wote

  1. JamiiForums Tanzania Niliapa na nilimaanisha Kazi imeisha Yanga SC anakufa 'nyingi' tarehe 11 Disemba, 2021 Wana Simba SC wote 'furikeni' Uwanjani

    Sijawahi kufeli Kitu kama tu nikikiamua!! Na nimewaweza na kuwashika patamu kweli kweli kwani Nyodo zao ndizo zimeniibua Chimbo ili nije kuifanyia Kazi Simba SC yangu. Yanga SC kama wakitaka Kukibadilisha nilichowafanyia Wakubali Mmoja wa Kiongozi wao au Mmoja wa Mfadhili wao au Mmoja wa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Upelelezi uliofanywa kwa kampuni ya kituruki na uwaguse wawekezaji wote wapya

    Rais Samia aliongea kwa ukali pale bandarini siku ya tarehe 4 mwezi huu wa Desemba. Sina uhakika kama wasaidizi wake walimtegemea kumsikia akiongea kwa kujiamini kiasi kile. Ni kama vile Rais ameanza kutanua makucha yake. Ule muda wa honeymoon ya miezi ya kutambuana kati yake na wasaidizi wake...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu, doa la kumfunga Mbowe halitafutika, watangulizi wako wote walilikwepa

    Nyerere alisema hakuna chama makini kama Chadema wakati huo Mbowe akiwa Katibu Mkuu wa chama, Mkapa akaona isiwe tabu akatunga sheria Mwenyekiti na Mkurugenzi wa NEC wateuliwe na rais lengo likiwa ni kui-contain Chadema na Mbowe, Kikwete hadi akamuita Mbowe ikulu akanywa nae juice. Magufuli...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza wote waliotajwa kwa wizi wa Fedha za Umma kwenye Ripoti ya CAG washughulikiwe

    Rais wa Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania ikiwemo TAKUKURU Mhe Samia Suluhu Hassan amesema haya... "Mkurugenzi wa TPA, Waziri na TAKUKURU mpo, naamrisha ripoti ya CAG mkaisome, halafu mchukue hatua, fedha nyingi sana imepotea watu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ummy: Wanafunzi wote waende likizo mwezi Desemba, masoma ya ziada no

    ||Sitaki kutia neno, Msikilize hadi mwisho Waziri wa TAMISEMI Mhe Ummy Mwalimu,
  6. JamiiForums Tanzania Kigogo yote,mabibo na Mburahati muda huu usiku hamna maji na umeme.walaaniwe wote wanaohujumu hizi huduma

    Thread was deleted
  7. JamiiForums Tanzania Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

    Taarifa kamili hii hapa
  8. JamiiForums Tanzania WhatsApp imetoa App mpya kwa watumiaji wote wa Windows

    WhatsApp imetoa app mpya kwa watumiaji wote wa Windows. App mpya ya WhatsApp imebadilishwa UWP (Universal Windows App) yote ili kuendana na Windows 11 na Acrylic graphics Effects mpya za Windows. Kwa sababu inatumia mfumo mpya, Inafunguka faster sana (chini ya sekunde 2); ina maboresho ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kheri ya Jumapili Wahenga wote, kuna Kasongo hapa tukumbukie

  10. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake

    Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake. Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja. Anaishi nyumba ya kupanga. Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza...
  11. JamiiForums Tanzania Kinyaa penati ya Yanga vs Namungo

    nimeita kinyaa kwa sababu ya maamuzi yenye kinyaa. Bila aibu...refa anaamua penati kabisa hata akili ya mtoto mdogo inakataa. Sidhani kama ni hakuona ukweli wa namna beki alivyocheza....refa hakua mbali na tukio... Hata kama refa alisubiria tukio hilo si kwa kwa uwazi ule. Azam Tv wamewekeza...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Watia nia wote waidhinishwe na wazee wa majimbo

    Chuki za kuturudishia majina ya Gwajiboy huku hawakubaliki kisha wanaokubalika mnasema walikuwa watoa rushwa halafu ninyi wenyewe mnakuwa wakwanza kuwanunua watu hii haikubaliki kabisa. Wazee ndio wanawafahamu vijana wao bila kujali chama gani ndio wawaidhinishe kugombea majimboni kutoa ujinga...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Umeme wa Maji Tanzania ni 36.64% tu ya umeme wote

    Watanzania ni wagumu sana kufuatilia data hata zile ambazo ziko wazi. Kuna Watanzania wengi wanaamini umeme wetu mwingi ni wa maji! hii sio kweli . Ukienda kwenye mtandao wa Tanesco umeme wa maji ni 36.64% tu. Hivyo hata maji yakipungua kwa 50% nzima umeme kwa ujumla wake unatakiwa kupungua...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme: Rais, Waziri Mkuu na Waziri husika, wote wanapaswa kujiuzulu kabla hawajamuwajibisha yeyote yule

    Tatizo la umeme nchi hii haijaanza leo, huku chanzo kikubwa cha tatizo miaka yote kikiwa ni kile kile. Hivyo? hakuna sababu mpya na ilio nje ya uwezo wao zaidi ya hizi serikali za CCM miaka yote kushindwa kuja na suluhu ya Kudumu ya hili tatizo. Serikali ya Magufuli ambayo Mama Samia alikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

    Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
  16. JamiiForums Tanzania Kero yangu: Kuulizwa kama nalipa bili ya watu wote

    Ni pale mnapoenda kundi sehemu kama bar au mgahawa. Mpo meza moja, kila mtu anaagiza usawa wake, mnakula na kunywa vizuri. Inapofika wakati wa kulipa ukiwa wa kwanza kulipa mhudumu anakuuliza kama akate bili ya watu wote.......aaaagttttt Wewe muhudumu nani kakwambia kama ukate ya watu wote...
  17. JamiiForums Tanzania Simba wameingizwa choo cha kike, kocha Pablo ni magumashi

    Makolo mulibwanji?😄😄 NAWEKA REKODI SAWA JE PABLO FRANCO MARTIN, ALIWAHI KUWA KOCHA MSAIDIZI WA REAL MADRID? Taifa limeendelea kudanganywa kwa mara nyingine, naweza kusema hivyo bila shaka. Pia, udhaifu wa wachambuzi wetu katika kulipokea jambo fulani kisha kulifanyia utafiti wa kina...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia amewezaje kufanya haya yaliyowashinda Marais wote?

    Nipo jijini mwanza kiukweli mji unapendeza. Nimepita maeneo karibia yote makoroboi, nyasaka, nyamhongolo, buhongwa. Dah! Siamini machinga wote wamehama tena wenyewe kwa mikono Yao, wamebomoa wenyewe bila vurugu zozote. Mama Samia amewezaje ilihali watangulizi wake wote walishindwa na...
  19. JamiiForums Tanzania DC Makala, hakikisha kuwa wamachinga wote hawarejei kwenye maeneo tena

    Waliotii agizo la serikali la kuondoka bila shuruti kwenye maeneo yasioruhusiwa kwa biashara wanavunjika moyo kuona wenzao waliovunjiwa panoja bado wanaendelea na biashara zao kwenye maeneo yaleyale waliyoyahama. Hii itasababisha yafuatayo: 1. Wanunuzi wasiende kwenye maeneo mapya kutafuta na...
  20. JamiiForums Tanzania Dar: RC Makalla apingana na kauli ya Shaka kuhusu Machinga, asema machinga wote wamepangwa vizuri

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema zoezi la kuwapanga vizuri Wamachinga katika Jiji la Dar es Salaam limeenda salama pasipo usumbufu wowote na kusema kwa sasa ameagiza maeneo walipoondoka Machinga yasafishwe na yafanyiwe ukarabati. "Maelekezo ya Rais Samia yalikuwa zoezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…