Ukweli mchungu: Yanga, huyu Makambo ni Yikpe season 3

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Wadau wa soka Hamjambo

Nimekuwa nikimfuatilia huyu mutu wa DRC straiker MAKAMBO kuurejesha kwake ktk club ya Yanga SC, matarajio ya wananchi walifikiri atawasaidia lakini ukweli huyu jamaa ni Yikpe season 3 yaan Yanga mmepigwa na wale jamaa zenu wanao wasajilia wachezaji.

Narejesha matangazo studio
 
Makambo kafunga mechi zanzibar ndio goli lake nadhani mpaka sasa. Sema Horoya watata kweli walishaona mjomba pumzi imekata
 
Kwani yanga wao wanasemaje?

Maana ndiyo alikuwa staa wao kabla mayele hajapindua meza.

Mayele nae ameanza kuwa kama molinga tu.
 
Wadau wa soka Hamjambo

Nimekuwa nikimfuatilia huyu mutu wa DRC straiker MAKAMBO kuurejesha kwake ktk club ya Yanga SC, matarajio ya wananchi walifikiri atawasaidia lkn ukweli huyu jamaa ni Yikpe season 3 yaan Yanga mmepigwa na wale jamaa zenu wanao wasajilia wachezaj

Narejesha matangazo studio
Dk 11 hajagusa mpira 😀😀😀😀
 
Tafuta clip ya goli alilofunga siku ya utambulisho wa wachezaji siku ya mwananchi halafu ndio urudi tena.

Umemfuatilia lini?na kwa taarifa yako huyu makambo bado hajapata muda wa kucheza tokea acheze gameile amekua akiingia sub na kucheza kwa -10 minutes.

Sasa utamjaji vipi mchezaji ambae hajapata time ya kutosha uwanjani?
 
Kapambane na Bocco anae anza na hana goli
 
Tafuta clip ya goli alilofunga siku ya utambulisho wa wachezaji siku ya mwananchi halafu ndio urudi tena....

Umemfuatilia lini?na kwa taarifa yako huyu makambo bado hajapata muda wa kucheza tokea acheze gameile amekua akiingia sub na kucheza kwa -10 minutes.....

Sasa utamjaji vipi mchezaji ambae hajapata time ya kutosha uwanjani?
Jugment' ya kwanza ni hiyo kucheza dk 10🧐
 
Tafuta clip ya goli alilofunga siku ya utambulisho wa wachezaji siku ya mwananchi halafu ndio urudi tena....

Umemfuatilia lini?na kwa taarifa yako huyu makambo bado hajapata muda wa kucheza tokea acheze gameile amekua akiingia sub na kucheza kwa -10 minutes.....

Sasa utamjaji vipi mchezaji ambae hajapata time ya kutosha uwanjani?
Kwa nini hajapata time,jibu ni moja hana uwezo
 
Tafuta clip ya goli alilofunga siku ya utambulisho wa wachezaji siku ya mwananchi halafu ndio urudi tena....

Umemfuatilia lini?na kwa taarifa yako huyu makambo bado hajapata muda wa kucheza tokea acheze gameile amekua akiingia sub na kucheza kwa -10 minutes.....

Sasa utamjaji vipi mchezaji ambae hajapata time ya kutosha uwanjani?
Hjapata time kwakuwa uwezo mdogo
 
Wadau wa soka Hamjambo

Nimekuwa nikimfuatilia huyu mutu wa DRC straiker MAKAMBO kuurejesha kwake ktk club ya Yanga SC, matarajio ya wananchi walifikiri atawasaidia lkn ukweli huyu jamaa ni Yikpe season 3 yaan Yanga mmepigwa na wale jamaa zenu wanao wasajilia wachezaj

Narejesha matangazo studio
Inakuwasha nini mambo ya yanga?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wengi wenu humu bado hamuwezi kuchambua na kung'amua mambo.

HM19 bado hajapata muda wa kutosha wa kucheza,ila quality yake ni ile ile.

Kingine,ukiwa unamuwaza HM19 pia uwe una muwaza na John Bocco ambaye amekuwa flop karibuni, amepata game time ya kutosha ila ameshindwa ku prove.

Kuhusu HM19 ni swala la muda tu.
 
Tafuta clip ya goli alilofunga siku ya utambulisho wa wachezaji siku ya mwananchi halafu ndio urudi tena.

Umemfuatilia lini?na kwa taarifa yako huyu makambo bado hajapata muda wa kucheza tokea acheze gameile amekua akiingia sub na kucheza kwa -10 minutes.

Sasa utamjaji vipi mchezaji ambae hajapata time ya kutosha uwanjani?
Kocha humpanga mchezaj kulingana anavyo muona ktk mazoezi, sasa we hushangai kwann hapangwi
 
Back
Top Bottom