wizara ya afya

  1. Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania: Wagonjwa wa COVID19 wamepungua SANA nchini

    Hayo yamesemwa na Dr. Elisha Osati, Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) leo Mei 27, 2020 FULL TEXT: Leo tumekuja kuzungumza nanyi Waandishi wa Habari kuhusu tathmini ya Corona hapa nchini. Ikumbukwe tangu Corona imeingia hapa nchini Mwezi wa tatu kumekuwa na mambo mengi yakiwa...
  2. Uganda yatangaza Visa vipya 31 vya COVID19, visa 16 ni Watanzania

    Uganda imetangaza Wagonjwa 31 wapya wa #COVID19 waliopatikana baada ya sampuli 1,116 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 253 Wagonjwa 23 ni kutoka mipakani ambapo sampuli 896 zilichukuliwa na 8 ni waliopimwa wakiwa Karantini baada ya kukutana na madereva...
  3. Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

    Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Holili 17 Mei 2020 Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amesema kwamba malori ya mizigo kutoka Kenya hayataruhusiwa kupita katika mpaka wa Holili. Katika muongozo mpya unaolenga malori ya mizigo ya mataifa mengine...
  4. Je Profesa Kabudi ahamishiwe Wizara ya Afya ?

    Kwa weledi aliouonyesha kwenye Mapambano ya Corona , kwa kuhakikisha dawa ya kufubaza virusi vya Corona inafika nchini kwa wakati na wananchi wanatangaziwa huku Wizara ya afya ikiwa imelala usingizi wa pono , kwanini asipewe kuongoza wizara hii ?
  5. Serikali lugha gongana: Wizara ya Afya inakataza matumizi ya barakoa za nguo kujilinda na COVID-19, Wizara ya Viwanda yahimiza zitengenezwe kwa wingi

    Yaani nchi hii ni pasua kichwa. Makosa yaliyofanywa na kina JK, Oktoba 2015 ni dhambi kubwa sana ambayo sidhani kama Mungu atawasamehe. Pathetic!!
  6. Wizara ya Afya yapiga marufuku watu kuzikwa usiku, yaagiza ndugu washirikishwe

    Watu kuzikwa kama wanyama usiku wa manane haikubalikik nakupongeza sana mganga mkuu prof. Abel Makubi na wizara kwa ujumla uwezo wako toka ulipokua bugando ulionekana Hongera sana... Its not over until its over...
  7. Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  8. W

    COVID19 Tanzania: Mambo ambayo Wizara ya Afya inapaswa kufanya

    Si jambo jipya tena, maambukizi ya corona Tanzania yapo kwa kasi kubwa sana kwenye jamii, pia tumeendelea kuona vifo vikiongezeka siku hadi siku. Tuna maswali mengi sana kama watanzania juu ya mikakati ya wizara ya Afya ya Tanzania kukabiliana na Tatizo la Corona. Je sekta ya Afya imejiandaa...
  9. Kujifukiza kiholela kutaleta athari kubwa baada ya Covid 19: Wizara ya Afya itupe mwongozo wa mchanganyiko sahihi haraka

    Kwenye kipindi hiki cha covid 19 kumekuweko na shuhuda na maelezo mbalimbali kuhusu aina za michanganyiko ya viungo, majani au mitishamba ya kutumia kwa kunywa au kujifukiza na wakati mwingine maelezo yamekuwa yakipishana. Michanganyiko ambayo imekuwa ikitajwa sana na wengi inajumuisha vitu kama...
  10. Wizara ya afya: Teketeza/haribu barakoa yako vizuri kabla ya kuitupa/baada ya kumaliza kutumia

    Na WAMJW- DSM . Serikali kupitia Wizara ya Afya, imetoa wito kwa wananchi kuteketeza Barakoa zao vizuri baada ya kumaliza matumizi yake kisha kuitupa sehemu salama ili kuepusha kusambaa kwa magonjwa ya mlipuko hususan ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona. . Wito...
  11. Wizara ya afya watalaamu wenu wapo wapi? Tunahitaji taarifa sahihi juu ya ugonjwa wa Covid-19

    Kila mtu sasa hivi amechanganyikiwa, watu wanaishi kwa hofu maana elimu au taarifa kuhusu huu ugonjwa zinachanganya. Mimi binafsi nilitarajia kuwa hata kila baada ya saa moja anakuja mtaalamu wa wizara ya afya na kutoa elimu juu ya huu ugonjwa kwenye Tv. Mfano mmoja tu ni kwenye kuvaa mask ni...
  12. Naomba mnisaidie mawasiliano ya wizara ya Afya ama Mwenye mawasiliano ya waziri wa Afya Tanzania

    Wakuu tujipe pole na tuendelee kujikinga na maambukizi ya corona tuendelee kuvaa barakoa na kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka ,moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu jamani Ninaomba kwa mwana jf yeyote yule mwenye mawasiliano ya staff wa wizara ya Afya au mawasiliano ya waziri wa Afya...
  13. J

    Dkt. Kigwangalla aende Wizara ya Afya na Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na Maliasili ili tuimalize Corona kwanza

    Napendekeza pafanyike mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawaziri ambapo Dkt Kigwangalla ahamishiwe Wizara ya Afya akaungane na Dkt. Faustine Ndugulile ili kwa pamoja wakaongoze mapambano ya kuitokomeza Corona. Mhe Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na mali asili kuziba pengo la Dkt. Kigwangalla...
  14. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu: Wagonjwa 37 wamethibitishwa kupona virusi vya Corona na wameruhusiwa kwenda nyumbani

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hadi sasa jumla ya Wagonjwa waliopona ni 48 ambao ni kati ya Wagonjwa 108 waliothibitika kuwa na Ugonjwa huo, ila kwa sasa hawana dalili Amesma, "Tuna vifo 10, na hivyo tukabakiwa na wagonjwa 274 na kati ya 11 tumeshawatolea taarifa kuwa wamepona. Ni kweli...
  15. Wizara ya Elimu-hawakufanya uchambuzi wa COVID19 kwa kina

    Umofia kwenu GTs. Wizara ya Elimu-hawakufanya uchambuzi wa COVID19 kwa kina. Wangefanya kazi yao vizuri leo hii nadhani vyuo vikuu vyote wanafunzi wangeendelea kusoma online. Wizara ya Afya-hawakufanya uchambuzi sahihi namna ya kukabiliana na COVID19. Wangefanya kwa kina leo hii wauguzi na...
  16. E

    Wizara ya Afya mnaandaaje matamasha ya maombi na siyo kuweka mikakati ya kupima Corona?

    Ni lazima tutambue nchi yetu inakibiliwa na adui mkubwa sana kuliko nduli Iddi Amin. Leo nimesoma kwenye mitandao ya kijamii kuwa "WIZARA YA AFYA KWA KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA KIDINI NCHINI, IMEANDAA MAOMBI YA KITAIFA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA KORONA YATAKAYOFANYIKA JUMATANO APRIL 22, 2020...
  17. Ili kukabiliana na upungufu wa mask (barakoa) wizara ya afya itoe muongozo wa mask za namna hii kama ikionekana zinaweza kufaa

    Kitendo cha mabeberu kuanza kuibiana mask inaonekana kuna upungufu mkubwa sana wa mask duniani kwa namna hiyo napenda kuwasilisha mawazo yangu kwa wizara ya afya kuangalia mask za namna hii na kutoa muongozo kwa matumizi ya kawaida ya mitaani na majumbani kama ikioneka zinaweza kufaa HASA KUZUIA...
  18. Maboresho kutoka Wizara ya Afya juu ya kujikinga na COVID-19

    Tanzania imeboresha hatua za kuchukuliwa ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya #CoronaVirus kwa Wasafiri na kujuisha hatua za usafirishaji wa bidhaa na huduma Watanzania na wageni wanaoishi nchini wametakiwa kutosafiri kwenda nchi zilizoathiriwa kama hakuna ulazima. Wasafiri wote watakaoingia...
  19. Serikali na Wizara ya Afya muwe makini na hizi quarantine mlizotenga kwa ajili ya wagonjwa wa Corona

    Heshima kwenu, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kama mwananchi kuna jambo limekuwa likiniumiza sana. Serikali walitenga baadhi ya hoteli kwa ajili ya watu wanaotoka nje kukaa huku wakichunguzwa ugonjwa wa Corona, moja wapo wa hoteli zilizotengwa ni FQ village iko Ukonga Stakishari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…