wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Redio One mmetukera wasikulizaji wenu kwa kutopiga wimbo wa Remmy Ongala, 'wema ni qumanyoko' kwenye kipindi chenu cha nani zaidi.

    Kwa kweli leo baada ya kufungua redio yangu nimekutana na kipindi cha nani zaidi pale Redio One na waliopambanishwa ni Hussein Jumbe na Remy Ongala ambapo nyimbo Tano za Dr Remmy zilipigwa na tano za Hussein Machozi nazo zikapigwa. Kilichonikera ni kukosekana kwa wimbo unaopendwa na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Justine Kalikawe: Mwanamziki wa Reggae Mtanzania, Ndio kwa mara ya kwanza nasikia wimbo wake kwenye Daladala leo

    Hapa niko nasikiliza Mziki wa Justin Kalikawe Mwanamziki wa Rege asili ya Kitanzania, Mhaya kutoka Kagera Kibao kinachopigwa muda huu kwenye hii daladala ni " AMANI" AIdha ktk kuelimisha jamii, wanasiasa, kuhimiza utaifa na maendeleo mnamo miaka ya 1996 hadi 2000s alitoa kazi zake kama...
  3. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Alieimba huu wimbo yuko wap sku hizi

    https://jumpshare.com/s/BPRuo4CnmKJMIEkfPZe4
  4. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Video: Msanii kipenzi cha Gen Z na wimbo wake wa "bonyeza kende"

    Huyu hapa msanii kipenzi cha Gen Z, akitumbuiza goma lake pendwe la "mshike kende, bonyeza pembe, kende ndende ndendeee". show ilipigwa Maeneo ya Gaza kimara
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Anaitwa Zuhura Othman aka Zuchu, yupo YouTube analipia wimbo wake Namba Zisome!

    Inasemekana watu wengi wameondoka mijini na kwenda vijijini kwao kusiko na fiber, kwahiyo wasanii wanakosa viewers. Ikumbukwe anavotoa Sukari 2021 alipiga views Mil 1 chini ya masaa 24. Sema nyakati zinabadirika. There’s a reason Reason was sponsored, because reason without reason won’t...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwa Mmakonde yeyote aliyopo humu naomba msaada wa kunitafsiria wimbo huu, chilambo Cha vene!

    Ni wimbo unaoitwa 'Chilambo Cha vene' uliopigwa na mwamba Halila Tongolanga "Field Marshal". Aisee wimbo umenishika vibaya huo miaka na miaka lakini si mjuzi wa kutosha wa kimakonde hivyo naomba msaada wako wa tafsiri ewe Mmakonde usiye na majivuno..... Natanguliza shukrani, Nawatakia Christmas...
  7. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa kiswahili uliotrendi sana mitandaoni uliotengenezwa kwa AI

    Watu wengi wamekua wakiuskiliza huu na umewahudumia sana lakini bila kujua ukweli ya kuwa huu wimbo umetengenezwa kwa AI. Ukiangalia kuanzia mpangilio wa sauti, mguso wa hisia na namna ulivyokaa kugusa mioyo ya watu huwezia amini kuwa hii ni AI, namna ulivyopangiliwa unazidi hata ubunifu na wa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nay Wa Mitego awashukuru Watanzania kwa kuufanya wimbo wake mpya kuwa No. 1 trending, awasifu kwa misimamo na umoja

    Msanii Nay wa Mitego kupitia ukurasa wake wa Insta ameeleza hayo hii ikiwa ni katika kipindi amabacho wananchi wanajitahidi kuwawajibisha wasanii waliokataa kusimama nao kipindi cha matatizo. Nay ameanika; "Watanzania Wa Sasa Sio Watu Wa Kuchezea Wana Maamuzi , Wana Misimamo Na Umoja✊. Jana...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo ndiyo utatuongoza kesho D9

    GT Mambo ni moto hatutaki mchezo mchezo
  10. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa MAKOMBORERO upigwe Marufuku nchini

    Huu wimbo una viashiria vya ukombozi na uvunjifu wa amani. Hivyo ingefaa upigwe Marufuku na BASATA kuleta utangamano wa kitaifa
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani wa Desemba unaupenda zaidi?

    🎶 Ni wimbo gani wa Desemba unaupenda zaidi? Chagua moja au zaidi na tuma list yako! 1️⃣ ‘Jingle Bells’ 2️⃣ ‘Silent Night’ 3️⃣ ‘We Wish You a Merry Christmas’ 4️⃣ ‘Last Christmas’ 5️⃣ Wimbo mwingine (taja chini 👇)
  12. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo unaendana sana na hali ya sasa, Heshima imerudi

    https://youtu.be/VS3BHKMqbu4?si=GoJgDZwYpmbx7N6M
  13. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wimbo: Wasanii mlishabikia mitano tena, Biashara zenu zitadorora

    Wimbo maalum kwa ajili ya wasanii wetu wana mambo mengi ya kujifunza kutokana na tukio lilitokea.
  14. sizzya007

    JamiiForums Tanzania “Mungu Ibariki Afrika” haifai tena kuwa Wimbo wa Taifa la Tanzania 🇹🇿 (na Afrika kwa ujumla)

    “Mungu Ibariki Afrika” ilitungwa kama wimbo wa matumaini. Wito wa umoja, amani, na hekima miongoni mwa Waafrika waliokuwa wakipigania ukombozi. Lakini leo, zaidi ya nusu karne baadaye, maneno hayo hayana uhalisia katika bara letu. Tunaimba “Hekima, Umoja na Amani” huku viongozi wetu wakiongoza...
  15. Keynez

    JamiiForums Tanzania Sawa mmeshindwa kujizuia kwenda kwenye mamipira, basi hata kusimama kuimba Wimbo wa Taifa?

    Labda mmeshindwa kujizuia kwenda kwenye hayo mamipira yenu. Labda ni addiction mnayoshindwa kuizuia. Labda wengine mnaona ni sehemu ya "kusahau" kwa muda machungu ya maisha. Sawa tunakubali. Ila hata kujiorganize na wote kwa pamoja kusimama wakati mpira unaanza na kuimba Wimbo wa Taifa? Hili...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson kapost wimbo kwamba Watu asiowajua Wamemfuata Nyumbani wakiwa wamebeba Bunduki. Ila haogopi Babylon

    Kwenye Page yake ya Instagram, aliyekuwa Spika wa Tanzania bunge la 12, Kapost Picha yake akiambatanisha na wimbo wa Lucky Dube wa Jah save Us, Kipande kinachosema tafsiri isiyo rasmi kwamba; "Watu waliokuwa wamebeba bunduki aina ya machine gun(MG) wamemfuata Nyumbani kwake. Watu hao walikuwa...
  17. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tutarajie kuimbishwa wimbo gani baada ya Uchaguzi?

    Mwanzo ilikuwa M4C. Halafu ikawa people's power! Mara ikaja hii ya No reforms no election!. Sasa nadhani baada ya uchaguzi pataanzishwa wimbo mwingine kwakuwa , NO REFORMS NO ELECTION itakuwa imeexpire! Lakini pia kurudi kuimba people's power pia haifai kwakuwa itakuwa kujidanganya...
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Game gumu. Nandy anatoa wimbo same day anau-promote Youtube

    Ngumu kuacha kitu kitrend chenyewe. Boost muhimu. Ningeongeza view ila walituambia tufanye kazi.
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Tupate burudani ya wimbo wa HAKUTAKUWA Nywinywi wala Nywinywi

  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa lyrics za wimbo mpya wa Roma "Teremsha Bunduki"

    Afande teremsha bunduki, Unawatetea mbona hawakukumbuki, Unatuonea, unatupiga Mabuti, Mara virungu, mara unataka kutushuti, Afande teremshaa! Hai! Hai hai! Afande teremsha bunduki! Hai hai! Afande teremshaa! Hai! Hai hai! Afande teremsha bunduki! Hai hai! Afande teremshaa! Hai! Hai hai! Afande...
Back
Top Bottom