Ewe dada ulijifanya mtakatifu sana ulipoanza funga yako sasa funga inakaribia kuisha unaanza usumbufu sasa ukae kwa kutulia malipo ni hapa hapa

Nasema ivi hata salamu simlikuwa hamtaki eti kisa mpo kwenye funga, mtajua hamjui na sisi mabaharia tumeanza funga yetu kivyetu.

Tunaenda na wale tuliokuwa nao pamoja katika kipindi hiki kigumu.
Aaah nyie fungeni tu sisi tushawachoka tumepata wapya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom