yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Craig

    MWANAUME KAMA ULIVUNJA NDOA KABLA YA MIAKA KUMI ULIKOSEA.

    Habari wana Jamiii. Wenzangu.. Bila kupoteza muda. Nimeamua kushare na wenzangu humu jukwaani uzoefu wangu niliopitia katika ndoa. Ipo hivi nime ngundua kufanya Utafiti usio rasmi. Kuwa mwanamke ambaye unaishi naye (Bila kujali umeuoa au laa) akitoa kauli ipuuziee kwa sababu wanawake huongea...
  2. Introver

    Tafakari sana kabla ya kuamua hatima yako

    Tafakari sana kabla hujafikia hitimisho Fulani ambalo ndio litakuwa la kudumu katika maisha yako. Kuna watu wengi sana ambao shetani kawafumba macho, na kuwafanya wasifikiri vyema kabla ya kufikia hitimisho la maisha yao. Kwamfano kuna watu wanatazama mwenendo wa watumishi wa uongo, au...
  3. Mr Why

    Siku hizi hakuna muziki, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio. Sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani

    Siku hizi hakuna mziki ni bange zinaimba tu, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani Sijui itakuwa dunia ya aina gani ya watu kuoneshana makali ikiwa hali hii itaendelea Sijajua watu wanaweza kujifunza nini kupitia makalio kama baadhi ya...
  4. F

    Ukirithishwa duka limejaa bidhaa Kariakoo haimaanishi sasa mambo yako ni safi, Lissu na timu yake wamerithi Chama bila kujua misingi yake

    Lissu na timu yake wasipokaa vizuri na Mbowe, ni wazi kuwa CDM itawafia mikononi mchana kweupe. Chadema kimefika kuwa chama kikuu cha siasa kuwahi kutokea Tanzania sio kwa majungu na ubaguzi, bali kwa hekima na bidii kubwa zikiambatana na kujitolea mali nyingi. Wamuulize Mbowe amepoteza...
  5. Paspii0

    Tambua sauti yako ina nguvu kubwa kuliko unavyodhani, itumie kwa hekima

    "Busara ni zawadi ya wale wanaojua thamani ya ukimya, na uzito wa maneno." Katika maisha ya kila siku, tunakutana na watu wengi , familia, marafiki, majirani, au hata wageni. Mara nyingine tunadhani tunazungumza kwa upendo, lakini kwa bahati mbaya, maneno yetu huacha majeraha yasiyoonekana...
  6. ELI COHEN

    Ni nini kipo katika mamlaka? Ni kama kuna zimwi linakuvaa ukishapata kiti kikuu. Linafanya upofu wa macho yako ili uone kwa macho yake litakayo

    Utu huondoka. Unyenyekevu hukimbia. Yani sijui ni exposure na experiences ngumu katika ngazi ya mikakati ya kufikia juu ndio huwa inabadirisha watu au basi mwanadamu ana bweteka kwa kuonesha rangi zake za kweli pale anapopata ukuu wa juu na ili kubaki hapo ana fanya lolote ili aweze ku-survive...
  7. third eye chakra

    Kwamsingi wa madhabahu takatifu nipo hapa kusikia changamoto Yako ya kiafya au hali ya hofu na mashaka.

    Ushauli na tiba ya maradhi mbalimbali kesi ngumu,mazindiko ya majumba,mapenzi na kusoma elimu za tiba kama unajimu na meditation. Unakalibishwa sana ofsini kwangu chamazi dar es salaam. Mawasiliano kalibu pm.
  8. Paspii0

    Tambua nguvu yako iko kwenye namna unavyoshughulikia majaribu

    Oprah Winfrey aliwahi kusema, "Hakuna kinachotutokea kwenye maisha yetu bila kuwa na faida. Hakuna kinachotupata, hata kiwe kibaya namna gani, kinachoishia kupotea bila faida." Maisha huja na changamoto, huzuni, makosa na maumivu. Lakini katika kila tukio, hata lile la kusikitisha au la aibu...
  9. Mr Why

    Baadhi ya fundi nyumba wamekuwa tatizo, wanakujengea nyumba yako na unawalipa malipo yao yote, baada ya hapo wanakusumbua kila wakuonapo wakiomba hela

    Baadhi ya fundi nyumba wamekuwa tatizo, wanakujengea nyumba yako na unawalipa malipo yao yote, baada ya hapo wanakusumbua kila wakuonapo wakiomba hela Hili tatizo linakera sana imepelekea baadhi ya wamiliki wa nyumba na majengo kutokuonekana sana uraiani na kuishi maisha ya siri baada ya kupata...
  10. Heritage123

    Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kuwa Mtumwa wa Simu Kila Siku

    Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kua Mtumwa wa Simu Kila Siku Utangulizi Karibu kwenye zama mpya za biashara za mtandaoni, ambapo teknolojia inaweza kufanya kazi kwa niaba yako 24/7 — hata ukiwa umelala! Ikiwa umechoka kujibu inbox kila saa, kufuatilia malipo...
  11. R

    Brenda Rupia - Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi Chadema weka mawasilian yako wazi ili wenye nia njema wakupe ushauri then uupeleke kwa wahusika

    Kwa mfano, taarifa hii/ushauri huu ni madini makubwa sana. https://www.jamiiforums.com/threads/pamoja-na-kuruhusiwa-watu-kwenda-kusikiliza-kesi-ya-lisu-chadema-kuna-mtego-wametegewa-ngoja-niwasanue-sasa.2336593/page-2#post-53689188 Kama Mulilo anaweza kusema tarehe 24 polisi hawakumkamata...
  12. M

    Jerry Spare Kahama Garage – Suluhisho la Magari Yako Hapa Kahama

    Jerry Spare Kahama Garage ni kituo cha kisasa cha matengenezo ya magari na mauzo ya vipuri halisi, kilichoanzishwa kwa lengo la kutoa huduma bora na za kuaminika kwa wamiliki wa magari mkoani Shinyanga, hasa katika mji wa Kahama na maeneo ya jirani. Ikiwa unahitaji kutunza gari lako liwe katika...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Hii ndio dawa ya kuua mbu wote katika mazingira yako

    Sababu Kuu Zinazowavutia na Kuzalisha Mbu: 1. Maji yaliyotuama Mabeseni, ndoo, madimbwi, matairi ya zamani, mitaro, chupa tupu au vifuniko vya plastiki vikiweka maji – haya ni mazalia ya mbu. 2. Taka zilizochakaa Mbu hupenda kujificha sehemu zenye takataka nyingi hasa zilizo na unyevunyevu...
  14. Heritage123

    Pata Status views wengi Katika Whatsapp Account Yako !

    Kwenye dunia ya leo ya kidigitali, WhatsApp siyo tena app ya kuwasiliana tu na marafiki — ni fursa ya biashara. Ukiitumia vizuri, unaweza kujenga audience kubwa ya watu wanaoaminika, wanaojali bidhaa/huduma zako, na ambao wako tayari kununua. 👇🏽 Hapa chini nitakuonesha hatua kwa hatua jinsi ya...
  15. ELI COHEN

    Upuuzi ni pale unapo analyze mambo yanayofanyika kwa kutumia kipimo cha dini. Yani nyoka sio nyoka tena kwako kama amevaa gamba la dini yako. SHAME!

    Kuna washamba humu JF hata siku akija kuvamiwa na kibaka ndani kwake then kwa bahati nzuri amdhibiti na kumkamata alafu baadae ajue wanashare nae majina ya itikadi moja ataishia kumuachia huru huku akilaumu system za kikristo ndio zimemsababisha awe kibaka. Utu na haki aingaliwi tena hadi hapo...
  16. ELI COHEN

    Kama umekuta umejaliwa wingi wa mali then kuwa makini na ushauri dhidi ya uendeshaji wa familia yako haswa kutoka kwa ndugu.

    Mara nyingi unakuta roho zinauwaumia kwa ndani kutokana na makali ya mafanikio yako,. Watoto wao kutoweza kukufikia maendeleo, Shuguli zake hazilipi kama zako, etc Directly, hawawezi kuku-affect ili ushuke na ubaki kufanana na wao so wanapopata chance adhimu ya kukushauri jambo lililo personal...
  17. Oscar Lyrics

    Status yako ya maisha kwa sasa inaashiria nini?

    -Una Furaha, -Huzuni -Amani ya moyo -Unafurahia maisha -Umevurugwa kwa sababu ya ugumu wa maisha -Unateswa/ kufurahia mapenzi -Madeni -Magonjwa -Migogoro nk -Huna kazi -Kipato kidogo nk Kwa upande wangu mimi ni 50/50 Nb kwa wale ambao ni wagonjwa au wanapitia changamoto yoyote...
  18. Wakusolve

    Je unahitaji logo kali kwa biashara yako

  19. M45

    Ukipata hela yako kula

    Habari za muda huu wanadau wa JamiiAfrica? Juzi kati nilikutana na wazee wawili njiani,wakipeana ushauri wa jinsi ya kutumia hela anayoipata kwenye shughuli zake,kilichonishangaza ni pale mmoja wao alipoomba ushauri wa hela anazopata kila siku azifanyeje,Yule mzee wa pili alimjibu kwa...
Back
Top Bottom