wote

  1. JamiiForums Tanzania Kama Jackline Ntuyabalile angeachiwa IPP Media, ingekuwa imeshakufa, anajipost muda wote yuko Dubai kumbi za starehe

    Kweli mahakama inaona mbali, kama wangekubali huyu dada awe msimamizi wa mirathi na amiliki IPP Media, angekuwa ameshaimaliza. Muda wote yuko mahotelini Dubai, kwa asiyemjua anaweza kudhani anafanya kazi ya uhudumu hotelini. Haijulikani anakaa na watoto wake saa ngapi.
  2. JamiiForums Tanzania Rais Chakwera apiga marufuku Safari za Nje za Viongozi pamoja na yeye mwenyewe

    Rais Lazarus Chakwera amesitisha mara moja safari zote za Kimataifa zinazomhusisha yeye na maafisa wote wa Serikali huku akiwaagiza Mawaziri wote walioko nje ya nchi kwa sasa kurejea haraka Nchini humo. Pia, Chakwera ameweka vikwazo vya Safari za ndani ya Nchi na kupunguza kwa nusu ya mgawo wa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Arusha wanachomana visu

    WA SALAAMU.. mimi nimezaliwa Arusha Nimekulia Arusha Nimesomea Arusha. Ila sasa naogopa hata kurudi nyumbani wajuba,kumekuwa na matukio ya hatari sana,vijana wanauwana hali inatisha Arusha,kipindi naishi nyumbani chugah mambo ya kuuwana yalikuwa sio kama sasa,kuna kizazi kimeibuka cha...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wa kichaga wote jehovah awabariki sio kwa huyu bikra aisee nampenda sana

    Sikuwahi kuamini ipo kama nitaweza kukutana na bikra wa mwanamke wa kichaga ila mimi nimejonea laivu na mimi ndiyo nimeitoa aisee yaani sio poa poa kabisa demu wa kichaga ana mapenzi balaa asikuambie mtuu Baada ya kuvutiwa na huyu binti ambaye nimemkuta ana miaka 30 ila nimekuta hymen ipo...
  5. JamiiForums Tanzania Yule mwanamuziki bora wa muda wote "CHRIS BROWN" ameachia album kali funga mwaka

    Ni yule mwanamuziki bora wa muda wote toka pande za states mwamba Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown au Breezy. Amewashushia neema mashabiki zake kwa kuwa patia album funga mwaka kama alivyo ahidi mwenyewe kuwa mwezi wa 11.2023 ataachia na bila kusita mtaalamu Breezy kawapa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tuiombee nchi ya Israel: Haikanushiki kuwa Israel ni Taifa teule la Mungu. Hii haina maana kuwa Waisrael wote hawana makosa, tuwaombee

    Tatizo la msingi la Wayahudi ni kauli yao hii waliyoisema juu ya Yesu: Math 27:25. Wakasema damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu! Tuwaombee Mungu awape kutubu na kupokea rehema. Natamani Mungu awajalie kutubu kama taifa la NINAWI lilivyotubu kwa mahubiri ya Nabii Yona!
  7. JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini Maandamano ya Mbeya dhidi ya DP WORLD yanaungwa mkono na watu wote

    Hili ni swali kwa watu wote , kule Mbeya kumeandaliwa maandamano ya kupinga Mkataba wa aibu wa DP WORLD na Bandari za Tanganyika . Sasa cha kushangaza ni hiki , Maandamano hayo yanaungwa mkono na Watu wote wa Mkoa huo pamoja na wa nje ya mkoa , yaani kwa Mbeya kesho ni kama Sikukuu . Unadhani...
  8. JamiiForums Tanzania Watu wote wanaoishi maeneo ya mbali pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam kimsingi ni kama wako mikoani tu

    Kuna watu DSM wanaishi kijijini kuliko watu wa mikoani, wana maisha magumu, barabara na huduma zingine sifuri hmna zahanati, hawana vituo vya police, hawana maji safi na salama, vyoo vya shimo. Hivi mtu unaishi Madale, Mbopo, Mabwepande, Pugu, Kitunda, mbagala maporini, Chanika, Chamazi unasema...
  9. JamiiForums Tanzania Bunge limepitisha tozo kwa wote badala ya bima kwa wote

    Bima kwa watu wote sio mchezo mchezo kama huu. Watu wetu wanaugua sana kutokana na mbu wengi, funza wengi, ajali nyingi, takataka nyingi mitaani na majumbani, ukosefu wa chakula, ukosefu wa maji safi, matuzi ya Kuni, nyumba duni na bidhaa zisizo na ubora. Huwezi kuwekea mtu bima ambae unajua...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wote walioukataa na kuupinga Mkataba mzuri na mnono wa DP World walikuwa / wana shida Vichwani mwao

    Nampongeza sana Mheshimiwa Rais wangu Kipenzi Samia Suluhu Hassan kwa kutowasikiliza Wapingaji ( wenye Shida Vichwani mwao ) wa Mkataba mnono na mzuri wa Waarabu wa DP World na kuingia nao. DP World ndiyo Mkombozi wa Bandari zetu Kuu na Uchumi wa Watanzania ambao utachochea Maendeleo hata ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Waitara: Wote waliothibitika kuiba fedha za serikali wanyongwe!

    Msikile Waitara akitema cheche hapa Asema watanzania wengi wanaisha maisha ya ufukara sana kiasi cha kushindwa hata kuwalipia ada watoto wao na kwenda kuomba msaada wa kufanikishiwa jambo hilo, akisema watumishi wa umma wote wanasomeshwa na watanzania na wana elimu ya kutosha, na kwamba...
  12. JamiiForums Tanzania Suala la miradi kusuasua, wote tubebe lawama maana tulipaswa kubeba jukumu kwanza

    Miradi mikubwa kwa midogo inaposuasua utasikia; Kiongozi ametupa lawama kwa mkandarasi/mzabuni Mwananchi anamlaumu kiongozi Mkandarasi anamlaumu serikali Yaani ni vurugu tu kila mmoja anarusha lawama kwa kutokamilika kwa mradi. Japo lawama kwenda kwa mkandarasi/mzabuni ndiyo huwa kubwa zaidi...
  13. JamiiForums Tanzania Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2022 wasomwa Bungeni, leo Novemba 1, 2023

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 2, leo Novemba 1, 2023 ambapo Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2023 unasomwa. ==== MAELEZO YA MHESHIMIWA UMMY ALLY MWALIMU (MB), WAZIRI WA AFYA AKIWASILISHA MUSWADA WA KUTUNGA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE...
  14. JamiiForums Tanzania Tozo za Miamala, Kodi za Vinywaji Vikali kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

    Akiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya Afya kwa Wote, Wizara ya Fedha imeridhia kuhamisha baadhi ya Kodi na Tozo kwenda kwenye mfuko huo...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali kurudisha tena Mswada wa Bima ya Afya kwa Wote tena bungeni kesho 01/11/2023

    Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kurejea Bungeni tena hapo kesho Novemba 1 2023 na Muswada wa Bima ya Afya kwa wote ambao ulikwama mnamo Mwezi Februari 2023 kwa hoja iliyotolewa na Bunge ya kutokuwepo kwa chanzo endelevu cha fedha kutekeleza Mpango huo. Muswada huu ni ndoto ya...
  16. JamiiForums Tanzania Hii ni mojawapo ya filamu za bei ghali zaidi za filamu zisizo na sauti za wakati wote

    Hii ni mojawapo ya filamu za bei ghali zaidi za filamu zisizo na sauti za wakati wote. Video hii ya upigaji picha kutoka kwa Buster Keaton "The General" (1926) iligharimu $42,000 (sawa na $600,000 leo). Kampuni ya uzalishaji iliacha mabaki ya gari-moshi huko Row River, kusini mwa Cottage Grove...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Wote ambao hawajavaa helmet wakiongozwa na Makonda sheria ifate mkondo wake

    Makonda ameenda kwenye mapokezi yake ya Ukatibu Mwenezi CCM akiwa kwenye bodaboda ambapo hajavaa helmet. Kama bodaboda wanavyochukuliwa sheria kwa kutovaa kofia ngumu kwa usalama wao na abiria ikawe hivyo hivyo kwa kiongozi ambaye anatakiwa kuwa mfano kwa anaowaongoza. Uzuri ni kwamba...
  18. JamiiForums Tanzania IT wa Tanzania ni "copy-paste" wasioweza kubuni; wanafunzi na wahitimu wote wameshindwa kutengeneza mafaili ya VPN free net?

    Waweza kumfundisha kasuku aseme hana uwezo na ukamzawadia zabibu kumuashiria kafaulu mtihani nae akajiona kichwa, basi ndivyo ilivyo kwa IT wetu wa Tz wanafunzi wa vyuoni na wahitimu kibao, vyeti wanavyo na wengine wana ufaulu mkubwa sana lakini hawana uwezo wa kutatumia maarifa hayo lau kutumia...
  19. JamiiForums Tanzania Hawa wanapiga Jalamba muda wote. Kocha anaingiza uwanjani wachezaji wengine

    Imagine mmekaa pembeni ya uwanja, upo bench. Unaamka unapasha misuli moto. Unapiga jalamba. Kocha anaamka anamnyanyua mchezaji benchi anamwingiza uwanjani. Wewe anakuacha unaendelea kupasha misuli moto. Anasimama tena akimuita mchezaji mwingine atoke. Unakenua meno kuwa sasa ni zamu yako...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya maboresho ya mkataba na DP world serikali ichukue hatua kwa wote waliotuingiza mkenge

    Serikali imekiri uwepo wa vipengele vibovu na wamekubali kukosolewa na kufanyia Kazi maoni ya wengi.Kuishia kurekebisha haitoshi kwa masilahi mapana ya walipakodi. KWANINI wale wote waliohusika kuanzia watoa hoja/wanasheria/washauri /wabunge ambao ndio wapitisha madudu na wengine wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…