Research yangu imekamilika ya kupima kiasi cha data “kilichopigwa” kwenye bando la mwezi, Haya ndio matokeo niliyopata

R-K-O

JF-Expert Member
Jun 27, 2023
482
2,138
Nipo natumia huduma ya Tigo postpaid, nalipia elf 60 kupata gb 80 kila mwezi (mikataba kwa wateja wapya imebadilika unapewa gb 72)

Kifurushi hiki huwa kinajiunga chenyewe kila tarehe 1 ya mwezi mpya saa sita usiku siku inapoanza.

Nilitaka kufanya utafiti wa kujua kama pana upigaji maana ni kawaida sana kwa mitandao yetu kusikia haya malalamiko kutoka kwa wateja, nikaona nami nifanye research yangu. Yani mwezi huu wote nimetumia internet kwenye router ya Tigo naunga wifi kwenye vifaa vingine, router hii ina ukurasa wa kuonyesha kiasi cha data ulichotumia kwa muda wote.

Tarehe 31 mwezi wa tano May mida ya jioni nilimaliza kifurushi line nikaingiza kwenye simu ya kitochi, nika reset router ya Tigo ili ianze upya kabisa kuhesabu matumizi, data used ilikuwa inasoma 0.00 GB, ilipofika saa sita na dakika tatu mesej ikaingia kwenye kitochi nimeungwa gb 80 nikaingiza line kwenye router.

Hatimae leo ni siku ya mwisho ya research yangu.

Tarehe za mwanzo matumizi na salio vinawiana ila tarehe zikisogea taratibu unaanza kuona difference.

Leo siku ya mwisho usiku huu wakati router inaonyesha nimetumia GB 78.440, internet ikawa ngumu kuconeect, hali hii ni kawaida zikibaki MB chache, nilipocheki balance zilikuwa zimebaki MB 28.

Nikarestart router ili nizimalizie hizo MB ila internet ikawa inasua sua, nikaamua nifunge hesabu za research,

screenshot nimeziweka kwenye router matumizi ni GB 78.450, salio ni MB 18.35

du2.JPG

wbal 2.jpg

Nimefikia muafaka kwamba tigo wanachapa asilimia 0.195x % - almost asilimia 2%

Possibilities nazoziona

  • Huenda ni within margin of Error
  • Labda naongezewa matumizi (Napigwa) kwa asilimia 2%, kwa kila GB 1 kiuhalisia zinapunguzwa asilimia 2 sawa na MB 20 (GB 0.02), ama tuseme ya kwamba ni sadaka 😂
  • Labda tatizo lipo counter ya router inayohesabu matumizi,

My personal view
Wala si mbaya, sijaumia maana kuna mitandao nishawahi tumia, asilimia 20 hadi 50 inapotea kimiujiza, Nishawahi kutumia mtandao flani sio poa, hata sijaanza kutumia natumiwa meseji nimetumia asilimia 75%, sijakaa sawa nikapokea meseji inakuambia kifurushi kimekwisha.

Kwa hizo Gb 78 kwa siku 30 bado ninaweza kutumia GB 2 na nusu Daily, Possibilities zinaweza kuwa nyingi kwa matokeo niliyoyapata, siwezi kufanya conclusion haraka.
 
Nipo natumia huduma ya Tigo postpaid, nalipia elf 60 kupata gb 80 kila mwezi (mikataba kwa wateja wapya imebadilika unapewa gb 72)

Kifurushi hiki huwa kinajiunga chenyewe kila tarehe 1 ya mwezi mpya saa sita usiku siku inapoanza.

Nilitaka kufanya utafiti wa kujua kama pana upigaji maana ni kawaida sana kwa mitandao yetu kusikia haya malalamiko kutoka kwa wateja, nikaona nami nifanye research yangu. Yani mwezi huu wote nimetumia internet kwenye router ya Tigo naunga wifi kwenye vifaa vingine, router hii ina ukurasa wa kuonyesha kiasi cha data ulichotumia kwa muda wote.

Tarehe 31 mwezi wa tano May mida ya jioni nilimaliza kifurushi line nikaongiza kwenye simu ya kitochi, nika reset router ya Tigo ili ianze upya kabisa kuhesabu matumizi, data used ilikuwa inasoma 0.00 GB, ilipofika saa sita na dakika tatu mesej ikaingia kwenye kitochi nimeungwa gb 80 nikaingiza line kwenye router.

Hatimae leo ni siku ya mwisho ya research yangu.

Mida ya usiku huu wakati router inaonyesha nimetumia GB 78.440, internet ikawa ngumu kuconeect, hali hii ni kawaida zikibaki MB chache, nilipocheki balance zilikuwa zimebaki MB 28.

Nikarestart router ili nizimalizie hizo MB ila internet ilikuwa nzito inasua sua, nikaamua nifunge hesabu za research nikanasa screenshot nilizoweka hapa. Kwenye router matumizi ni GB 78.450, salio ni MB 18.35

View attachment 2674561

View attachment 2674564

Nimefikia muafaka kwamba tigo wanachapa almost asilimia 2%

Kupigwa hakuepukiki ila siwezi kujutia sana kuchapwa asilimia 2, I can handle it.

Niliwahi kutumia mtandao flani nao wana mabando bei chee ya mwezi, bando la 8 gb lilipukutika baada ya kutumia GB 4.8, sijutii kuchapwa 2%.
Hiki kifurushi ni halali na unajiungaje? Nataka kuijua
 
Ni halali kabisa

15,000 - 15 GB
30,000 - 35 GB
40,000 - 48 GB
60,000 - 72 GB
100,000 - 120 GB

Kama unatumia mawasiliano kwa tigo, vipo vya ziada vilivyochanganywa muda wa maongezi, data na mesej.

Nenda ofisi za tigo, beba tin namba na leseni ya biashara.

Wanafunzi na waajiriwa wengi hawana hizo tin wala leseni, hutumia vishoka wa kwenye magroup ya fb/whatsapp, hata humu wapo kwenye post za vifurushi - unawapa kumi na namba yako unasajiliwa.
 
Ni halali kabisa

15,000 - 15 GB
30,000 - 35 GB
40,000 - 48 GB
60,000 - 72 GB
100,000 - 120 GB

Kama unatumia mawasiliano kwa tigo, vipo vya ziada vilivyochanganywa muda wa maongezi, data na mesej

Nenda ofisi za tigo ukiwa tin namba na leseni ya biashara.

mbadala ni kwa vishoka, hasa wale jamaa wanaosajili line mitaani na wengine huwa naona wapo humu na kwenye magroup ya fb/whatsapp, unawapa 10 ya maji unaunganishwa.
Vipi kama mm sio mfanya biashara
 
Leseni ya biashara ya nini mkuu?
What If mtu ni muajiriwa?
 
Mwezi ?
Ni halali kabisa

15,000 - 15 GB
30,000 - 35 GB
40,000 - 48 GB
60,000 - 72 GB
100,000 - 120 GB

Kama unatumia mawasiliano kwa tigo, vipo vya ziada vilivyochanganywa muda wa maongezi, data na mesej.

Nenda ofisi za tigo, beba tin namba na leseni ya biashara.

Wanafunzi na waajiriwa wengi hawana hizo tin wala leseni, hutumia vishoka wa kwenye magroup ya fb/whatsapp, hata humu wapo kwenye post za vifurushi - unawapa kumi na namba yako unasajiliwa.
 
Unautani
Nipo natumia huduma ya Tigo postpaid, nalipia elf 60 kupata gb 80 kila mwezi (mikataba kwa wateja wapya imebadilika unapewa gb 72)

Kifurushi hiki huwa kinajiunga chenyewe kila tarehe 1 ya mwezi mpya saa sita usiku siku inapoanza.

Nilitaka kufanya utafiti wa kujua kama pana upigaji maana ni kawaida sana kwa mitandao yetu kusikia haya malalamiko kutoka kwa wateja, nikaona nami nifanye research yangu. Yani mwezi huu wote nimetumia internet kwenye router ya Tigo naunga wifi kwenye vifaa vingine, router hii ina ukurasa wa kuonyesha kiasi cha data ulichotumia kwa muda wote.

Tarehe 31 mwezi wa tano May mida ya jioni nilimaliza kifurushi line nikaingiza kwenye simu ya kitochi, nika reset router ya Tigo ili ianze upya kabisa kuhesabu matumizi, data used ilikuwa inasoma 0.00 GB, ilipofika saa sita na dakika tatu mesej ikaingia kwenye kitochi nimeungwa gb 80 nikaingiza line kwenye router.

Hatimae leo ni siku ya mwisho ya research yangu.

Tarehe za mwanzo matumizi na salio vinawiana ila tarehe zikisogea taratibu unaanza kuona difference.

Leo siku ya mwisho usiku huu wakati router inaonyesha nimetumia GB 78.440, internet ikawa ngumu kuconeect, hali hii ni kawaida zikibaki MB chache, nilipocheki balance zilikuwa zimebaki MB 28.

Nikarestart router ili nizimalizie hizo MB ila internet ikawa inasua sua, nikaamua nifunge hesabu za research,

screenshot nimeziweka kwenye router matumizi ni GB 78.450, salio ni MB 18.35

View attachment 2674561

View attachment 2674564

Nimefikia muafaka kwamba tigo wanachapa asilimia 0.195x % - almost asilimia 2%

Kupigwa hakuepukiki, siwezi kujutia sana kuchapwa asilimia 2, I can handle it.

Niliwahi kutumia mtandao flani nao wana mabando bei chee ya mwezi, bando la 8 gb lilipukutika baada ya kutumia GB 4.8, sijutii kuchapwa 2%.
unautani na Halotel 😅😅
 
Back
Top Bottom