?
Kwahiyo GSM ndiyo anayedhibiti kila kitu mpaka uzalishaji wa Jezi ndiyomana Jezi zote zipo chiniyake.
 
Back
Top Bottom