Usiogope tambua heshima Pesa ionekane kwenye wallet yako: Fuatilia mkasa wote

Kichwamoto

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
3,353
4,535
Habari JF family! Gawiza?

Story hii inamixer zote uwe mvumilivu. Way back mwaka 2012-2013, hii miaka sikuwa na gari kabisa ila already nilikuwa na viwanja si haba kimara bonyokwa 40x50, Mapinga bagamoyo eka moja na nusu eka, Mpiji magoe sio mbali na Dr. Mvungi R.I.P mwamba, eka moja, CCM chama closer unapita kwa mzee haule nusu eka, Vikunazi eka moja, Bungu B eka 2, I was obsessed with Dsm, haikuwa miujiza nilipenda ardhi na naamini katika ardhi, nilikuwa na imani ardhi ni pesa ghafi, cha ajabu katika maisha ya kawaida nikawa najiona mnyonge ila nikiona makaratasi na vitu vyangu kwa maandishi nikawa najifariji.

Ukiwa na assets za ardhi hazionekani kwa masela nikawa nakosa impact kwa masela mjini yaani sina faida ya kutafutwa kwa kampani au kualikwa au kutembelewa niliishi Riverside, kibangu, Riverside karibu na go down la Banana, Ubungo kisiwani nyuma ya lunch time hotel, Kimara Baruti bondeni karibu na kwa kilonzo.

nilijifungia sana kimaisha but severally over the weekend I visited many outdoor places in Sinza, Mabibo mwisho, Magomeni travetine, Kinondoni, Kijitonyama, Msasani Club, Mlimani city samaki sport, Zile bar za ungo Yenu bar, Rombo hotel, Riverside bar, Show za ngwasuma, show za Mzee yusufu.

Naturally napenda kuwa attached na uwepo wa kampani za wanaume wenzangu am no womanizer.

Sasa jiji la Dsm watu wengi toka mikoa baada ya chuo akipata kazi sijui Mantrack, sijui Nani advocates, CRDB , Baclays bank, GTV, Zantel na CPA etc, TRA, na upupu kibao wanaona wenye TGS D, E1, kwingine ni vibonzo kwa hio utasahaulika kote ila utatafuwa kupewa taarifa ya kadi ya harusi na mchango tu.

Nawashukuru sana wanawake wadada,mabinti asante sana penye rutuba mnaona na mnastawi japo hata muwe magugu muhimu ni symbiotic gains.

I had and have guts, hivo pamoja ha kutokuwa na liquid cash ya kujimwaga nilikuwa nadraw pesa yote 250+100=350 nakaa nayo kwenye wallet ila Daily expenses ni elfu5 tu. Hii mbinu nilijifunza kwa Mpare mmoja by acquiring, mostly he had cash tshs.na bosheni ya dolla kadhaa za marekani lazima zionekane kila akifanya payments.

Riverside ubungo kulikuwa na mgahawa karibu na bango la antoni lusekelo mzee wa upako. Namshukuru sana mwekezaji chakula kizuri I was happy, also I chewed one waitress amazing and hot one.

Every time I paid cash natoa elfu5 nabaki na minoti ya bosheni.

Hio kitu bila kujua kumbe ikawa inanijengea heshima mi sijui, si kwa watoa huduma tu bali hata kwa wateja wengine, ikumbukwe watoto wazuri wa UDSM wa mabibo hostel watembea kwa miguu kukwepa foleni au kukata boom wanapita hapo, Kale kaclub ka ubungo external si haba,

Jamani wanawake wakijua sifa yako fulani hawakusahau khaa!!

Everywhere Kaka mambo! Naitikia salamu siwajui siwakumbuki, bajeti yangu elfu5 per day.

But I said am from Najja schools in Kpla, I encountered thousands of kabinas and cutiz than what I see here, equally my time in Eldoret and Nakuru several Manyakeezi.

Nikajisemea acha niseme nao nikijipatia phone numbers ntascreen out, kisha ntajua vile itakuwa.

I ended up with tens of girls friends, 98% just friends. Nikawamobbed na friends and kisha nikawa nawapasia wenye impact mjini nikienda club bills kisha nikabarikiwa kupata kazi ofisi nzuri nikapata heshima zingine Iringa, Namtumbo, na Madaba.

Kupitia hao girls kila mmoja akivutiwa na kibunda kwenye wallet yangu, I wasn't static seminars, warsha, safari shukrani kwa mabosi zangu niliendelea kubarikiwa nikapanda hadi uwezo wa elf15 per day matumizi, Mungu mwema awape zaidi na zaidi.

Kosa marafiki wote ila si mwanamke umpendae na akupendae hata ukitengwa kwa ufukara au kipato duni na marafiki wa kiume hutaona pengo. Wekeza wekeza utavuna kesho na beyond the horizon

Ardhi ni hazina kubali udharaulike kwa muda wa mpito kwa heshima isiyo na ukomo.

Be yourself, live your dreams! Play smart & safe always!

1. Umeshawekeza kwenye Ardhi kwa kujibana kwa 5 good years
2. Mshahara mdogo
3. Pesa ya kuhonga huna
4. Uwezo kumiliki demu mkali huna
5. Masela wana kazi nzuri mishahara mizuri, wana Magari na mademu wazuri
6. Uwezo wa kuwa kama wao unaweza ila umeamua kuishi ndoto zako lakini ile hali ya kibinadamu unajihisi unakosea inakupa unyonge
7. Natamani kuiga nafsi inakataa inasema mbona bado kidogo tu vumilia
8. Yes jibu ndio upo wakati wako usiogope
 
mkuu kiukweli sijakuelewa. kichwa cha uzi na unazungumzia nini. embu ipitie na ww story yako.
labda mwanzo na mwisho kidogo ndio nimekuelewa ulitaka kuzungumzia kitu gani.
 
Hapa naona umetaja kuwa una miliki viwanja tu.
Nimeacha gap la fikra kichwa cha habari na michanyato yake way back 2012-2013, kilichofuata kuna hio iringa, namtumbo na madaba, na thamani ya hivo viwanja na mashamba kwa sasa ibaki ilivo itoshe hapo tu. Live with purpose Mungu yupo na mwamini.
 
mkuu kiukweli sijakuelewa. kichwa cha uzi na unazungumzia nini. embu ipitie na ww story yako.
labda mwanzo na mwisho kidogo ndio nimekuelewa ulitaka kuzungumzia kitu gani.
Utamu ni hio wewe kutokuelewa ndio kusudio langu usipoelewa ndio utaelewa
 
Back
Top Bottom