wizara ya afya

  1. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Faustine Ndugulile atunukiwa Tuzo ya umahiri na Wizara ya Afya

    Aliyekuwa naibu Waziri wa afya katika Serikali ya awamu ya 5 na ambaye kwa sasa ni waziri wa Tehama Dr. Ndugulile ametunukiwa Tuzo ya umahiri na kupromoti afya na wizara ya afya. Dr. Ndugulile ndiye aliyetoa tahadhari juu ya kupiga nyungu kienyeji hatua iliyopelekea atumbuliwe. Jana Askofu...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Afya za wanafunzi takribani 2,500 zipo hatarini kutokana na ukosefu wa maji kwa zaidi ya siku 21

    Shule ya Msingi Benako haina Maji Wiki Ya 3 baada ya Kukatiwa Maji Na Dawasco kwa deni La 200,000. Shule hii inapatikana maeneo ya Salasala Kata ya Wazo, Jimboni Kawe Jijini Dar es Salaam. Taarifa zilizopo ni kuwa muda wa wiki 3 sasa maji shuleni hapo hayapatikani hali inayotishia afya za...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya itafutiwe Waziri mwingine

    Nimeona mtandaoni namna ambavyo Waziri wa Afya ndugu Dorothy Gwajima alipokua anajibu hoja za Askofu Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima na mbunge wa Kawe. Zaidi ya mipasho hakukua na majibu ya moja kwa moja ya kuwashawishi wananchi wakapatiwe chanjo ya UVIKO_19. Kwamaelezo ya waziri...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tuondolee hili janga Wizara ya Afya. Mawaziri wako ndio kikwazo cha chanjo

    Hii ni moja ya Wizara ambayo imepata mawaziri Wa Hovyo sana. Hatujui ni nini kinafanya Huyu Dr. Gwajima aendelee kufanya sarakasi zake zisizo na Tija katika Wizara nyeti kama hiyo. Kwa nini huoni kama kuna shida? Wizara hii haihitaji Mipasho, vichekesho na Propaganda. Inataka mtu ambaye yupo...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: IGP Sirro yupo sahihi, wanaonichonganisha nitawavua nguo hadharani. Asema Corona imesababisha vifo vya kutosha

    Battle linaendelea, hakijaharibika kitu, Waziri Gwajima amempongeza IGP simon Sirro kwa kufanya kazi kwa utaratibu hivyo nae amesema tayari ameshamwandikia malalamiko yake. CORONA IMESABABISHA VIFO VYA KUTOSHA Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amesema vifo vitokanavyo na corona vipo vya...
  6. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha. Huyu mtu anarudisha juhudi za...
  7. Informer

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Watanzania 207,391 wamepatiwa Chanjo ya UVIKO-19 hadi Agosti 14, 2021

  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Hadi Agosti 7, 2021, watu 105,745 walikuwa wamepatiwa chanjo ya UVIKO-19

  9. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, kwanini mahabusu na wafungwa hawavai barakoa tahadhari ya Corona?

    Mahabusu na wafungwa Wana haki ya kuishi Kama binadamu wengine. Tumeona mahabusu wakifikishwa mahakamani bila barakoa, tumesikia mahabusu waliopo vituo vya polisi na Magereza wakidai hawaruhusiwi kuvaa barakao Wala kuchukua tahadhari ya corona, je waziri wa mambo ya ndani na Waziri wa afya mna...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya, ijifunze na itoe maelekezo ya matumizi ya dawa iitwayo "Ivermectin" kwa kutibu wangojwa wa Corona

    Bila kuremba, Serikali itoe maelekezo ya matumzi ya dawa hii katika kutibu Corona kama iliyvogunduliwa kule Israel kuwa inatibu corona. "That has been known since the start of the pandemic. But that has been wilfully ignored, otherwise, the vaccine could not get its emergency approva"l...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Chanjo - Mrejesho: Wizara tambueni changamoto hizi

    Mrejesho - day 1 (2nd Aug): Nitapata chanjo yangu inshallah pamoja na washirika wangu makwetu. Hili si zoezi la kukosa mimi na wote niwapendao. Hayawi hayawi hatimaye huenda yatakuwa. Tumefika kujiandikisha 08:00: wenye magonjwa mengine na wazee 50+ kwa mujibu wa waraka wa wizara. Karibu...
  12. beijing_07

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Watanzania wawasikilize wataalamu, chanjo za COVID-19 zinahakikiwa na TMDA na Mkemia Mkuu

    Mtangazaji: Tuanze na suala la chanjo, tumepata taarifa kesho Rais Samia Suluhu atazindua utaratibu wa chanjo na yeye atachanjwa. Utaratibu utakuwaje kama umeshawekwa na Serikali? Msigwa: Baada ya kuwasili dozi za chanjo zaidi ya milioni 1, kesho asubuhi mheshimiwa Rais atazindua zoezi la...
  13. Zero IQ

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wizara ya Afya iweke hiari ya kujitolea viungo vya mwili kisheria baada ya kufariki

    Kama kichwa cha habari kinavyosema ni wakati sasa kwa serikali yetu kupitia wizara ya Afya kuweka hiari ya kujitolea viungo vya mwili tena kisheria ili viweze kutolewa kwa wahitaji mara baada ya mmiliki wa mwili kufariki Ni hivi serikali kupitia wizara ya afya ipeleke muswada bungeni wa...
  14. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya Tanzania: Usiyoyajua kuhusu chanjo ya COVID-19

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa maelezo kuhusu chanjo ya corona kama ifuatavyo, ambapo imewahakikishis wananchi kuwa chanjo iliyoletwa nchini ni salama kwani wataalamu wamejiridhisha.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Ushauri wa Bure kwa Wizara ya Afya na Serikali

    Ninaandika haya nikiwa binafsi naugulia moyoni kutokana na tukio lisilo la kiungwana la vyombo vya serikali Mwanza na yatokanayo. Kutokana na hilo hapo juu inamfanya mtu awaye yote kughairi mambo mengi. Hata hivyo kutokana na thamani ya maisha ya binadamu, nisiache kuandika haya ambayo aghalabu...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Serikali na Wizara ya Afya, tulikosea sehemu ndio maana mapambano dhidi ya covid yamekua magumu kueleweka, tumieni njia hizi

    Mapammbano dhidi ya COVID 19 yamekua magumu kueleweka kwa wananchi, kwasababu hatukuwekeza zaidi katika afya msingi, kuanzia kwenye jamii zetu. Afya ya msingi ni kuhakikisha kunakuwepo na mikakati endelevu wa kuhakikisha huduma za afya hususa ni kuzuia maambukizi mapya (Prevention). Afya ya...
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Wizara ya Afya punguzeni kwenda kwenye media, itawaharibia

    Ni masikitiko yangu makubwa kuona Viongozi wa wizara ya afya kutwa wakishinda kwenye media /mtandaoni. Tabia hii inaabisha hadhi ya wizara na fani ya udaktari.ACHENI. Nendeni kwenye media mkiwa na Genuine Issue Natambua Waziri wa Afya anapitia kipindi kigumu dhidi ya walio chini yake...
  18. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania TCRA na Wizara ya Afya, mnamsikia huyu daktari anayejitangaza kupitia Kiss FM 98.9?

    Jana Alhamisi muda wa saa 5 usiku hivi nikiwa natafuta Station za Radio nikaangukia Kiss FM 98.9, niliposikia neno "PID" ikabidi nisikilize kidogo kinachoongelewa maana nami nipo kwenye uwanja huo huo wa mambo ya Afya.. Nilipigwa na bonge la mshangao kwa yale niliyokuwa nikisikia,, maana...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Watumishi 9 wa Kitengo cha upimaji wa COVID - 19 Uwanja wa JNIA Nyerere wasimamishwa kazi kwa kutofika kazini

    Watumishi tisa wa Kitengo cha upimaji wa COVID - 19 kwa wasafiri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere (JNIA) wamesimamishwa kazi kwa kosa la kutokufika kazini kutoa huduma ya vipimo hivyo kwa wasafiri bila taarifa. "Imeonekana hapa hili zoezi la baadhi ya watumishi...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Mchakato wa chanjo umekamilika, itatolewa bure

    SERIKALI imetangaza kuwa tayari mchakato wa kuingiza na kutoa chanjo ya ugonjwa COVID-19 (Corona) umekamilika huku ikisisitiza tahadhari zaidi ziendelee kuchukuliwa na wananchi. Kauli hiyo imetolewa leo Julai 4,2021 jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee...
Back
Top Bottom