Simba Vs Yanga weka ubashiri wako hapa

Simba Vs Yanga weka ubashiri wako hapa

Haitabirik hii ngoma yeyote anapasuka hiyo kesho
 
Makolo muli bwaji babaa! [emoji38][emoji38]
 
Tunza hii:

Mikia wasipokimbia mechi kesho wanapasuliwa.Idadi ya magoli haifahamiki wakikoswa pona pona yao mikia ni kudroo.
 
Back
Top Bottom