Habari,
Kuna Wizi Mpya Upo Stendi Za Daladala, hasa asubuhi muda ambao usafiri unasumbua, anatokea jamaa karibu yako nae anajifanya kulalamikia ugumu wa usafiri, na wewe unachukulia ni abiria mwenzio mnaweza kuzoeana kwa muda mkiongelea adha za usafiri, baada ya muda linatokea gari private...