ya mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kesho ndiyo siku ya mwisho ku-confirm chuo gani utajiunga kama una multiple allocations. Wanafunzi watarajiwa Do the needful. Msaada please

    Kesho ndio mwsho wa ku confirm chuo gani unajiunga, short of that unakosa vyoye. Msaada: Je nikiconfirm kwenda chuo fulani, lkn bado my preference sikuchaguliwa nataka kujaribu second window/round. Je inawezekana nikafanya application?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Umri huu ni kete yako ya mwisho, ukikosea ni majuto hadi unaingia kaburini

    Nina miaka 37, katika umri huu nimekuwa nafanya mambo mengi ya kiuchumi na kijamii hivyo najikuta nakutana na watu wengi sana tunaobadilishana nao mawazo yanayohusu mambo mengi ya uchumi na jamii, nilichokibaini wengi wa watu wanajutia makosa yao na wameshindwa kuyarekebisha makosa yenyewe ni...
  3. K

    JamiiForums Tanzania UK inaweza kuwa nchi ya kwanza na ya mwisho kupigwa na kombola la Nuclear la Urusi, kaingia kwenye mtego mazima.

    Baada ya kusoma habari hiyo, ni wakati sasa wa kuamini kwamba UK kaingia kwenye mtego wa Urusi na inaweza kuwa ni nchi ya kwanza na ya mwisho kutupiwa bomu la Nuclear kutoka Urusi. Kuitambua Wagner kama kikundi Cha kigaidi maana yake ni kwamba: 1) watataka kuingia mpaka ndani ya Urusi kuwasaka...
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu, mara ya mwisho kula hii kitu ilikuwa lini?

    Wanaume tumekuwa tukiangaika sana juu ya kufanya vizuri tuwapo kwenye tendo, wapo wanaotumia sijui mkongo, vidonge, energy drinks nakadhalika ili kuwa na pafomansi nzuri kwenye tendo. Hivyo vyote hapo juu vina madhara kiafya tena vinakumaliza kabisa maana kuna kipindi usipovitumia hivyo huwezi...
  5. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Maneno ya mwisho kuhusu maisha ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56

    Maneno ya mwisho ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56 “Nimefikia kilele cha mafanikio katika ulimwengu wa biashara. Katika macho ya wajinga, maisha yangu ni mafanikio. Hata hivyo, kando na kazi yangu, nilikuwa na furaha kidogo sana. Mwishowe, utajiri ni ukweli tu...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa KIMATAIFA Chato ulipokea wageni wa kimataifa mara ya mwisho mwaka 2021

    Uwanja wa hadhi ya kimataifa, haujapata ugeni wowote wa kimataifa tangu Mzee wetu JPM afariki mwaka 2021. Hakuna watalii Wala tukio lolote la kimataifa. Kwa nini ulijengwa kwa hadhi ya kimataifa na mataifa hayafiki hapo uwanjani? Au walijengewa watu wa mataifa(wakristo watanielewa)
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyemuua, kumtupa mwanafunzi UDOM ahukumiwa kunyongwa

    "Ni kweli nilimuua Happiness na nilimuua Kigamboni mji mpya nyumbani kwetu kwenye chumba ninacholala,” hii ni sehemu ya maungamo ya muuaji wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), Happiness Fredrick. Idrisa Mwangobola ambaye Ijumaa iliyopita alihukumiwa kunyongwa alieleza hayo katika maelezo...
  8. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Mara yako ya mwisho kuangalia movie za kihindi ilikuwa lini?

    Me mara yangu ya mwisho kuangalia movie za kihindi ni mwaka 2017 ilikuwa movie moja hivi inaitwa 'Shanklaj' Kwenye hii movie bana starling alipiga teke tembo, hadi tembo ikapaa, nikasema sitokaa tena niangalie Hindi movies. wewe kwa upande wako ilikuwa lini? au bado unatazama.
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yapewa nafasi ya mwisho kesi vigogo wa bandari

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa nafasi ya mwisho kwa Serikali kabla ya kutoa uamuzi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande na wenzake watano. Hatua hiyo inatokana kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 38/2022...
  10. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Research yangu imekamilika ya kupima kiasi cha data “kilichopigwa” kwenye bando la mwezi, Haya ndio matokeo niliyopata

    Nipo natumia huduma ya Tigo postpaid, nalipia elf 60 kupata gb 80 kila mwezi (mikataba kwa wateja wapya imebadilika unapewa gb 72) Kifurushi hiki huwa kinajiunga chenyewe kila tarehe 1 ya mwezi mpya saa sita usiku siku inapoanza. Nilitaka kufanya utafiti wa kujua kama pana upigaji maana ni...
  11. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atumie kete yake ya mwisho kumaliza utata wa bandari

    Mpaka sasa tumeachwa gizani hatujui mustakabali wa nchi yetu swala la mkataba wa bandari upande wa utetezi ukimsikiliza Mheshimiwa waziri mkuu ,waziri wa ujenzi na uchukuzi,na msemaji wa serikali hawa wote nimewasikiliza kauli zao kila mtu kila mtu anasema lake lakini bado hawakati kiu ya...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Turufu yetu ya mwisho kujitoa mkataba wa DP World ni kuwakata waliohusika kujadili na kusaini kwa tuhuma za rushwa

    Kama mkataba ni mbaya na ni wa milele, Turufu yetu ya kwanza kujitoa ilikuwa kupingwa na bunge ingekuwa wazi kwamba mchakato wa kisheria haukamiliki kwa mtu mmoja kutia saini. Hiyo wabunge wetu wanajigamba kuwa magwiji wa sheria hawakuona. Sasa ni kuunda timu ya kuchunguza ambayo itaibuka na...
  13. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Bajeti yangu ya mwisho ya Tanganyika

  14. J

    JamiiForums Tanzania Yaani Messi ameikataa Barca na kwenda kujiunga na timu inayoshuka daraja, ni ya mwisho kwenye msimamo

    Kama mnavyojua Messi anajiunga na cub ya Inter Miami ya Marekani Kwenye msimamo wa ligi hiyo club hiyo ni ya 16 kati ya timu 16
  15. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Nimekuja kwa Mara ya mwisho kutafuta mke

    Wakuu bado Nahitaji mke. Niliwahi kuleta Uzi humu 👇🏾👇🏾 https://www.jamiiforums.com/threads/nahitaji-mke-wa-kuoa.2087011/
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Leo nasema kwa mara ya mwisho Shida Kuu ndani ya Simba SC na yasipotatuliwa Wahusika Watapigwa Ngumi

    Shida Kuu Simba Sports Club 1. Mwekezaji Mo na Uongo wake juu ya kuweka Tsh 20 Billion huku akifaidika zaidi na Timu kuliko Simba SC inavyofaidika nae 2. 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni Wapigaji huku kila Mmoja akiwa na Mchezaji wake kwa ajili ya 10% na wasipoipata wanawalazimisha...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya mwisho ya Membe akieleza sababu za kutoelewana na Magufuli

    Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (68), hatimaye amefichua mambo yaliyomfanya asielewane na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli. Membe ambaye ni mmoja wa mashushusu hodari nchini, amesema Rais Magufuli, pamoja na mambo mengine, alimfitini...
  18. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho kupata new contact lini?

    Hellow african wote tuna simu wote tuna marafiki na wote tuna marafiki tofauti Je mara mwisho kusave namba mpaya ambayo ni muhimu sana ni lini? Au bado unasave namba ya single mother na videmu vya mtaani? Mimi yapata miezi sita sasa sijasev namba mpaya nyingi naziweka panding how about wewe
  19. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Mara yako ya mwisho kusoma Biblia au Quran ilikuwa lini?

    Amani ya Bwana iwe nanyi nyote, Ndugu zangu, Pamoja na pilikapilika na mihangaiko ya kutafuta mkate wa kila siku, inatupasa kuendelea kumtumikia Mungu mwenyezi aliyeziumba mbingu na nchi na vitu vyote tuvionavyo na tusivyo viona, Simu zetu zimekuwa karibu zaidi kuliko vitabu vitakatifu vya...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Saa 10 za gharama kubwa duniani, ya bei ndogo ni Tsh. Bilioni 11.7 aliyopewa JAY-Z na mkewe Beyonce

    Kwa mujibu wa Mtandao wa KRONOS 360, Hizi saa ndio zinaongoza kwa kuuzwa gharama kubwa kwenye minada duniani. Kumbuka ni kati ya saa zilizotengenezwa kwa oda maalumu au chache. Hivyo sio rahisi kuzipata madukani. 1- Graff Diamonds - Hallucination - Tsh. Bilioni 128.7 2. Chopard – 201 carats -...
Back
Top Bottom