Baleke ukitaka nyota yako ing'ae isaidie timu yako kupata ushindi mechi ya dabi

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Jun 20, 2022
1,215
2,995
Mchezaji Bora wa mwezi Jean Baleke super finisher ameonesha kiwango kikubwa kwenye mechi za karibuni,Ile acrobatics ya Jana waooh what a player wazungu wanasema.

Baleke ukitaka nyota yako ing'ae focus na mechi ya dabi sababu ni mechi kubwa iliobeba hisia za mashabiki wengi hapa Tanzania na nje nchi. Funga magoli ipatie timu yako ushindi muhimu, hakika utakuwa umeanza safari yako nzuri ya mafanikio kwenye ligi ya bongo Simba wana muda mrefu hawajapata ushindi mechi ya dabi.

Ila Kama utaonesha kiwango kibovu mechi ya dabi, kuna maneno mengi yatasemwa juu yako, mashabiki wa bongo hatunaga shukurani.

NB: Kuna muda kiwango cha mchezaji kinakuwa juu kila mechi anafunga mfululizo, ila kuna muda kiwango ghafla kinapotea unashangaa unacheza mechi ata 5 bila kuufunga mfano kwa Moses phiri ata mayele na hii ipo duniani kote ata ulaya Kuna wachezaji inawakumba hali hiyo.

It's me Mo mp5 mtoto wa kanali mtata.
 
Mchezaji Bora wa mwezi Jean Baleke super finisher ameonesha kiwango kikubwa kwenye mechi za karibuni,Ile acrobatics ya Jana waooh what a player wazungu wanasema.

Baleke ukitaka nyota yako ing'ae focus na mechi ya dabi sababu ni mechi kubwa iliobeba hisia za mashabiki wengi hapa Tanzania na nje nchi funga magoli ipatie timu yako ushindi muhimu hakika utakuwa umeanza Safari yako nzuri ya mafanikio kwenye ligi ya bongo Simba Wana muda mrefu hawajapata ushindi mechi ya dabi.

Ila Kama utaonesha kiwango kibovu mechi ya dabi,Kuna maneno mengi yatasemwa juu yako, mashabiki wa bongo hatunaga shukurani.

Nb: Kuna muda kiwango Cha mchezaji kinakuwa juu kila mechi anafunga mfululizo,Ila Kuna muda kiwango ghafla kinapotea unashangaa unacheza mechi ata 5 bila kuufunga mfano kwa Moses phiri ata mayele na hii ipo duniani kote ata ulaya Kuna wachezaji inawakumba Hali hiyo..

It's me Mo mp5 mtoto wa kanali mtata.
Naunga mkono hoja
 
Mbona hajui kiswahili(chiswahili) na wala hayupo JF.Eske,mtafute uso kwa macho umwambie kwa lingala!Anakuumiza moyo na roho yako,etiiii?Mola atakusaidia tu.
 
Back
Top Bottom