Huo wimbo mnaouimba ni wa kipumbavu

Huo wimbo mnaouimba ni wa kipumbavu

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,615
Reaction score
1,901
Mi pia kipindi nikiwa muhuni tu mtaani nilikua nikiwa ndani ya basi natoka mkoani nilikuwa natamani gari ipate ajali ili nipate mali za abiria watakaokuwa wamekufa🤕🤕🤕 bila kujua kuwa wenda kwenye hiyo ajali na mimi nitakuwa miongoni mwa marehemu au watakao kwenye hali mbaya,.

Funzo:
Kipindi unaombea hili taifa mabaya na machafuko kumbuka kuwa na wewe pamoja na familia yako mtakuwa ni miongoni mwa wahanga wa hayo matatizo.

Yangu ni hayo sitawaambia kitu chema tena.

Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Mi sijui ila endelea kuimba ipo siku mtajikuta mkiwa kwenye kambi za wakimbizi,. Waulize libya na sudani
 
Ni kama unapambana kujenga hoja lakini uwezo huna. Inaonekana umesoma Chuo cha Kata. Kama vipi nenda Veta kajinoe upya kama alivyoshauri Mhe. Waziri Mkuu. Ni hilo tu kwa leo.
 
NI REFORMS NO ELECTION.
 
Umeongea point sana
Kwamba?
Kipindi unaombea hili taifa mabaya na machafuko kumbuka kuwa na wewe pamoja na familia yako mtakuwa ni miongoni mwa wahanga wa hayo matatizo.
Mtu anawezaje kuliombea Taifa lake aliomo mabaya? Hivi kwenye familia ya Mzee Ali Kibao ni nani aliombea yule Mzee mswalihina wa watu auawe kinyama vile?

Hivi Aquilina Aquline alipokuwa anatoka darasani siku ile nani alikuwa anamuombea mabaya hadi akapigwa risasi?

Hivi Ali Zoka wakati anauza magazeti pale Morogoro ni lini, wapi na nani aliomba mabaya yampate hadi akapigwa risasi?

Hakuna mtu anayeiombea nchi yake mabaya bali wapo watu wanaotumia madaraka yao vibaya!
 
Ni kama unapambana kujenga hoja lakini uwezo huna. Inaonekana umesoma Chuo cha Kata. Kama vipi nenda Veta kajinoe upya kama alivyoshauri Mhe. Waziri Mkuu. Ni hilo tu kwa leo.
Sawa
 
Hakuna mtu anayeliombea taifa machafuko, kama unamjua mtaje, funguka zaidi
 
Kwamba?

Mtu anawezaje kuliombea Taifa lake aliomo mabaya? Hivi kwenye familia ya Mzee Ali Kibao ni nani aliombea yule Mzee mswalihina wa watu auawe kinyama vile?

Hivi Aquilina Aquline alipokuwa anatoka darasani siku ile nani alikuwa anamuombea mabaya hadi akapigwa risasi?

Hivi Ali Zoka wakati anauza magazeti pale Morogoro ni lini, wapi na nani aliomba mabaya yampate hadi akapigwa risasi?

Hakuna mtu anayeiombea nchi yake mabaya bali wapo watu wanaotumia madaraka yao vibaya!
Nilale mie lugha unaiongea siifahamu
 
Kuwe na "vetting -like mechanism" wakati watu wanajiunga na JF.
Tunaweza kujikuta siku tupo milioni 30 wanachama wa JF lakini misukule ni milioni 29.8 inajaza seva kitakataka.
 
Sawa mzee mfuga misukule uilishe vizuri
 
Mi sijui ila endelea kuimba ipo siku mtajikuta mkiwa kwenye kambi za wakimbizi,. Waulize libya na sudani
Ccm wakitaka kutolewa madarakani hizo ndio nchi mnazotolea mfano? Kwanini hamtolei mfano nchi zilizofanikiwa kwa kuheshimu chaguzi zao?
 
Back
Top Bottom