yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. The Palm Beach

    JamiiForums GenZ chondechonde, wajumbe wa Serikali za Mitaa na vijiji mtawaonea bure kushambulia familia zao. Achaneni na mpango huu

    Hii ni link ya audio video ya GeZ wakijadiliana namna ya kulianzisha tena pengine kabla hata 25/12 na kuendelea.... https://youtu.be/oLG8oqkpG5c?si=8NzhnwgIimcza0Es Kinachopangwa na kujadiliwa ni maandamano ya kuanzia 25/12. Lakini kilichonishitua zaidi mimi si maandamano yenyewe..... Ni kile...
  2. M

    JamiiForums Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali mikoani, serikali inajali usawa kulingana na uhitaji katika kutekeleza miradi l?

    Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote. Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ? Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika...
  3. Website Tanzania

    JamiiForums Nauza Stock Management System ya kusimamia Mauzo na manunuzi katika biashara yako kwa 300, 000 TU

    .
  4. Rungwe88

    JamiiForums Kijana mpambanaji, hatma yako ipo mkononi mwako

    Nitaandika kwa kifupi sana hii mada. Kuna vijana wanajitafuta kutoka kiuchumi ili kukizi mahitaji muhimu kama chakula, malazi(nyumba), na mavazi kwake binafsi, familia, ndugu n k. Sasa yameongezeka mahitaji muhimu mengine kama gari, simu za gharama n.k Sasa kijana mpambanaji hakuna kazi...
  5. Miss Natafuta

    JamiiForums Waziri Aweso unajiharibia CV yako nzuri

    Hakuna waziri nilikuwa namkubali kama aweso Ila kwa sasa amenishangaza Sana hivi unawezaje kumnyima mtu maji zaidi ya week mbili,tatu au nne Waziri kweli unapokea mshahara Ofsini mnaenda kabisa nyie dawasa Jamani kama kwako kuna maji naomba location nihamie Kwa muda .this is too much Hakuna...
  6. L

    JamiiForums Renew leseni yako Mapema

    Ndugu Mjasiriamali, Hakikisha una Renew leseni yako ya biashara Mapema. Kama leseni yako huisha December.
  7. Fbn

    JamiiForums Umepata mapesa mengi kupitia mama yako ila umekuwa wa kujificha sana mpaka kwenye mitandao

    Hakuna ulichokosa tokea mama yako kawa raisi. Kwa kutajwa tajwa kwako kila matukio yanayoendelea hapa. Umekuwa wa kujificha sana yani kama umejifungia mwenyewe uhuru wako. Hata ukaenda kuishi nchi za nje kumbuka kuna watu wanandugu zao uliowafanyia mabaya wewe na mama yako
  8. Smartkahn

    JamiiForums Mwanasiasa yeyote, Hakikisha unajua hesabu ya Matendo na maneno yako kabla hujazungumza

    Tunatarajia kushuhudia mwanasiasa hasa yule mashuhuri(public figure), kuzungumza hoja zilizofanyiwa utafiti na zikathibitishwa kwa uchambuzi wa kina na scope pana. Weledi katika hutuba unahitajika sana, kamwe usije ukajitolea tu maneno kichwani mwako utaharibu mambo. Hayohayo maneno unayotamka...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Mwananchi: Mwigulu tunaona unatufokea kisa hatuwasapoti wasanii. Kama wanakufa njaa waajiri kwenye mabasi yako wawe wanapiga show

    Mwananchi huyu amemchana Waziri Mkuu Mwigulu baada ya kauli yake kuhusu wasanii kutoungwa mkono na wananchi. Amesema; "Tunaona unatufokea kisa hatuwasapoti wasanii. Sasa, kama unaona kwamba wasanii watakufa njaa na mliweza kuwaajiri wakati wa kampeni, hata sasa hivi unaweza ukawaajiri kwenye...
  10. Kimbesa11

    JamiiForums Uhai wako si Mali ya jumuia ni mali Yako binafsi. Ukifa kwa kujitakia utasahaulika na maisha yataendelea, acha kushiriki matendo maovu utakufa

    Binadamu mwenye akili hulinda nafsi yake dhidi ya kifo, huepuka vitu hatarishi vinavyoweza kumsababishia kifo. Acha kujihusisha na makundi hatarishi kama vile wapanga vurugu, wanaotaka kufanya maandamano yasiyo rasimi, kujihusisha na wizi wa Mali za watu, acha kushiriki kwenye upotoshaji wa...
  11. falcon Q

    JamiiForums Maisha yangu, Maisha yako

    We have being a lot in our lives, any of us can tell a very interesting story but May's it's crazy, just hold on what you think of having people who helped you a lot and suddenly they wish you to fall! Funny right, yes it is then why they helped you to the point, a point that will light Avery...
  12. stakehigh

    JamiiForums Ukivuka miaka 30 umeshaishi nusu ya maisha yako, maisha unayopambania sio yako tena bali familia yako

    Kwa wale ambao walifanikiwa kuzaliwa katika familia nzuri wakakuta kila kitu kipo, kama walikuwa na akili nzuri ya maisha basi kabla ya miaka 30 wanakuwa wameshamaliza kujitafuta na kuweka msingi mzuri, hata kama sio kwa kiasi kikubwa lakini sehemu inayobaki ni ya kujazia tu. Kwa mfano: Kama...
  13. N

    JamiiForums Katika dunia ya sasa ya kidijitali kuwa na website au app ya mishe yako muhimu

    HABARI KUU Katika dunia ya sasa ya kidijitali, uwepo mtandaoni si hiari tena bali ni hitaji muhimu kwa biashara, taasisi na watu binafsi. Ikiwa unahitaji website ya kisasa, Android App, au iOS App yenye muonekano mzuri na utendaji wa hali ya juu, sasa ndio wakati sahihi wa kuchukua hatua...
  14. Foffana

    JamiiForums Usimueleze mtu mipango yako na mafanikio yako

    Usimueleze mtu mipango yako kabla hujakamilisha kwa ground wachawi wengi japokuwa hawashiki tunguli Watu wetu wa karibu ndo huwa wanatuharibia michongo yetu siku zote, usimuelezee yoyote kuhusu plans zako Usimuelezee mtu kuhusu hatua zako unazopiga kimaisha kuna watu wana vijicho akikuwekea...
  15. Kimbesa11

    JamiiForums Chief Hangaya ameonyesha uhodari wake wa kuilinda himaya yake

    Chief Hangaya ameidhirishua Dunia kuwa chief hodari mwanamke wa Karne hii ya 21, ameionyesha Dunia kuwa ni chief mwanamke mwenye uwezo mkubwa wa kuilinda himaya yake na watu wake. Huu uhodari ushuke Hadi chini kwa machifu wenzake wadogo wadogo katika kusimamia maadili ya watu wao, ili ifikie...
  16. Oscar Wissa

    JamiiForums Uhusiano kati yako na mwalimu wako/mnasihi wako/kiongozi wako/meneja wako

    INAMAANISHA NINI KUSEMA MWANAFUNZI HAWI MKUU KULIKO MWALIMU WAKE? Kauli ya “mwanafunzi hawi mkuu kuliko mwalimu wake” ina asili ya Biblia (Mathayo 10:24; Luka 6:40) na ina maana pana katika muktadha wa elimu, maadili, na uongozi. Hapa chini kuna hoja 6 nilizoona kwamba zinazoeleza maana na...
  17. K

    JamiiForums PostGE2025 Mama Samia utaongoza nchi ya matukio tu! kwa miaka yako yote iliyobaki!

    Mama Samia utaongoza nchi ya matukio tu! kwa miaka yako yote iliyobaki! ni bora uondoke au utakufa kwa mawazo tu maana hii nchi haitapowa tena.
  18. M

    JamiiForums Tunakuomba Rais wetu atupungie hata Mkono siku ya Uhuru leo tusikie hata sauti yako

    Jamani nikiwa kama Mtanzania kada mwaminifu wa CCM naomba Mama angalau atupungie mkono, maana kwa mara ya mwisho tumemuone siku akiongea na wazee wa Daresalamu, tumekumisi
  19. Fbn

    JamiiForums Ukipiga simu sana leo D9 App ya true call inakwambia kuna mtu ameangalia namba yako wakati ufahamu hiyo namba

    Mnaotumia true call mnaweza kujiuliza leo tarehee 9 .App ya true call inaweza kukuonesha wanaokutafuta kama wataweka namba yako. Na kwa nini ili jambo limeanza leo
  20. Mwachiluwi

    JamiiForums Simu yako isikose game au story za kusoma pindi mtandao unapo zimwa

    Wakizma mtandao simu zita kuwa kam tochi tu umejipangaje andaa magem yako lakini pia story story ninazo sema utaka ipi ya kichawi kijsusi au chombezo nakutumia pm utajua wewe pakwenda kusav ili uwe una soma Leejay49 nina story zako 3
Back
Top Bottom