wizara ya afya

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya waanza kampeni ya kumsafisha Hayati Magufuli

    Maneno aliyokua anayaongea hayati na kuwakalilisha wananchi wake, sasa imekua ngumu kwa Wananchi kuelewa kila ukiwaambia kitu utasikia Mbn Magufuli alisema hivi, mbn Magufuli alisema vile! Wananchi wamekua wagumu kuvaa Barakoa Hongera Wizara ya Afya kwa kutoa Elimu Mujarab
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yatahadharisha uwepo wa wimbi la tatu la Covid-19

    Wakati Serikali ikitoa tahadhari ya viashiria vya wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid-19, imeagiza utamaduni wa uvaaji barakoa, unawaji mikono na matumizi ya vitakasa mikono urudishwe katika maeneo yote. Waganga wakuu wa mikoa, wilaya na viongozi wengine wa sekta za umma na binafsi wamehimizwa...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

    Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali. Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya chukueni tahadhari kuhusu COVID-19, Waganda wanateketea

    Kwa ufupi tu leo CNN wameonyesha picha na kuwahoji madaktari nchini Uganda. Watu wanateketea na picha zinaonyeshwa. Jamani inahuzunisha sana. Wizara ya Afya ichukue tahadhari. Mikusanyiko ya watu mipirani, kwenye misiba, harusi, mikusanyiko ya watu kwenye mihadhara ya kidini kama ya makanisa...
  5. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Health Secretary II at Ministry Of Health (MOH)

    POST: HEALTH SECRETARY II – 1 POST POST CATEGORY(S): HEALTHCARE AND PHARMACEUTICAL EMPLOYER: Ministry Of Health (MOH) APPLICATION TIMELINE: 2021-05-27 2021-06-09 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES To provide advice on health management services at the NPHL To assist in supervising...
  6. jobtz

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya Wizara ya Afya

    (Ajira mpya Wizara ya Afya) May 2021. As for MoHCDGEC announces vacancies for graduates to apply through the website www.moh.go.tz and other media like magazines based on the cadres as per employer requirements. The applicant will then apply through www.ajira.moh.go.tz and fill their...
  7. Mjomba ni Mama

    JamiiForums Tanzania Aajira za Wizara ya Afya zilizotangazwa leo

  8. Informer

    JamiiForums Tanzania Tanzania measures towards controlling COVID-19 Pandemic: Travel Advisory NO. 7 OF 4TH MAY, 2021

    TRAVEL ADVISORY NO. 7 OF 4TH MAY, 2021 The Government of the United Republic of Tanzania has continued to implement measures towards controlling COVID-19 Pandemic. Based on the global epidemiological situation and emergence of new variants of viruses which cause COVID-19, there is an increased...
  9. Mpingamkoloni

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais, Serikali imeshindwa kuiwezesha MSD, msiwarushie mipira Wafawidhi

    Mimi si mtumishi wa Afya, lakini mateso anayopata mtoto wa dada wa kunyonya (mtumishi wa afya), yamenifanya nitambue wapi serikali inakosa. Ni jambo la ajabu sana kuona kuna uharamisho mkubwa wa kusema uwongo miongoni mwa viongozi wakuu wa Serikali hasa Afya. Mtume Muhammad s.a.w.w. amesema...
  10. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya wa kwanza (Mkurugenzi Mtendaji wa Wizara ya Afya) apokea chanjo dhidi ya Corona

    Nitafikiwa lini jameni, hebu tuambiwe wapi tupange foleni, sisi tumeelimika na tunafuata mbinu za kisayansi, hatupo radhi kutolewa kafara kwa misingi ya imani ya mtu mmoja, jameni dini zipo nyingi na kila mtu ana imani yake na Mungu wake, ila serikali ipo kwa ajili ya kuongoza kwa misingi ya...
  11. Mnyakyusa Ipinda

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya hamtutendei haki, kipimo cha COVID19 ni ghali sana

    Kwako waziri wetu wa Afya Dr. Gwajima. Sijajua sababu ilofanya hadi muweke bei ghari hivyo kuoata hichi kipimo kwa wanaosafiri, kipimo ni 235,000 Tsh. (100 USD) , hii sio sawa kiukweli mnatuumiza sana sisi wa vipato vya chini ambao tunapata visafari vya dharula katika kutafuta maisha, huu ni...
  12. Mromboo

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa sana Wizara ya Elimu, Wizara ya Afya, TAMISEMI, Wizara ya Habari na Wizara ya vijana kwa tangazo hili

    Hivi Karibuni kuna Tangazo linapita kwenye TVs zetu likionyesha binti wa chuo na kijana wachuo kama sijakosea wakienda hosipitalini kupata ushauri namna ya kujikinga na mimba wakiwa bado shuleni. Mbaya zaidi binti anatoka huku akijiproud kuwa kapata mwarubaini wa kumaliza masomo bila kupata...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya: Epukeni misongamano isiyo ya lazima, vaeni barakoa safi na salama

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO TAARIFA KWA UMMA TAMKO LA KUONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA HATUA ZA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA KUAMBUKIZA NA YASIYOAMBUKIZA NCHINI Dodoma, Jumatano 24 Februari, 2021. Ndugu Wananchi, kila mwaka kipindi...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya imetoa muongozo kwa watumiaji wa magari ya Mwendokasi

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa muongozo kwa watumiaji wa Magari ya mwendokasi ili kujikinga na maambukizi ya #CoronaVirus. Wasafiri wanaotumia magari ya mwendokasi wanatakiwa kuvaa barakoa hususani asubuhi na jioni, kukaa umbali wa mita moja kati ya mtu na...
  15. Informer

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19

  16. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Rais amekwishasema "tuendelee kuchukua tahadhari lakini hakuna lockdown" Wizara ya afya mmesubiri nini kuhamasisha watu kuchukua tahadhari

    Bado naendelea kuwashangaa wizara ya afya, kiongozi wetu mkuu kila mara anasisitiza tuendelee kuchukua tahadhari. Mara ya mwisho nimemsikia raisi wetu tarehe 19.02.2021 akirudia msemo huu, sasa sijui mnasubiri raisi ndiye afafanue tahadhari anazozisema ni zipi? Rais ameendelea kusema mwaka...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Hivi Wizara ya Afya bado ipo?

    Hivi Wizara ya Afya bado ipo? maana imekuwa kimya sana kama vile kila kitu kiko sawa. Mimi binafsi ninachokiona kwenye wizara hii ya afya ni kama ka mgomo baridi vile, Nikisikiliza kwenye mitandao ya kijamii naona wanasiasa ambao hawana timu za kuchezea msimu huu wa 2020/2025 wakizusha tafrani...
  19. Cannabis

    JamiiForums Tanzania K/Mkuu Wizara ya Afya, awaasa wananchi kuacha kuzusha maneno kuwa hospitali zimejaa wagonjwa na kusababisha watu kuogopa kwenda kupata Huduma za Afya

    Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Prof. Mabula Mchembe amewaasa Wananchi kuacha kuzusha maneno ya kuwa hospitali zimejaa na kusababisha wagonjwa kutofika ili kupatiwa matibabu Profesa Mabula amesema hayo leo FebruarI 12, 2021 mkoani Arusha.
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya itoe waraka maalumu wa namna gani tiba asili inaweza kutumika katika vituo vya huduma za afya

    Ni muhimu kwa wizara ya afya kutoa muongozo rasmi wa namna gani wataalamu wetu wa afya na vituo vya huduma za afya nchini vinaweza kutumia tiba asili katika kuwahudumia wagonjwa. muongozo huu utaondoa sitofahamu mbalimbali za utaratibu wa tiba nchini.Wizara ije na sera na miongozo rasmi kuhusu...
Back
Top Bottom