yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Usimchukie sana adui yako na kuwa mpofu ya uangamizo wako!

    Kama una chuki na adui yako jitahidi chuki isizidi. Pindi chuki ikizidi inakupofusha kutoona uangamizo wako. Yann ya kumtilia adui yako sumu kwene kisima ambacho wewe mwenyewe ndo unatumia maji?? HISTORIA YA SOMALIA NA JINSI NCHI KUBWA ILIVO ANGUKA CHUKI. Wasomali walijikuta wametawanyika...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kama una mkopo bank huwezi chukua NSSF yako?

    Wakuu!! Huwa sielewi tulichukua mkopo {company} ilitudhamini mkopo wa muda wa miaka6. kuna baadhi ya wafanyakazi waliacha kazi baada ya pesa zao kuzitumia divyo sivyo na kwa maelezo yao walidai kuwa hela ya NSSF walichukua bila shida yoyote. Njia waliyokuwa wanatumia ni kwenda kufungua account...
  3. Tman900

    JamiiForums Tanzania Wekeza katika maisha yako, usiwekeze katika mapenzi

    Sio Vizuri kumsema mtu ila inatakiwa Kujifunza kupitia Wengine. Kuna Rafiki yangu alikua na Maduka Matatu Leo hii Hana Duka hata Moja. Jamaa alikua na Familia yake ambayo alitoka nayo kijijini Kuja mjini, walianza na Duka Moja, msingi ukakua na wakapata maduka Matatu, baada ya mda mshikaji...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Unatafuta logo zitakazobamba kwenye biashara yako? Zinapatikana hapa

    Kama unahitaji logo kali kwaajili ya biashara yako basi usikose kupitia hapa ili uchague zipo design mbalimbali za logo: https://campuscitymall.com/cart/HX9v8aGNRZPLdQfXMeUvePaj7Pq1/buyeasy/21fpXLJTCEyNC6y4QFxd
  5. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kukimbia matatizo yako ndio hukuongezea matatizo zaidi😢

    KUKIMBIA MATATIZO YAKO NDIO HUKUONGEZEA MATATIZO ZAIDI😢 Huyo mwanaume katika picha aliamua kujiua kwa lengo la kukwepa madeni anayodaiwa, pindi alipoamua kujirusha kutoka jengo refu la ghorofa mwisho wa siku akafikia katika hiyo gari aina ya BMW ya mtu na kunusurika kifo, hivyo kuongeza deni...
  6. Magical power

    JamiiForums Tanzania Nilitamani sana nione miujiza ya Mafuta ya upako na udongo wa upako miujiza ya uokoaji na uponyaji pale Kkoo.

    Nilitamani sana nione miujiza ya Mafuta ya upako na udongo wa upako miujiza ya uokoaji na uponyaji pale Kkoo. Kadhalika na wale masharifu feki na wazee wanaodai wanamvuta mpenzi alioko mbali wakawavute na ndugu zetu kutoka katika janga lililowakuta.
  7. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote

    Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote maana ngono Ina gharama kubwa sana Kwa mwaname ila ni faida Kwa mwanamke chagua mwanamke wako mmoja anae tosheleza hisia zako najua sio lahisi kulizika na mwanamke mmoja ila unaweza kuamua kutulia na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanatumia madhaifu yako kujinufaisha kwa mgongo wa kukusaidia

    Ushindi mwingine ni kufahamu udhaifu wako ni upi na uimara wako uko wapi ukijua hilo kwa sehemu wewe ni mshindi na itakusaidia kujua nani anataka kutumia udhaifu wako kwa manufaa yake. Kuna watu ni wajanja sana wanachokifanya ni kukusoma tu kujua eneo lako dhaifu na kufuatilia je unafahamu...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nasema hivi, kama upo nafasi unapata maslahi ya kukutosheleza wewe, familia na akiba yako, basi ishikilie, maana kwa hali hii wewe ni special

    Acha majivuno ndugu, acha umwamba, acha "usimba", sio wewe, ni hio bahati pekee ya mafanikio, kuwa grateful sio kwa aliekupa mchongo tu hata kwa sisi tunaojipitisha tu maana njaa zetu zikikupata hata ghafla utageuka chizi. Mfundishe mkeo asiwadharau wake za wengine kisa wamesuka njia moja ya...
  10. Magical power

    JamiiForums Tanzania Oa au olewa na mtu wa udhaifu wako yule wa matamanio yako ili ujivunie

    Hakikisha unakuwa na mtu wa udhaifu wako yaani kuna raha nikisema kuna raha niamini kuna raha jamani. Oana na wa aina yako Ukimuwaza unapata hisia, huchoki kumtazama, unatembea naye njiani kwa kujiamini. Hutopenda ajihisi mpweke au umtese kihisia Ndugu yangu usikubali kuambatana na mtu asiye...
  11. Bonge La Afya

    JamiiForums Tanzania Mtaa Ndio Unaokupa Hatima ya maisha yako

    Maisha baada ya kuhitimu masomo ni kipindi ambacho wengi hukutana na uhalisia wa maisha. Kwa miaka mingi, wanafunzi hutumia muda wao darasani wakijitahidi kufaulu na kufikiria kuhusu maisha bora yatakayoundwa na vyeti vyao. Hata hivyo, hatua ya kutoka darasani na kuingia mtaani huleta ukweli...
  12. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukimtumia mwanamke wako hela akahoji kua ni kidogo pasi na kushukuru rudisha huo muhamala mtumie mama yako

    Ndugu zangu salaam sana Katika harakati za dunia tunafahamu fika jukumu la mwanaume ni kutawala, kutunza na kuongoza kile kilicho mali yake ikiwemo mwanamke wake Kupitia jukumu hili kubwa wanaume tulilopewa wanawake wamegeuka kuwa chuma ulete na wanyonyaji kupita kiasi kwa wanaume kwa kivuli...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuanguka ghorofa Kariakoo; Kuridhika au kutoguswa na upuuzi unaohatarisha maisha yako ni kushiriki kujimaliza mwenyewe.

    Kwenye huo mkasa wa kuanguka kwa ghorofa Kariakoo kuna mengi yanasemwa ila linalozungumzwa zaidi ni hili la ghorofa kuchimbwa katika msingi kujenga underground. Kama ni kweli watu walikuwa wanachimba hilo ghorofa kwenda chini ila kutengeneza huo upuuzi unaitwa underground/basement halafu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ni yapi maoni yako kuhusu namna vyombo vya habari vinavyoripoti maafa ya kuanguka ghorofa Kariakoo?

    Nimefuatilia matangazo ya vyombo vyetu vya habari, naamini na wewe utakubaliana na mimi kwamba vyombo vyetu vimeambatana na Waziri Mkuu kisha vikaambatana na RC kadri anavyofika eneo la tukio. Viongozi wakiondoka na vyombo navyo vinazimwa. Hakuna chombo hadi sasa kilichotoa idadi ya watu ambao...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwanini tuangaishane na michango ya harusi na tujitaabishe kwa kukusanya pesa za michango. Mbona shughuli ndogo kwa pesa yako mfukoni inawezekana

    Africans, we are poor, lakini we are acting rich. Kwamba unaogopa kusemwa? Unaogopa kuitwa masikini? Unaogopa lawama za kutoarika watu? Unaogopa kutoendana na mila tulizozizoea? Au ndio njia mbadala ya kupatia pesa za michango kujiboost maisha kidogo? Muda mwingine hadi tunageuka kero pale...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Unahitaji SmartBusiness hivi sasa kwenye biashara yako?

    SmartBusiness ni program ya usimamizi wa biashara ambayo itakuwezesha kusimamia taarifa za mauzo, matumizi, manunuzi ya stock, kufahamu bidhaa zilizobaki kwenye stock, madeni ya wateja na yale unayodaiwa na suppliers, kusimamia malipo ya wateja wanaolipa kidogo kidogo n.k pamoja na kupata ripoti...
  17. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kaka Magical power umeamkaje na familia yako.

    Kaka Magical power umeamkaje na familia yako Kaka naomba kuwaambia watu hasa wadada wenzangu wajifunze kukoment positive kuna faida kama kuna post unaona huwezi kuandika kitu achana nayo. Mimi ni mfuasi wako mzuri sana nipokufollow nikawa nasoma komenti za wanaume walioko humu wengi nikaona ni...
  18. Magical power

    JamiiForums Tanzania Habari yako kaka Magical power pia pole Kwa msiba ulio kufika,napenda kukupa Asante ya mrejesho wangu huu,utakapo lud ewan utaukuta.

    Habari yako kaka Magical power pia pole Kwa msiba ulio kufika,napenda kukupa Asante ya mrejesho wangu huu,utakapo lud ewan utaukuta. nimefuatilia masomo yako nimefanikiwa kuwa mtu angalau kwa sasa hivi baada kutoka kwenye yale mahusiano magumu ambayo nilikuwa nayo hapo awali Sina budi...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tazama video hii kisha toa maoni yako

  20. Man Middo tz

    JamiiForums Tanzania STORI FUPI: Jinsi ya kutafuta furaha yako

    STORI FUPI: JINSI YA KUTAFUTA FURAHA YAKO. Alitokea mwanamke mmoja aliyevalia nguo za gharama sana, kwa kumtazama tu ilitosha kutambua kuwa ni dada wa kitajiri. Basi alienda kwa mwanasaikolojia akamwambia kuwa “Sina furaha na maisha yangu nipo na huzuni, yani kiufupi maisha yangu hayana maana...
Back
Top Bottom