wote

  1. JamiiForums Tanzania Bidhaa za taulo za kike kutolewa bure kwa Wanawake wote Scotland

    Kuanzia leo Agosti 15, Wanawake nchini Scotland wanaanza kupata Taulo za Kike bila malipo kufuatia Sheria muhimu iliyopitishwa mwaka 2020. Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali iliyotolewa na Katibu wa Haki Jamii, Shona Robinson imesema Halmashauri na watoa Elimu watalazimika kisheria kuhakikisha...
  2. JamiiForums Tanzania Unajisikiaje ukikutana na Rafiki zako mliosoma wote kipindi hicho, wako mbali sana kimaisha

    Habari za Jumapili wanajukwaa,Pia poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.Niende kwenye mada husika hapo juu hivi huwa unajisikiaje hasa pale unapokutana na rafiki zako mliosoma wote kipindi hicho wako mbali sana kimaisha kuliko wewe? Kwa Upande wangu hii imenikuta wakati natoka...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Uhakika wa vitendo: Filosofia itakayotufanikisha mtu mmojammoja ama kutufelisha wote kama Taifa

    ‘KURUTI!, UHAKIKA WA VITENDO!’ kwa sauti kali ya kuamrisha mara ya kwanza naisikia ilikuwa ni jeshini. Ilipenya na kueleweka haraka kwa sababu mbili; Mosi, kile nilichokijua tangu mwanzo kuhusu uhakika, nilipenda kulitumia kiingereza ‘sure’. Lakini sababu ya pili ipo wazi ni kuogopa adhabu...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto aonekana mwenye Furaha muda muda wote anatabasamu

    Salaam Wakuu, Jioni ya leo, Mgombea Urais wa Kenya Ruto, ameonekana mwenye tabasamu muda wote. Ni baada ya kukutana na Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika Agosti 9, 2022. Nini siri ya hili tabasamu?
  5. JamiiForums Tanzania Uwezo wa Freeman Mbowe unafikirisha sana, karibia wapinzani wote Afrika wanaingia Ikulu

    Mbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake. Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Ni sawa umenizaa, lakini umefupisha maisha yangu

    Jioni ya jana nikiwa natoka katika harakati zangu za kila siku niliamua kufaya mazoezi kwa kutembea kwa miguu tokea kazini hadi nyumbani tofauti na nilivyozoea malanyingi huwa napanda usafiri wa umma asubuhi na jioni kwasababu sina chombo binafsi cha usafiri. Nikiwa nakatiza katika mitaa karibu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zelensky sasa anataka dunia yote iwasuse warusi wote. Warusi wote warudi urusi!! Dunia yao iwe urusi!!

    Baada ya kuona vikwazo vya kiuchumi vimeshindwa kumdhibiti Putin, baada ya kuona misaada ya silaha na fedha (kwa sasa zimefikia zaidi ya dola bilioni 65!) zimeshindwa kumfanya Putin aiachie Ukkraine, sana sana anagawa uraia kwa wa-ukraine wa maeneo yaliyotekwa. Sasa Zelensky anaona njia pekee ni...
  8. JamiiForums Tanzania DG Chongolo: Wasaliti wote watoswe CCM

    Chongolo: Wasaliti wafukuzwe CCM. Imeelezwa kuwa usaliti ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ndiyo chanzo kikubwa cha matokeo mabaya kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo alipokuwa akizungumza na wanachama wa chama hicho...
  9. JamiiForums Tanzania Wote mnaonyanyaswa na Marekani huu ni wakati wenu

    Ziko nchi ambazo haziridhishwi na sera za Marekani na Magharibi kuhusu mataifa Yao. Tanzania inasema ni nchi ya kijamaa huu ndio wakati wake wa kuonyesha kuunga mkono wajamaa wenzake kokote waliko kwa vitendo. Mataifa kama China, Korea, Iran, Syria, Zimbabwe, Venezuela, Argentina, South Africa...
  10. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, Wakuu wote wa Idara ni Makaimu

    Waziri wa Tamisemi fika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara. Wakuu wote wa idara ni makaimu na Wizi wa fedha ni mkubwa sana. Ni nini kinasababisha wakuu wa idara kukaimu Nafasi hizo kwa miaka na miaka?
  11. JamiiForums Tanzania 23% si kwa wote

    Serikali imesema nyongeza ya mishahara 23% iliyotangazwa mwaka huu 2022, inawalenga watumishi kati asilimia 75 hadi 78 wanaopokea mishahara midogo, na siyo wenye mishahara mikubwa kama vile Mawaziri, Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa. Ufafanuzi huo umetolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa Viongozi kuvaa Barakoa kwa Kubagua maeneo ni Unafiki amueni moja mzivae muda Wote au msizivae tu kabisa sawa?

    Nachukia sana Unafiki na Upuuzi. Yaani Mtu huyo Saa 2 Asubuhi unaona Picha yake akiwa amejiachia kabisa bila Barakoa lakini ukija Kuiangalia tena Picha yake ya Saa 7 mchana unamkuta kavaa Barakoa tena inayotaka hata Kufunika Kichwa chake chote. Nawaulizeni nyie Viongozi Wanafiki hivi COVID-19...
  13. 0

    JamiiForums Tanzania Fumbo la kuku

    Pamoja na udhalimu wote ambao kuku anafanyiwa na bidamau bado kuku hajawahi kuuwaza Uhuru wake..!! Sio kuku tu hata binadamu hajawahi kufikiria kumpatia kuku Uhuru wake ili akaishi mbali kwa amani pasi na hofu ya kisu chake..! Kwa hifadhi ya mabanda machakavu pamoja na shibe ya masalia ya...
  14. JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na boss wangu, sijatosheka kabisa

    Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane. Kweli bwana tukio lilipendeza, watu walikula na kunywa, watu waliburudika wakasahau shida zao kwa muda. Miongoni mwa walio hudhuria ni...
  15. JamiiForums Tanzania Kama kawaida yetu 'Waswaholi' Ajali ya Mtwara imeua Wengi, ila sasa Wote tuko tu kwa Mzazi aliyepoteza Watoto wake Wawili

    Niendelee kutoa Pole zangu za dhati kabisa kwa Familia zilizopoteza Wapendwa wao na kwa wale waliopatwa na Majeraha nawaombeni kwa Mwenyezi Mungu awaponye upesi na huko mnakotibiwa mpate Tiba stahiki. Huu Msiba ni wa Jumla na hata tukiwa tunauongelea basi tuuongelee Kiujumla jumla na siyo kama...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya Haji Manara iwe fundisho kwa wote wenye Tabia kama zake

    Kwenye Maisha kuna kitu kinaitwa kiongozi na Mamlaka ya kiongozi ,kila kiongozi huwa kuna maamuzi ambayo anaweza kuamua kutokana na Mamlaka aliyo nayo. Kwa upande wa Haji Manara kama inavyonunukuliwa alichokisema kwa kiongozi wa TFF "Wewe unanifatafata sana, hii ni mara ya tatu, sikuogopi kwa...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Maamuzi ya kisheria kwa wale wote wanaovunja sheria yatekelezwe kwa kufuata sheria zilizowekwa

    Andiko hili litakua katika sehemu tatu. Moja utangulizi ambao utelezea maana ya sheria. Mbili, hapa nitaonesha baadhi ya maamuzi ya kisheria yenye kuleta utata katika jamii zetu, ya kiuchumi, kisiasa, kijinsia na michezo na burudani SHERIA Ni mfumo wa kanuni ambazo hutekelezwa au hufuatwa katika...
  18. JamiiForums Tanzania Top ten yangu ya Slow Jams kali za muda wote

    Waliosoma miaka hiyo hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 nadhani hapa mnaweza kukumbuka mengi. Tusipoteze muda twende moja kwa moja kwenye top ten yenyewe; 1. End of the road - BOYZ II MEN 2. I love you - CELINE DION . 3. I'll make love to you - BOYZ II MEN 4. Color of love - BOYZ II MEN 5. Last...
  19. JamiiForums Tanzania Kumi bora yangu ya wakati wote ya nyimbo kali za muziki wa Congo

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa. Kabla sijataja kumi bora yangu ya nyimbo za muziki wa Congo (Kinshasa & Brazaville) ni lazima tukubali tu kwamba bado rhumba na dansi ni miziki inayopendwa toka rohoni kabisa ila media zinatulazimisha tuone ni miziki iliyopitwa na wakati. Hadi leo hii Club...
  20. JamiiForums Tanzania Ili kujua nani abaki na nani aachwe unahitaji kwenda Misri na wachezaji wote?

    Kwenda Preseason nje ya Nchi na wachezaji ambao utawaacha sio weledi bali ni kuchelewesha wachezaji ambao wataachwa kutafuta timu na kuwadhalilisha pia. Kocha mpya Kukaa na mchezaji kwa siku 15 kunamsadiaje kuamua hatima ya maisha ya mchezaji kwenye timu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…