wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wizi unaofanywa na makampuni ya parking!

    Hivi unafahamu unapigwa katika parking?, Hawa jamaa wanapiga sana unapo egesha gari hata kama ukiondoka wao wanatunza kumbukumbu lisaa likiisha wanaongeza muda hata kama wewe upo kwako umelala utakutana nazo bills! Hiyo ndiyo hali halisi ya wizi huu unaofanywa na kampuni ya parking na...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wizi wa nyama katika mabucha ya Kigamboni Ferry

    WanaJF wa kigamboni Naomba niwape mkasa ulionipata najua BUTCHER nyinyi za nyama wanaiba mwingine karibia 50gm, 100gm, hata 200gm. Kwa KIGAMBONI FERRY kuna Butcher kama 4 au 5 kama sijakosea. Katika butcher hizo nimewai kununua kwenye butcher 2 na zote nimeibiwa. BUTCHER ya kwanza nilienda...
  3. JamiiForums Tanzania BoT mulikeni huu wizi kwenye benki unaitwa "Processing fee"

    Kama tujuavyo kwa sasa mfanyakazi anaweza kukopa online moja kwa moja kupitia ESS bila kwenda bank. Lakini cha ajabu bado Riba ni kubwa na kuna Bima ya mkopo kubwa. Tukiachana na hayo ya bima na riba bado benki wanakata "Processing Fee" (gharama za mkopo, au ada ya mkopo). Najiuliza mfanyakazi...
  4. JamiiForums Tanzania Akamatwa na pikipiki 32 za wizi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kumkamata Omari Mlopa (28), mkazi wa Mlandizi na wenzake wawili wakiwa na pikipiki 32, zilizoibiwa na baadae kuzifanya zao kwa kukodisha kwa mikataba kwa watu mbalimbali na kujipatia pesa kila siku. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi limebariki huu wizi Kariakoo?

    Habari wana JF, Kuna huu wizi sijui niite utapeli ambao binafsi nimeanza kuushuhudia tangu mwaka 2022 kwa maeneo ya Kariakoo na kila mara nikipita eneo hilo nakuta huo wizi unaendelea utapeli wenyewe unafanywa na jamaa wauza juice ya miwa mitaa ya karume mbele ya TBL (Tanzania Breweries...
  6. JamiiForums Tanzania Tujuze mifumo ya Tehama unayotumia kuendesha biashara yako kisasa na kudhibiti wizi

    Habarini za wakati huu wana jamvi. Hope this article finds you in a good mood! Leo natamani sana kufahamu mifumo hasa ya kitehama (digital systems) ambayo unaitumia kurahisisha majukumu mbalimbali katika biashara yako au kuifanya biashara yako kidigitali. Biashara yoyote ile. This is a call to...
  7. JamiiForums Tanzania Mwizi wa Alama za Barabarani akamatwa

    JESHI la Polisi mkoani Tabora limemkamata Moshi, kwa tuhuma za uharibifu na wizi wa alama za usalama barabarani kutoka katika barabara mbalimbali katika mkoa huo baada ya kukutwa na alama zenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 10 nyumbani kwake. Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari...
  8. JamiiForums Tanzania Mch. Daniel Mgogo: Kikokotoo cha pensheni ni wizi na utapeli

    Mchungaji anahoji wanaposema wanakupa kidogo kingine wanakutunzia, wanatunza kama kina nani? Kama mstaafu akitumia vibaya pesa wao inawauma nini? Mbona mishahara hawakuwa wananipa kidogokidogo. Huko ni kushikiana akili na kumfanya mstaafu kama katoto ambako kakipewa zawadi na mgeni basi mama...
  9. JamiiForums Tanzania Njombe: Daktari mbaroni wizi wa vifaa vya ujenzi wa hospitali

    Watu wanne wakiwamo watumishi wawili wa Serikali na mlinzi wamekamatwa kwa tuhuma za wizi wa vifaa vya ujenzi katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe. Taarifa za wizi huo zimetolewa leo Februari 9, 2024 na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Butusyo Mwambelo...
  10. JamiiForums Tanzania Wizi wa viatu msikiti wa Manyema

    Kwanini kuibiana viatu katika msikiti? Hii tabia ikomeshweeeee Kwani ni lazima kila mtu aende kavaa kobazi? Tazama video chini
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wizi wa salio kwenye M-PESA wakati unanua vifurushi

    Habari! Wangapi kati yetu tushakutana na changamoto ya kupoteza pesa sababu tu Vodacom Mpesa wanakataa kurudisha pale vifurushi vinajinunua mara mbili wakati mmoja? Kuna haja ya kupaza sauti kwa aina mpya ya mitandao kuibia wateja wao.
  12. JamiiForums Tanzania Video: Mwanafunzi wa Secondary akamatwa na wananchi kwa Wizi

    Kijana mdogo ambae anasoma kidato cha pili amekamatwa na Wananchi baada ya kufanya uharifu wa kuibia watu mali zao. ANGALIA VIDEO HAPA 📹 SwahiliTimes
  13. JamiiForums Tanzania Mwalimu Shule ya Msingi akamatwa kwa ujambazi Mbeya

    Watu wanne akiwemo mwalimu wa shule ya msingi Mwaselela kata ya Iwinda mamlaka ya mji mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya wanashiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za makosa mbalimbali likiwemo tukio la wizi wa kutumia silaha. Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga, amesema...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi wizi nayo ni kazi?

    Kwa sababu kuna wale ambao kila asubuhi wanapotoka nyumabni huaga kwamba wanaenda kazini, na kumbe huwenda kuiba Karibuni tujadili wizi na aina zake
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kesi za wizi kwa njia ya mtandao

    Kumekuwa na Tabia za matapeli wengi kuongezeka kwa njia ya mtandao hususani mawakala wa kutuma na kutoa pesa. Ukienda polisi kesi za wizi wa mtandao ni nyingi mno na hazifanyiwi kazi na Wingi huo umesababishwa na Polisi hawazifatilii na wahusika hawawakamiti Sababu zikiwa ni pamoja Mawakala...
  16. JamiiForums Tanzania DC Moshi awatolea uvivu Kilimanjaro Express, acheni wizi

    MKUU wa wilaya ya Moshi, Kisare Makori leo alikuwa kwenye ofisi za makampuni ya mabasi ya Kilimanjaro express baada ya abria kusota kwa saa sita bila usafiri kufuatia katazo la Mamlaka ya udhibiti usafiri Ardhini(LATRA) kwa mabasi hayo kusafrisha abiria kuanzia leo kwa kukiuka masharti ya leseni...
  17. JamiiForums Tanzania Tigo huu ni wizi mbaya sana mnafanya.

    Nimeangalia huduma ya taarifa fupi ya miamala. Mmeleta msg kuwa huduma haipatikani kwa sasa sababu ya mtandao. Lakini mmekata Tsh 50 ya huduma. Huu kama siuo wizi ni kitu gani?
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa Harvard University ajiuzulu kutokana na Plagiarism iliyobainika kwenye machapisho yake

    Hii ni baada ya kugundulika kuwa kwenye baadhi ya machapisho yake, alinyakua maandiko ya wengine bila kuweka bayana alikoyatoa, na hivyo kuleta taswira ya uongo kwamba ni maneno yake [plagiarism]. Haya yote yalijitokeza baada ya yeye Bi. Gay na marais wengine wawili wa vyuo vya Ivy League...
  19. JamiiForums Tanzania Simiyu: Mtendaji Kata afikishwa Mahakamani kwa Wizi wa Tsh. 1,628,000

    Afisa Mtendaji wa Kata ya Sagata katika Halmashauri ya Wilaya ya Itilima, Solomom Dunga Mbise, amefikishwa Mahakamani kwa mashtaka 4 ikiwemo Wizi wa Tsh. Milioni 1.62, Ubadhirifu na Ufujaji, Matumizi Mabaya ya Madaraka na Kuisababishia Serikali Hasara. Katika Kesi ya Msingi, mtuhumiwa...
  20. 4

    JamiiForums Tanzania NMB acheni wizi kwa wateja wenu

    Ndugu zangu kila mmoja kwa imani yake popote mlipo, amani ya Bwana ikawe juu yenu. Rejea kichwa tajwa hopo juu. Why NMB Bank mnatenda hivi? Ni kweli mmekuja na app yenu on line, nawapongeza kwa hili, ila kumbukeni mteja na app yenu atachukua pesa kwenda na pesa yake na atatoa kwa wakala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…