Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).
Kama ulikua hujui kuwa TABIA YAKO inaendana na HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO wacha nikufahamishe;-
Unaweza ukabisha lakini huo ndio ukweli,
Nimefanya utafiti wa kutosha na kugundua haya yafuatayo, Utafiti huu nimeufanya kwa muda mrefu kwahiyo ninacho kisema hapa ninauhakika nacho...
Natumai Mu wazima wa afya..
Tunafanya Skimming bora na ya viwango vya juu kwa gharama nafuu..
Kazi ya Rangi ni kupendezesha, sasa unapokosea Skimming Jengo haliwezi kupendeza kamwe hata urudie Rangi Mara5..
Skimming haitakiwi kubaki na dosari ya Aina yetote..
(Achana na Skimming unamuuliza...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nikwamba kama unatumia smartphone basi utakuwa na Watsapp application katika hiyo simu yako, basi na katika hiyo whatsapp ytako kuna akili mnemba (AI) iliyotengenezwa na Chat GPT ili iwe rahisi kwako kuuliza vitu na kujibiwa! Je unaipataje ni Rahisi sana...
Sheria moja kubwa ya Kaz ni kutochanganya mapenzi kwenye kazi au kutoruhusu mahusiano ya kimapenzi kazini (Inamaana kubwa hasa kama unafikiri kwa kutumia kichwa cha juu)
Je, vipi kuhusu kumuajiri rafiki yako kwenye kampuni au ofisi yako?
Success can sometimes draw unkind judgments from low-minded people. When you achieve great things, they may claim that you did it through witchcraft (uchawi), or if you face challenges, they could say you are cursed (umerogwa).
According to the 48 Laws of Power, achieving great things...
1.Kila zama huja na jambo lake lepesi usipolifanya basi kesho utalifanya likiwa ghari zaidi.
2.Bahati inaweza kurudi mara ya pili lakini inaweza kukuta haupo kwenye mazingira rahisi kama ulivyoipoteza awali hivyo utagharamika.
3.Usiamue kufuata mihemko ya wengine kwa sababu matokeo kila mmoja...
Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu sana naona maji yamezidi Unga
Naja kwenu JF Experts mnisaidie kutafuta ajira hapa na Pale katika field za Logistics and Transport
Napatikana Jijini Mwanza, itapendeza zaidi nikifanikisha hapa maana siwezi kusafiri kwenda Mbali kwa sababu ya mzazi wangu.
Ijumaa kareem wana JF
Leo nimekuandalia hii thread ambayo inaweza ikakusaidia wewe mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya aina yoyote ile iwe ni kilimo, ufugaji au hizi biashara za kwenye frame hapa panakufaa.
Kabla ya yote inatakiwa utambue ya kwamba kuna kitu kimoja ambacho biashara zote...
Familia yako imetekwa na kundi la wahalifu na unatakiwa kwenda kuwaokoa, katika hii orodha unapaswa kupata watu wawili wakusaidie katika kuokoa familia yako. Utamchukua yupi na yupi?
Binafsi nitamchukua John Wick pamoja na John Rambo.
Njia 30 za kuleta wateja kwenye Biashara au huduma yako:
👉Kwa wafanyabiashara wa Online
👉Freelancers
👉Service provider
👉Wanaouza products za afya
👉Wanaouza digital products
👉Wenye ofisi / kampuni
Hizi ni njia za marketing zinazoleta matokeo kwa watu wengi
Thread 👇👇
1. Target watu wengi kwa...
Pongezi na pole ziende kwa Wachokonozi na huyu mwamba mpya anaitwa Chihonda.
Hawa jamaa uwezo wao wa kuchallenge foundation za jamii kuhusu Imani na tamaduni zake inastaajabisha.
Tena wanasema na kuongea hadharani.............
Wakuu ,nmedownload baadhi ya Apps nilizogugo zinazosemekana zinadwnld video YouTube ila Sijafanikiwa .
Ni Application gan nayoweza kutumia?.
Kwa kuanzia naomben hii video , Kwa sisi Wasanii tunaburudishwa na Mpangilio wa Sauti
https://youtu.be/Ae8IA_84Naw?si=MIz142u-I-7GcaO3
Mvulana Aliyependa Kusoma
Kutokea umri mdogo, Jeff Bezos alikuwa na kiu kisichoisha cha kujisomea. Mama yake Jackie alimkuta Jeff mara nyingi akiwa chumbani, akiwa amezungukwa na milima ya vitabu, akiwa amepotelea kwenye dunia za mbali zilizoko vitabuni. Alimtia moyo kwa kupenda kujisomea, kwa...
Jinsi ya Kufanya Biashara Yako Ijiendeshe Yenyewe (Thread)
Biashara nyingi zinashindwa kwa sababu mmiliki anafanya kila kitu mwenyewe.
Huwezi kuwa CEO, marketer, mhasibu, na mfanyakazi kwa wakati mmoja.
Unahitaji mfumo unaojiendesha hata ukiwa haupo.
Siri ya biashara inayojiendesha ni...
WATASHA walisema Maisha ni mipango hili ni sahihi kwa 100%, yawekana tumeshindwa kutoboa kwa kukosa mipango sahihi na kuwa na Nidhamu hafifu ya Fedha.
Muda wa kustaafu kwa mtumishi wa umma ni miaka 60 kisheria, lakini kwa hiari ni kuanzia miaka 55 hadi 59.
Sasa kwa mtu mwenye umri wa Miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.