GSM umekuja kuwaliza Yanga na sio kuwainua. Time will tell

Status
Not open for further replies.

Theb

JF-Expert Member
Jan 25, 2019
3,929
7,268
Wakuu wapenzi wa michezo na burudani na wasalimu kwa jina la kanuni na sheria za mpira.

Leo tarehe 07/12/2021 nimeona mijadala mingi mitandaoni inayohusu udhamini wa GSM na TFF ambao bado kisheria ni mkataba usio fuata taratibu za michezo kama zinavyooainishwa kuanzia FIFA na CAF na hata sheria za ndani za hao TFF na bodi ya ligi haziruhusu hu ujinga unaondelea.

Kingine mechi ya derby inakaribia afu TFF inakuja na ujinga ili kuivuruga timu moja (simba sc), hili halikubaliki na simba ina watu makini poleni. Narudia tena poleni (utopolo)

GSM ni mdhamini wa yanga na ndiye anasambaza jezj za utopwinyo, hivi hawa TFF na bodi ya ligi wanatumia sheria zipi ikiwa hizo walizo nazo wanashindwa kuzitambua? Yaani uweke ADIDAS na NIKE/PUMA/UMBRO kwenye jezi moja. Ni aibu gani hii kama taifa?

Ujumbe kwa TFF. jueni sisi ndio simba wakali wa kanuni na sheria tulimpiga utopwinyo huko CAS kwa Morrison sasa round hii itakua kubwa kuliko maana naona GSM anahangaika kutafuta tiketi ya kumrudisha utopwinyo ligi daraja la 2.

Nawasisitizia, simba ina watu makini.

Mwisho nawakumbusha utopwinyo time will tell.
 
Kwa mara ya kwanza nimemuelewa Shafii dauda

1638895061452.png
 
Msukuma PhD Ndio ameandika huu uzi

Mm ni simba Ila ni fresh tu hata kama tukivaa jezi yenye nembo ya GSM
Mtu anazuka tu hata kuchangia 500 kwenye soka hawezi halafu anadharau udhamini wa bilioni 2? GSM ni wadhamini wa Yanga na siyo wamiliki wa Yanga, Azam ni Wadhamini wa Azam na wamiliki wa Azam Fc lakini hamkuwahi kulalamika.

Si Simba wala Yanga wote mnafaidi haki za Matangazo ya TV bila kelele. Kwa hiyo kwa Sababu ya Usimba na Yanga mnataka Mbeya City asipate ufadhili kwa kuwafuata nyie?? Walipeni Geita Gold, Police Tanzania na Biashara Mara mgao ambao wangeupata toka GSM basi!!!
 
Bila bila,
Utopwinyo nyani mitaa hii najua kwako ni inakuunguza maana unatambalia tumbo chura wewe
 
Udhamini unatolewa kwa kufuata taratibu wewe wawapi? Sio kwamba mambo yakiwekwa hadharani kuwa watu watakataa kinachosemwa umekielewa au ndio.ile kudandia gari usilojua linaenda wapi? Mkataba umesainiwa na TFF badala ya bodi ya ligi. Sheria haijasema mdhamini mwenza akae kwenye jezi za timu. Inakaa logo ya mzamini mkuu au unakichwa cha panzi
Mtu anazuka tu hata kuchangia 500 kwenye soka hawezi halafu anadharau udhamini wa bilioni 2? GSM ni wadhamini wa Yanga na siyo wamiliki wa Yanga, Azam ni Wadhamini wa Azam na wamiliki wa Azam Fc lakini hamkuwahi kulalamika. Si Simba wala Yanga wote mnafaidi haki za Matangazo ya TV bila kelele. Kwa hiyo kwa Sababu ya Usimba na Yanga mnataka Mbeya City asipate ufadhili kwa kuwafuata nyie?? Walipeni Geita Gold, Police Tanzania na Biashara Mara mgao ambao wangeupata toka GSM basi!!!
 
Kingine unasema gsm ni.mdhamini wa yanga sio mmiliki. Hivi hersi hana cheo.kule kwa gsm na pia anahusika na usajili nk pale utopwinyoni. Hembu acha uzwazwa. Yaani hii ngoma ipo siku mtaja kujuta maana mnabishia taratibu. Ubaya TFF nao wanaweza pigwa ban na FIFA 😂😂😂
Mtu anazuka tu hata kuchangia 500 kwenye soka hawezi halafu anadharau udhamini wa bilioni 2? GSM ni wadhamini wa Yanga na siyo wamiliki wa Yanga, Azam ni Wadhamini wa Azam na wamiliki wa Azam Fc lakini hamkuwahi kulalamika. Si Simba wala Yanga wote mnafaidi haki za Matangazo ya TV bila kelele. Kwa hiyo kwa Sababu ya Usimba na Yanga mnataka Mbeya City asipate ufadhili kwa kuwafuata nyie?? Walipeni Geita Gold, Police Tanzania na Biashara Mara mgao ambao wangeupata toka GSM basi!!!
 
Mtu anazuka tu hata kuchangia 500 kwenye soka hawezi halafu anadharau udhamini wa bilioni 2? GSM ni wadhamini wa Yanga na siyo wamiliki wa Yanga, Azam ni Wadhamini wa Azam na wamiliki wa Azam Fc lakini hamkuwahi kulalamika. Si Simba wala Yanga wote mnafaidi haki za Matangazo ya TV bila kelele. Kwa hiyo kwa Sababu ya Usimba na Yanga mnataka Mbeya City asipate ufadhili kwa kuwafuata nyie?? Walipeni Geita Gold, Police Tanzania na Biashara Mara mgao ambao wangeupata toka GSM basi!!!
Sawa Mkuu basi yaishe Wachezaji Simba watava jezi zenye nembo ya GSM.Ila sisi Mashabiki tutava matisheti yetu ya nyumbani tarehe 11 Ili mlidhike.
 
GSM kajitolea kuwezesha timu za ligi kuu uwezo wa kipesa hasa kwenye kipengele cha mishahara na usafiri ila anatokea mpumbavu mmoja tajiri mbinafsi hataki huo udhamini kwasababu ya uwezo wake na anasahau kwamba kuna timu zina struggle ktk kujiendesha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom