Wakuu
Hawa G55 ni kama bado wapo CHADEMA tu, kwenye mkutano wa CHAUMMA wanaimba wimbo wa CHADEMA 'Naapa naahidi CHADEMA nitakulinda mpaka kufa' wamebadilisha jina la chama tu.
Wakuu,
Sifa Bujuni aliyeimba 'Mnatuona Nyatu tu' amefariki Dunia hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu, baba yake mzazi athibitisha hilo.
Mhh...... Mungu amlaze pema.
Pia soma Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya...
John Mnyika
Leo katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii kuna kipande cha wimbo unaoitwa Godbless Lema Usiogope kinasambaa sana.
Napendekeza wimbo ule urekodiwe tena na kuwekwa maneno ya Chadema na Watanzania wapenda mabadiliko Msiogope. Maneno ya ule wimbo yawatie moyo Chama cha...
"And they say it's the White man I should fear,
But it's my own kind doin' all the killin' here"
Katika wimbo huu anaongelea experience yake alivyopigwa risasi wakati alipoenda kuwatembelea bad boys pale quad studios.
Ni statement fupi ila iliojaa ujumbe mkuu kulingana na hivi vituko waafrika...
Pepo huyo ndie aliekuwa anaongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia midomo na sauti ya Tupac.
Haya si maneno yangu bali nimeyakuta huko TikTok.
Mtoa hoja hii anasema yeye ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya Lugha za kiroho.
Vile vile ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya kusoma Sauti za ndani za...
Nina mtoto wa kiume yupo darasa la 6,
Nimepewa barua kuna Talent show itafanyika shule zitapofungwa mwezi wa sita, Shule imetuasa wazazi tuwasaidie watoto kushiriki.
Kitu anachokiweza zaidi ni kuimba
Nimejaribu kumpa mkwaju wa kihenga kama I know i can - Nas, kabaki kunishangaa na akaniuliza...
Tulipokuwa tunakua huu wimbo ulikuwa maarufu saana. Ilikuwa ukianza kujifunza kuchana basi utaanza na hii mistari.
Mimi msela siwezi kwenda jela
Na nikienda jela narudi na Mihela..
Naruka tikitaka kulia na kushoto
Na mademu wanitaka ....
Wimbo wa nani huu?? Nautafuta
Vurugu zimezuka katika Tamasha la Kitaifa la maigizo huko Nakuru nchini Kenya, baada ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Butere kukataa kucheza tamthilia yao ya kutatanisha "Echoes of War’’, mchezo ambao unaangazia mapambano ya Vijana kuhusu uhuru wa kiraia, utawala na haki ya...
Huyo kwenye picha ni Emmanuel Mbele aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Sunderland na baadaye kuitwa klabu ya Simba kwenye miaka 1960s hadi 1970s.
Huyu bwana mkubwa aliwahi kumpiga mwamuzi mwaka 1968 wakati Sunderland akipokea kipigo kutoka kwa Yanga magoli 5-0. Jitu moja lina matege yake na mbavu...
BURUDANI
Leo nakuletea uzi wa burudani, lakini pia nakukumbusha kuwa kama uliusikiliza huu wimbo tangu siku ambayo wimbo ulitambulishwa sokoni basi fanya uowe/uolewe/uzae.
Usilete visingizio kuwa unatafuta hela, huenda fungu la hela limekupita kushoto, hivyo usipitwe na fungu la uzao, utakufa...
Ni Wimbo wa Roman Catholic unaanza na mtu anaongea maneno harafu wanaanza kuimba wimbo unaitwa Kwa ajili ya mateso makali ya Yesu utuhurumie sisi na Dunia nzima
Ntaweza kuupakua wapi!? msaada tafadhali
Sitaisahau hii siku ni miaka mingi 1988 , pale Drive inn Cinema zilipo ofisi za Zantel,Msasani.
Tumetoka mtoko wa jioni na mzee wetu kuangalia filamu ambayo siikumbuki ila ninachoku.buka kabla ya filamu ulipigwa wimbo wa Thriller wa Michael Jackson
Kwa umri wangu mdogo chini ya miaka 10 yale...
Nilikuwa youtube hapa nasikiliza ngoma mbalimbali zilizopendwa.
Ukaingia wimbo wa Hunifahamu ulioimbwa na Dully Sykes, mwishoni Dully anataja mwaka 2005 ambao ametoa wimbo huo .
Nikashtuka leo ni mwaka 2005 takribani miaka 20 imetimia, hakika sasa mimi ni mzee.
Yuko wapi aliyesema uzee...
Bila shaka mko vizuri wakuu.
Huyu B-boy ukimskiliza vizuri utagundua ako na kitu kwenye namna anavyotengeneza midundo yake.
Sijajua ni labda kwakua wako na muunganiko mzuri na huyu kijana Harmonize au ni kweli anauwezo mkubwa kwenye midundo ya aina hii.
Kwenye huu wimbo wa "me too" alitulia...
Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG..
sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani...
Tazama Ramani umekaa kizalendo zaidi, uwe wimbo wa Taifa haraka iwezekanavyo, Mungu ibariki Africa iwe sala ya Taifa.
=====
1. Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania
Majira yetu haya...
Tatizo ni kuwa wabongo tutamtupilia mbali kwa maana haimbi nyimbo zile "paka yangu imeloa, sijui kugonoka, gonokaa"
She is a very a talented girl kiukweli. Sauti yake, idea yake ya muziki, na zaidi melody yake
https://youtu.be/LAzyvbTyN94?si=UL7j6a8UxkGAquwu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.