yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Magical power

    JamiiForums Tanzania Ukiwa unampa sana mama yako pesa, anahisi kuwa wewe unazo sana. Hata kama umejitoa tu ili mama yako asipate shida

    Ukiwa unampa sana mama yako pesa, anahisi kuwa wewe unazo sana. Hata kama umejitoa tu ili mama yako asipate shida, kuna namna anaamini kuwa huyu mtoto wangu anacho tu! Hivyo, mara nyingi anachukua matatizo ya ndugu wengine na kukuletea! Ndiyo maana ndugu wengi sana watamfuata kumuomba msaada...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tafuta pesa familia yako iishi vizuri, Suala la kutafuta pesa nyingi ili kumlinda mke ni ushamba.

    Umemkuta mke wako akiwa na zaidi ya miaka 25, kubali usikubali ninyi wote mna historia na siri zenu nyingi, Ni mawazo ya kishamba sana kuhangaika utafute pesa ili mke wako aishi vizuri ukidhani ni kinga ya yeye asichepuke, Mwanamke ni kiumbe chenye hisia za mapenzi na mapenzi ni fumbo kubwa...
  3. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Vijana wa ovyo tayari washachangamkia fursa kuzalisha jezi za Balthazar 400

    Yule mtu maarufu aliyezima habari zote duniani ikiwemo uchaguzi wa Marekani wadau wamemtumia kuanza kupiga pesa
  4. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Simu yako inazungumza zaidi kuhusu wewe

    Katika pitia pitia yangu mitandaoni nimekutana na hili jambo ambalo binafsi lili nifanya nicheke usiku huu, nikaona hapana malegend huwa vitu vizur tunapenda kushare na wenzetu. Inasemwa simu yako inaongea vizuri kuhusu wewe, hapa haizungumzwi brand ya simu,au ama iwe ya gharama au laa,hiyo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu za biashara

    Namna sahihi ya kupata wateja na kukuza biashara yako
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nandy haiba yako inaendana vema na mavazi ya heshima. Usivae nusu uchi

    Tofauti na mwanzoni alivyokuwa anavaa nguo nzuri sana na zinazomsitiri vema, hakika alikuwa anapendeza sana na nina uhakika ndicho kilichomuongezea umaarufu na kupendwa. Ila kwa sasa naona Nandy naye anavaa vinguo kuonyesha tumbo, mapaja na matiti. Ukiangalia sura ya Nandy haijakaa KIMCHARUKO...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Malengo yako ya mwaka 2024 uliojiweka umefanikiwa mangapi kuyatimiza hadi sasa?

    Unapoanza mwaka mpya kila mmoja anakuwa na malengo yake ya mwaka husika anayohitaji kuyafikia ili kupiga hatua katika maisha yake. Ukitazama sasa tumesalia mwezi mmoja kutoka sasa kukamilisha au kufunga mwaka 2024 bila shaka utakuwa unapicha nzuri ya kile ulichojiwekea malengo yako. Tuambie je...
  8. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Mwanaume; tambua dhamani ya pesa yako, usi mnyenyekee mwanamke

    Wakuu. kuna watu wanatafuta pesa kwa shida sana kwenye kuitafuta. ila inapo kuja kwenye kupata faraja jion au akirud kwa yule ampendae pia ana ambulia zarau, kejeli na kero mbali mbali, u Kwa matabaka yote ya kiuchumi Kwa wenye maisha mazuri mwenye uwezo wa kumpangishia mwanamke nyumba, chumba...
  9. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Weka 20% (1/5) ya mapato yako yote kama akiba, weka akiba kwanza kabla ya kutumia kila kipato unachokipata

    Baada ya kutoa fungu la kumi yaani 1/10 (10%) ya mapato yako na sadaka kwa wamuaminio Mwenyezi Mungu na agizo lake Hilo kuhusu baraka za kiuchumi kinachofuata ni kuweka 1/5 ya kipato chako kama akiba kwa ajili ya hii itakusaidia 1.kukabiliana na dharura pamoja na wakati ujao usio dhahiri...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la hekima sana kumweka wazi bajeti yako kwenye mtoko wa date lasvyo umempa tiketi ya kuagiza vinywaji ghali na kuleta marafiki zake, n.k.

    Hii ni muhimu zaidi kwetu wenye vipato vya kawaida. Sio jambo la aibu hata kidogo wala sio urijali wala ujanja kwenda date bila kumpanga mapema kuhusana na bajeti. Ukishindwa kujipanga jiandae kupata aibu, kuharibu bajeti yako, n.k. Kumjuza bajeti yako itakusaidia mapema kujua kama yupo nje ya...
  11. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Kwa mazingira ya biashara Tanzania, mikopo ni kinga ya lazima kwa biashara yako

    Kwakuwa watanzania wengi wajasiriamali bado ni wageni wa masuala ya kifedha na mikopo, sio vibaya tukaelimishana kuhusu huchi kitu. Mazingira ya biashara Tanzania sote twayajua, unaweza lala una biashara ukaamka huna biashara, refer ile case ya masoko kuungua. Au unalala una biashara yako, kesho...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Siku hizi maadili mfanyie mama yako tu maana hata wenye kujiheshimu wanategemea promo za watu wenye maadili mabovu. Inasikitisha sana ila hakuna jinsi

    Nilipochoka zaidi ni pale yule binti aliepata skendo ya kujiingiizia chupa kuanza kupata marketing deals kwenye vikampuni fulani hivi🤣 Anyway maisha yaendelee.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ukioa mikoa ifuatayo maisha yako lazima yawe mazuri mbeleni

    Mikoa ifuatayo ndio una wanawake unavoweza fanya nao maisha 1.Kilimanjaro 2.Iringa 3.Kigoma 4.Mara 5.Mwanza Ruksa kukosoa nakaribisha maoni. Mapendekezo... Ushauri Aya twende🏃‍♂️
  14. excel

    JamiiForums Tanzania Unailindaje TV yako kutoka kwenye uharibifu wa watoto wadogo?

    Kulea watoto nyumbani huku kukiwa na vitu rahisi kuharibika kama Tv karibu imekuwa changamoto sana watoto wanapenda kushika shika Vitu pasipo kujua hatari zake. Kwa upande wa Tv basi imekuwa kero, watoto hurusha midori, mipira au kupanda juu ya Tv kabisa hivyo kupelekea kuvunjika kwa kifaa...
  15. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Boresha Mawasiliano Yako - Mbinu Hizi Zitakusaidia

    Habari wanajamvi, Natumaini sote tunaendelea vizuri na Mungu ametuwezesha kufika hapa salama. Kuelewa ujuzi wa mawasiliano ni kama kujifunza kuendesha gari. Huwezi tu kuketi kwenye kiti cha dereva na kuanza; kuna hatua za kufikia kiwango cha kujiamini na mwishowe kuzungusha usukani kwa ustadi...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Write- ups hizi kwa ajili yako

    Hizi ni baadhi ya aina za Writeups kwa ajili yako mpambanaji: 1) A business plan for a startup farming business (Mtaji kuanzia 2ml to 20ml), gharama zake sh 350,000 2) A business succession plan for any agricultural processing business (mtaji 2ml to 50ml) , gharama zake sh 500,000 3) Project...
  17. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Baada ya Maji ya Kilimanjaro Kuchakachuliwa, Je Maji Yako Bora ni Yapi?

    Wahuni wanachakachua sana maji ya chupa ya Kilimanjaro. Mimi nina zaidi ya mwaka mzima sinywi maji ya Kilimanjaro. Maji yangu pendwa kwa sasa ni Dew Drop. Je wewe unakunywa maji gani?
  18. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Usiogope kujenga nipe bajeti yako nikupe nyumba yako.

    Kama rooms 2 haitazidi 10m Kama rooms 3 haitazidi 15m
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hebu fikiria kama ulizaliwa kwa sababu mama yako alihitaji Simu

    Home Arusha, baba Mngoni, Mama Mchaga naitwa Marytina Hebu fikiria kama ulizaliwa kwa sababu mama yako alihitaji Simu, akarubuniwa na ukazaliwa wewe tena ukazaliwa wa kiume Jana nilienda kumtembea mdogo wangu wa KIUME , nilipofika kuna kitu kikaniambia usibishe hodi sogea mlangani, Nikamsikia...
  20. Kasongo yeeyee

    JamiiForums Tanzania MCHENGERWA NA TAMISEMI YAKO FUATILIENI CHATO KUNA UPIGAJI AJABU, HASA KWENYE CHAGUZI NA KAZI NYINGINE MAALUM

    Mhe. Waziri Mchengerwa na wizara yako imulikeni Chato na chukueni hatua mapema. Mambo si mambo kule, hali si hali. Nimepenyezewa taarifa kuwa watumishi wa zoezi la uchaguzi wanadhulumiwa malipo yao kuanzia siku ya kwanza ya uchaguzi hadi leo hii, na hadi sasa zoezi la ugawaji fomu kwa wagombea...
Back
Top Bottom