Kwanini Simba na Yanga ni timu kongwe nchini lakini bado ombaomba?

kasindaga

Senior Member
Sep 6, 2013
165
165
Nimejaribu kuvavadua nimeona kumbe Yanga na Simba ni watoto yatima. Hawana baba Wala mama.

Klabu hizi mbili zimebeba historia ya taifa la Tanzania.Pia nimegundua kuwa kama Marehemu Mzee Karume Rais wa Zanzbar asingejenga Jangwani na Msimbazi Timu hizi zisingekuwana ardhi Wala Ofsi.

Hawa wawekezaji akina Azim DeGula Gulamali, Mo Dewji, Manj Manji nk tuwakumbuke kwa lipi?

Timu hazina viwanja, vitegauchumi nk. Tupaze sauti tunataka maendeleo sio Daby ya Kariakoo.
 
Jambo la viwanja kwa Simba naomba waondolewe katika hili,fika Bunju kwa maelezo zaidi, vipo pale viwanja viwili au unataka kusemaje?
 
Nimejaribu kuvavadua nimeona kumbe Yanga na Simba ni watoto yatima. Hawana baba Wala mama.

Klabu hizi mbili zimebeba historia ya taifa la Tanzania.Pia nimegundua kuwa kama Marehemu Mzee Karume Rais wa Zanzbar asingejenga Jangwani na Msimbazi Timu hizi zisingekuwana ardhi Wala Ofsi.

Hawa wawekezaji akina Azim DeGula Gulamali, Mo Dewji, Manj Manji nk tuwakumbuke kwa lipi?

Timu hazina viwanja, vitegauchumi nk. Tupaze sauti tunataka maendeleo sio Daby ya Kariakoo.
Jiulize kwanini Tanzania ni ombaomba mpaka sasa?
 
Nimejaribu kuvavadua nimeona kumbe Yanga na Simba ni watoto yatima. Hawana baba Wala mama.

Klabu hizi mbili zimebeba historia ya taifa la Tanzania.Pia nimegundua kuwa kama Marehemu Mzee Karume Rais wa Zanzbar asingejenga Jangwani na Msimbazi Timu hizi zisingekuwana ardhi Wala Ofsi.

Hawa wawekezaji akina Azim DeGula Gulamali, Mo Dewji, Manj Manji nk tuwakumbuke kwa lipi?

Timu hazina viwanja, vitegauchumi nk. Tupaze sauti tunataka maendeleo sio Daby ya Kariakoo.
Wanaume ni Azam FC, na zile teams mbili za taasisi za halmashauri za kinondoni na geita zenye viwanja vyao hata kama ni unfinished projects. Na nawalaumu sana TFF kuifisha Ngwambina FC.,timu iliyokua inajijenga kitaasisi na uwanja wake.
 
Nimejaribu kuvavadua nimeona kumbe Yanga na Simba ni watoto yatima. Hawana baba Wala mama.

Klabu hizi mbili zimebeba historia ya taifa la Tanzania.Pia nimegundua kuwa kama Marehemu Mzee Karume Rais wa Zanzbar asingejenga Jangwani na Msimbazi Timu hizi zisingekuwana ardhi Wala Ofsi.

Hawa wawekezaji akina Azim DeGula Gulamali, Mo Dewji, Manj Manji nk tuwakumbuke kwa lipi?

Timu hazina viwanja, vitegauchumi nk. Tupaze sauti tunataka maendeleo sio Daby ya Kariakoo.
Timu za taifa hizo mkuu.

Muelewege basi .

Uwanja wao ni uhuru na Mkapa.

Niambie nani ni mmiliki wa Yanga na Simba?
 
Back
Top Bottom