Wachezaji na Viongozi wa Simba SC, nyie ndiyo wa kuniokoa; tukifungwa na Yanga SC Desemba 11 nitakoma hapa JF

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,466
108,621
Viongozi wa Simba SC (hasa Poti wangu Crescetius Magori ) na Wewe Rafiki yangu mkubwa Kassim Dewji bila Kumsahau Mtani wangu wa Kiha (Muha) Mwina Kaduguda, Benchi la Ufundi (hasa Rafiki yangu wa Kimpira Kocha Selemani Matola) pamoja na Wachezaji wote wa Simba SC (hasa Mwanangu mwenyewe Jonas Mkude) tafadhalini nawaomba msiniangushe GENTAMYCINE kwani endapo Simba SC 'tutafungwa' hakika 'nitakoma' hapa JamiiForums kwa 'Kushambuliwa' na Wana Yanga SC na hata wale 'Maadui' zangu wa Kawaida.

Manake nimezipata za chini chini (nyepe nyepe) kuwa kuna JF Members (hasa Mashabiki wa Yanga SC) wameshaniandalia 'Comments' za Kunishambulia (Kunisiliba) mwanzo mwisho mpaka nijute Kuzaliwa.

Ila na nyie wana Yanga SC 'hakyanani' naapa Simba SC ikishinda (tukishinda) tafuteni kwa Kukimbilia kwani nimewaandalia 'Dozi' za 'Madongo' yangu na najua Wengi wenu mtanichukia na hapa mtapaona pachungu.

Naomba hii 'Mvua' inyeshe hadi J'Mosi!!
 
Jumamosi lazima Yanga wayaoge magoli ya kutosha tu,wanamsimbazi tuko vizuri na ari kubwa ya kushinda kila mechi Yanga lazima tuwafunge maana wana kina KABWILI wengi tu mle kikosini mwao
 
Kwanza ondoa shaka jumamosi vyura fc wanakufa 2~0 hilo halina mjadala,pia jana saa nane na dakika 21 usiku nilimpigia babu mmoja wa kizanaki yuko pori moja huko kamgegi pia akathibitisha kuwa yanga watafungwa 1 au 2 hivyo akaniambia kama ni bia niendelee kunywa maana game imeisha hiyo.
 
Viongozi wa Simba SC (hasa Poti wangu Crescetius Magori ) na Wewe Rafiki yangu mkubwa Kassim Dewji bila Kumsahau Mtani wangu wa Kiha (Muha) Mwina Kaduguda, Benchi la Ufundi (hasa Rafiki yangu wa Kimpira Kocha Selemani Matola) pamoja na Wachezaji wote wa Simba SC (hasa Mwanangu mwenyewe Jonas Mkude) tafadhalini nawaomba msiniangushe GENTAMYCINE kwani endapo Simba SC 'tutafungwa' hakika 'nitakoma' hapa JamiiForums kwa 'Kushambuliwa' na Wana Yanga SC na hata wale 'Maadui' zangu wa Kawaida.

Manake nimezipata za chini chini (nyepe nyepe) kuwa kuna JF Members (hasa Mashabiki wa Yanga SC) wameshaniandalia 'Comments' za Kunishambulia (Kunisiliba) mwanzo mwisho mpaka nijute Kuzaliwa.

Ila na nyie wana Yanga SC 'hakyanani' naapa Simba SC ikishinda (tukishinda) tafuteni kwa Kukimbilia kwani nimewaandalia 'Dozi' za 'Madongo' yangu na najua Wengi wenu mtanichukia na hapa mtapaona pachungu.

Naomba hii 'Mvua' inyeshe hadi J'Mosi!!
Mkuu si ulisema mechi umeimaliza kwa Simba kupata so chini ya goli 3?? Hiki kimue mue cha wapi tena? Unatusikitisha wanasimba wenzio huku.
 
Simba kufungwa lazima... mwambieni barabla aje uwanjani amevaae bikini siku ya mechi kuwaokoa na kifungo :p :p :p
 
Viongozi wa Simba SC (hasa Poti wangu Crescetius Magori ) na Wewe Rafiki yangu mkubwa Kassim Dewji bila Kumsahau Mtani wangu wa Kiha (Muha) Mwina Kaduguda, Benchi la Ufundi (hasa Rafiki yangu wa Kimpira Kocha Selemani Matola) pamoja na Wachezaji wote wa Simba SC (hasa Mwanangu mwenyewe Jonas Mkude) tafadhalini nawaomba msiniangushe GENTAMYCINE kwani endapo Simba SC 'tutafungwa' hakika 'nitakoma' hapa JamiiForums kwa 'Kushambuliwa' na Wana Yanga SC na hata wale 'Maadui' zangu wa Kawaida.

Manake nimezipata za chini chini (nyepe nyepe) kuwa kuna JF Members (hasa Mashabiki wa Yanga SC) wameshaniandalia 'Comments' za Kunishambulia (Kunisiliba) mwanzo mwisho mpaka nijute Kuzaliwa.

Ila na nyie wana Yanga SC 'hakyanani' naapa Simba SC ikishinda (tukishinda) tafuteni kwa Kukimbilia kwani nimewaandalia 'Dozi' za 'Madongo' yangu na najua Wengi wenu mtanichukia na hapa mtapaona pachungu.

Naomba hii 'Mvua' inyeshe hadi J'Mosi!!
Kocha kutoka Real Madrid na bado hujiamini
 
Tumekuandalia mpaka memes zipo kabatini ni swala la muda tu tuanze kurusha mafataki yakutosha wakina Aaron Arsenal na Ollachuga wanajua vizuri wanajipigaga ban na kukimbia majukwaa timu zao zinapofanya vibaya , nakushauri tafuta kambi mapema jukwaa la mapishi au ujenzi .
 
Wewe mbona ueleweki Mara umeshamaliza kazi ya yanga kufungwa Mara tena unakuja na Uzi mwingine kuomba kina kaduguda na babra wakusaidie usifungwe sasa hii kitu ya kubadilishia gia angani tuiiteje?
Wanasema sio dhambi kubadilisha gear angani.. Ila ukweli hawa watani wanaweweseka sana.. na Hii inatokana na kuamini kuwa hawana kikosi cha kuweza kuifunga Yanga hii tena golini amekaa screen protector yaan hapa Niko moyo baridi mwenye Yanga yangu kama nakwenda kucheza na Majimaji ya kule kwetu Songea...
Tar 11 kipigo kipo palepale Makolokolo
 
Wewe mbona ueleweki Mara umeshamaliza kazi ya yanga kufungwa Mara tena unakuja na Uzi mwingine kuomba kina kaduguda na babra wakusaidie usifungwe sasa hii kitu ya kubadilishia gia angani tuiiteje?
Nikiwaambia huyu Jamaa ni MLEMAVU WA AKILI muwe mnanielewa🤣🤣🤣🤣🤣
 
We si ulisema una WAGANGA wako na washamalza mchezo🤣🤣🤣.

Njia pekee ya kukwepa kipigo cha Yanga ni kutoingia uwanjani (Kula nduki).
 
Jumamosi lazima Yanga wayaoge magoli ya kutosha tu,wanamsimbazi tuko vizuri na ari kubwa ya kushinda kila mechi Yanga lazima tuwafunge maana wana kina KABWILI wengi tu mle kikosini mwao
Unataka tuweke videovya Morrison kabaki na Pichu tu anakatika? Simba mmezoea kufuga mabwabwa
 
Viongozi wa Simba SC (hasa Poti wangu Crescetius Magori ) na Wewe Rafiki yangu mkubwa Kassim Dewji bila Kumsahau Mtani wangu wa Kiha (Muha) Mwina Kaduguda, Benchi la Ufundi (hasa Rafiki yangu wa Kimpira Kocha Selemani Matola) pamoja na Wachezaji wote wa Simba SC (hasa Mwanangu mwenyewe Jonas Mkude) tafadhalini nawaomba msiniangushe GENTAMYCINE kwani endapo Simba SC 'tutafungwa' hakika 'nitakoma' hapa JamiiForums kwa 'Kushambuliwa' na Wana Yanga SC na hata wale 'Maadui' zangu wa Kawaida.

Manake nimezipata za chini chini (nyepe nyepe) kuwa kuna JF Members (hasa Mashabiki wa Yanga SC) wameshaniandalia 'Comments' za Kunishambulia (Kunisiliba) mwanzo mwisho mpaka nijute Kuzaliwa.

Ila na nyie wana Yanga SC 'hakyanani' naapa Simba SC ikishinda (tukishinda) tafuteni kwa Kukimbilia kwani nimewaandalia 'Dozi' za 'Madongo' yangu na najua Wengi wenu mtanichukia na hapa mtapaona pachungu.

Naomba hii 'Mvua' inyeshe hadi J'Mosi!!
Mvua lazima inyeshe jmos
 
Back
Top Bottom