Rais Mstaafu Kikwete unapata Faida gani Kujionyesha Wewe ni mwana Yanga SC sana na kuwa na 'Kiherehere' Kuhudhuria Mikutano yao?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa (RIP) alikuwa ni Simba SC "lia lia' ila hakuwa na 'Kiherehere' alichonacho Rais Mstaafu Kikwete kwa Yanga SC.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Mwinyi ni Simba SC 'ndaki ndaki' ila hakuwa na 'Kiherehere' kwa Simba SC kama ulivyo Rais Mstaafu Kikwete.

Mheshimiwa Rais Mama Samia ni Simba SC 'lia lia' kabisa ( japo Mumewe Hafidh Ameir ) ni Yanga SC hasa pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika Ndugai na Naibu wake Tulia nao ni Simba SC wa uhakika, ila huwezi kuwakuta wanakuwa na 'Viherehere' vya Kuhudhuria mara kwa mara Vikao au Mikutano ya Simba SC kama afanyavyo Raia Kikwete.

Hatimaye sasa kutokana na 'Kiherehere' chako cha Kujifanya unaipenda mno Yanga SC na Uongozi wa Yanga SC nao Kukutumia Wewe kama 'turufu' yao ya Kuvutia Wanachama wengi walioichoka Yanga SC Mikutanoni SIRI imefichuka kuwa kumbe Wewe ndiyo Mmiliki ( mwenye Kampuni ya GSM ) ila umeamua 'Kumpandikiza' Gharib na akina Injinia Hersi Said kama 'Kutuzuga' Watu ila Wazee wa Kufukunyua na Kudadisi mambo akina GENTAMYCINE tumezinyaka hizi kwa Watu wa karibu na Uongozi nchini.

Halafu Rais Mstaafu Kikwete sikuona sababu yoyote ile ya Wewe Kumjibu 'Kidharau' na kwa 'Chuki' vile Mtangazaji Ahmed Ally wa Azam TV alipokuwa anakuuliza Maswali ukiwa unaingia Ukumbini kama sehemu yake ya Kutekeleza Wajibu wake kama Mwandishi wa Habari. Ulichofanya Rais Mstaafu Kikwete ni Ushamba anbao Mtu kama Wewe hukupaswa Kuufanya.

Umeshastaafu Urais wa Tanzania sasa sijui ni Kitu Kingine ambacho Kikwete unakitaka na bado tu hujaacha ile tabia yako ya Kulazimisha Kupendwa, Kuabudiwa, Umaarufu na Kuzungumzia ukijidanganya kuwa bado unakubalika na Watanzania wakati Ukweli ni kwamba kwa 'Intellectuals' wala hukubaiiki ila kwa wale 'Lumpen Proletariets' wengi wanaopatikana huko Yanga SC na Kwingineko nchini ndiyo Wanakukubali ( Wanakupenda )

Tafadhali Rais Mstaafu Kikwete hebu pumzika kama walivyopumzika Waandamizi Wenzako wengi ( ambao ni wana Simba SC hasa tu ) na hiki 'Kiherehere' chako cha Kujifanya unaipenda mno Yanga SC 'mrithishe' Mwanao Kipenzi Ridhiwani kwani hata kwa Umri wake inapendeza ila siyo Wewe Mkongwe ( Mzee ) sasa.

Tarehe 3 na 25 July, 2021 mtatafutana!!
 
Tatizo lake ashazoea unafiki ,kwan kuna ubaya gani mtu akijiweka bayana kuhusu mapenz yake na timu Fulani , ukiondoa huo urais aliokua nao ,yeye ni binadam wa kawaida na mtanzania kama mim na mungine ,kuwa na mapenzi na timu Fulani ni jambo la kawaida tu,
Tuache unafiki wa kuvaa sijui jezi huku rangi Hii kule rangi ile , kama wew ni yanga au simba kuwa wazi tu.
Huo ndio ungwana

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
 
Haya sasa tumejua ' GSM ' ni yake 100%.
 
Kwani upo ubaya wowote kumiliki Mali na kampuni hapa Tanzania!?
Tulien dawa yenu inakuja mikia nyie !!

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
Sasa alichokuwa anaficha ni nini tusijue kuwa GSM ni Kikwete na Kikwete ni GSM?

Na alivyo Mnafiki kaona wana Yanga SC wanantaka Manji Yeye kamshauri asubiri Kwanza.

Kumbe anataka GSM yake ikamilishe Mchakato wa Mabadiliko na Waitawale Yanga SC wapige Pesa.

Ndiyo maana hata Rostam Aziz ambaye alitaka Kuwekeza Yanga SC tena kwa Bilioni 40 alivyoona tu 'Wapigaji' GSM wapo na 'Kiherehere' kaachana hiyo nia yake na sasa anawachora tu huku akiwadharau.
 
Ila wewe jamaa nimekuona bonge la bwege aisee.Kwa harakaharaka nimeona kimsingi umekosa exposure,umesafiri saaaana umefika Simiyu,hapo ndo utapiga na selfie na kuzituma kwa wakwe zako kuwa umesafiri umbali mkubwa.Ungekuwa ndugu yangu wewe ningebadilishana na gunia moja la ufuta.Hopeless kabisa wewe ! "Very parochial minded" .Napoteza muda hapa kukujibu,itoshe kusema hujitambui and above all you know nothing where the world is heading to !
Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa ( RIP ) alikuwa ni Simba SC "lia lia' ila hakuwa na 'Kiherehere' alichonacho Rais Mstaafu Kikwete kwa Yanga SC.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Mwinyi ni Simba SC 'ndaki ndaki' ila hakuwa na 'Kiherehere' kwa Simba SC kama ulivyo Rais Mstaafu Kikwete.

Mheshimiwa Rais Mama Samia ni Simba SC 'lia lia' kabisa ( japo Mumewe Hafidh Ameir ) ni Yanga SC hasa pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika Ndugai na Naibu wake Tulia nao ni Simba SC wa uhakika, ila huwezi kuwakuta wanakuwa na 'Viherehere' vya Kuhudhuria mara kwa mara Vikao au Mikutano ya Simba SC kama afanyavyo Raia Kikwete.

Hatimaye sasa kutokana na 'Kiherehere' chako cha Kujifanya unaipenda mno Yanga SC na Uongozi wa Yanga SC nao Kukutumia Wewe kama 'turufu' yao ya Kuvutia Wanachama wengi walioichoka Yanga SC Mikutanoni SIRI imefichuka kuwa kumbe Wewe ndiyo Mmiliki ( mwenye Kampuni ya GSM ) ila umeamua 'Kumpandikiza' Gharib na akina Injinia Hersi Said kama 'Kutuzuga' Watu ila Wazee wa Kufukunyua na Kudadisi mambo akina GENTAMYCINE tumezinyaka hizi kwa Watu wa karibu na Uongozi nchini.

Halafu Rais Mstaafu Kikwete sikuona sababu yoyote ile ya Wewe Kumjibu 'Kidharau' na kwa 'Chuki' vile Mtangazaji Ahmed Ally wa Azam TV alipokuwa anakuuliza Maswali ukiwa unaingia Ukumbini kama sehemu yake ya Kutekeleza Wajibu wake kama Mwandishi wa Habari. Ulichofanya Rais Mstaafu Kikwete ni Ushamba anbao Mtu kama Wewe hukupaswa Kuufanya.

Umeshastaafu Urais wa Tanzania sasa sijui ni Kitu Kingine ambacho Kikwete unakitaka na bado tu hujaacha ile tabia yako ya Kulazimisha Kupendwa, Kuabudiwa, Umaarufu na Kuzungumzia ukijidanganya kuwa bado unakubalika na Watanzania wakati Ukweli ni kwamba kwa 'Intellectuals' wala hukubaiiki ila kwa wale 'Lumpen Proletariets' wengi wanaopatikana huko Yanga SC na Kwingineko nchini ndiyo Wanakukubali ( Wanakupenda )

Tafadhali Rais Mstaafu Kikwete hebu pumzika kama walivyopumzika Waandamizi Wenzako wengi ( ambao ni wana Simba SC hasa tu ) na hiki 'Kiherehere' chako cha Kujifanya unaipenda mno Yanga SC 'mrithishe' Mwanao Kipenzi Ridhiwani kwani hata kwa Umri wake inapendeza ila siyo Wewe Mkongwe ( Mzee ) sasa.

Tarehe 3 na 25 July, 2021 mtatafutana!!
 
Mwambieni Mo aweke B20 asilete ukanjanja hapa kwenye uwekezaji,blabla kibao
Sasa alichokuwa anaficha ni nini tusijue kuwa GSM ni Kikwete na Kikwete ni GSM?

Na alivyo Mnafiki kaona wana Yanga SC wanantaka Manji Yeye kamshauri asubiri Kwanza.

Kumbe anataka GSM yake ikamilishe Mchakato wa Mabadiliko na Waitawale Yanga SC wapige Pesa.

Ndiyo maana hata Rostam Aziz ambaye alitaka Kuwekeza Yanga SC tena kwa Bilioni 40 alivyoona tu 'Wapigaji' GSM wapo na 'Kiherehere' kaachana hiyo nia yake na sasa anawachora tu huku akiwadharau.
 
Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa ( RIP ) alikuwa ni Simba SC "lia lia' ila hakuwa na 'Kiherehere' alichonacho Rais Mstaafu Kikwete kwa Yanga SC.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Mwinyi ni Simba SC 'ndaki ndaki' ila hakuwa na 'Kiherehere' kwa Simba SC kama ulivyo Rais Mstaafu Kikwete.

Mheshimiwa Rais Mama Samia ni Simba SC 'lia lia' kabisa ( japo Mumewe Hafidh Ameir ) ni Yanga SC hasa pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika Ndugai na Naibu wake Tulia nao ni Simba SC wa uhakika, ila huwezi kuwakuta wanakuwa na 'Viherehere' vya Kuhudhuria mara kwa mara Vikao au Mikutano ya Simba SC kama afanyavyo Raia Kikwete.

Hatimaye sasa kutokana na 'Kiherehere' chako cha Kujifanya unaipenda mno Yanga SC na Uongozi wa Yanga SC nao Kukutumia Wewe kama 'turufu' yao ya Kuvutia Wanachama wengi walioichoka Yanga SC Mikutanoni SIRI imefichuka kuwa kumbe Wewe ndiyo Mmiliki ( mwenye Kampuni ya GSM ) ila umeamua 'Kumpandikiza' Gharib na akina Injinia Hersi Said kama 'Kutuzuga' Watu ila Wazee wa Kufukunyua na Kudadisi mambo akina GENTAMYCINE tumezinyaka hizi kwa Watu wa karibu na Uongozi nchini.

Halafu Rais Mstaafu Kikwete sikuona sababu yoyote ile ya Wewe Kumjibu 'Kidharau' na kwa 'Chuki' vile Mtangazaji Ahmed Ally wa Azam TV alipokuwa anakuuliza Maswali ukiwa unaingia Ukumbini kama sehemu yake ya Kutekeleza Wajibu wake kama Mwandishi wa Habari. Ulichofanya Rais Mstaafu Kikwete ni Ushamba anbao Mtu kama Wewe hukupaswa Kuufanya.

Umeshastaafu Urais wa Tanzania sasa sijui ni Kitu Kingine ambacho Kikwete unakitaka na bado tu hujaacha ile tabia yako ya Kulazimisha Kupendwa, Kuabudiwa, Umaarufu na Kuzungumzia ukijidanganya kuwa bado unakubalika na Watanzania wakati Ukweli ni kwamba kwa 'Intellectuals' wala hukubaiiki ila kwa wale 'Lumpen Proletariets' wengi wanaopatikana huko Yanga SC na Kwingineko nchini ndiyo Wanakukubali ( Wanakupenda )

Tafadhali Rais Mstaafu Kikwete hebu pumzika kama walivyopumzika Waandamizi Wenzako wengi ( ambao ni wana Simba SC hasa tu ) na hiki 'Kiherehere' chako cha Kujifanya unaipenda mno Yanga SC 'mrithishe' Mwanao Kipenzi Ridhiwani kwani hata kwa Umri wake inapendeza ila siyo Wewe Mkongwe ( Mzee ) sasa.

Tarehe 3 na 25 July, 2021 mtatafutana!!
Acha kuingilia haki ya mtu,huyo ni mwanachama wa yanga,kwamba alikuwa rais wa nchi haimnyimi haki yake ya uanachama,mwenye kiherehere ni wewe,unaingilia visivyokuhusu
 
Hivi kweli ni wewe Gentamycine uliyeandika hapa au kuna mtu ka HACK account yako ya jf na katupia huu uzi ili ionekane ni wewe uliyeandika??--- I am asking with due respect.
 
Nimekusoma kwa jicho la mbali sana unachuki binafsi na JK
 
Back
Top Bottom