Mpaka anafariki Jumanne Khalfani Uvuruge kilikuwa kinamuuma kuona wimbo alioutunga yeye lakini dunia nzima ilidhani umetungwa na Marijan Rajab
Marijan alikuwa mtoto wa mjini sema alizaliwa kipindi muziki haulipi,ingekuwa sasa angekufa tajiri kwa huo wimbo.
Wanamuziki wa zamani waliambulia...
Kuna pindi Tu inatokea wimbo Fulani ukaupenda Sana yaani unaweza Ku repeat hata mara 100 na usione shida hasa kwenye safari mfano kwenye bus umevaa zako earphones
Mimi kwa sasa.. nitaamini -israel Mbonyi toka mchana mpaka alfajiri nitausikiliza.
GT
Sanaa ilikuwa zamani siyo sasa wanashindana kutingisha makalio tu hawana ubunivu wowote.
Kwa wimbo huu nadhani Prof J alimwona Samia ndotoni anakuja yanayotendeka sasa ni yaleyale 100% kwenye wimbo huu.
Kiufupi watawala kuanzia awamu ya tano hadi sasa wana dhambi nyingi sana japo...
https://www.instagram.com/reel/DKXY9NGtTdT/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Samahani wakuu, Kwa anayejua lina la huu wimbo naomba anisaidie ili nikaupakue.
Natanguliza shukrani
https://youtu.be/dmc-xxRof60?si=AQyC2o1xsr_iCO7m
Bro hebu kaa chini tusimuliane hii ishu ya zamani lakini bado inabamba hadi leo. Kama uliishi enzi za Bongo Flava halisi, lazima utakumbuka ule wimbo mkali wa “Nasonga Mbele” kutoka kwa V2 – mrembo mwenye sauti ya dhahabu aliyewatoa machozi...
Mi pia kipindi nikiwa muhuni tu mtaani nilikua nikiwa ndani ya basi natoka mkoani nilikuwa natamani gari ipate ajali ili nipate mali za abiria watakaokuwa wamekufa🤕🤕🤕 bila kujua kuwa wenda kwenye hiyo ajali na mimi nitakuwa miongoni mwa marehemu au watakao kwenye hali mbaya,.
Funzo:
Kipindi...
⚠️Vijana wa kiume wanatengeneza group chats kuwasema na kusengenya wanaume wenzao
⚠️Vijana wa kiume wana ng'anga'nia kujumuika na wanawake katika party zilizo undwa kwa ajili ya wanawake pekee.
⚠️Zamani ilikuwa unasikia sikia tu fununu kwamba flani ni shoga ila leo unawahesabu kwa maana...
Finyanga udongo
Choma majani
Pepo naudongo
Samaki,nyama,mboga majani ohoo ndegeee
Simba wa binadamu
Jua maji
Mwezi nyota
Tumsifuu Mungu baba
Hata mara mojaa kwa jumaa
Hata ni wa shetani jua hii nalijua
Sijui nini sijui niini
Nadina hoo nadina ohioo
Wimbo wa 'My Heart Will Go On' ni kati ya nyimbo zilizompa umaarufu mkubwa na kumuongezea utajiri Celine Dion, kupitia wimbo huo aliouimba akiwa na umri wa Miaka 29 wakati huo ulikuwa ‘soundtrack’ ya Filamu ya Titanic ambayo ilitoka Mwaka 1997.
Msanii huyo aliwahi kuhojiwa na kusema “Sikuona...
Mara kadhaa nimekutana nao ila ukiwa vipande vipande kupitia TBC.Baadhi ya mashahiri ambayo hata sielewi wanamaanisha nini,wanaimba"jiwe jiwe jiwe lanichoma choma...nikimkumbuka Mama jiwe lanichoma choma" Mengine "Amazulu.amazulu amazulu".na sijawahi kubahatika kuusikia mwanzo mpaka mwisho.
Kama mchango wangu mdogo katika hizi juhudi za kila Mtanzania mpenda nchi yake ya kuijenga Tanzania mpya yenye siasa safi, uchaguzi huru na wa haki, uongozi na utawala bora nimetengeneza wimbo huu wa kuhimiza, kuhamasisha na kuunga mkono kampeni za "No Reforms, No Election".
Ni ruhusa kuutumia...
Huu wimbo unakamata wazee na vijana!, haujalishi ni mtoto wa alfu mbili ama alfu tatu!.
Milindimo yake haichoshi, sauti za waimbaji wake wameitenda ile kazi ya fasihi!.
Sasa kama huyo mpenzi wako haujui huu wimbo, we endelea kuishi tu na hilo gaidi litakuchinja sikumoja!...😂
March 7 mwaka 1985 baadhi ya wasanii waliounda kundi la “USA for Africa” walitoa kibao cha We are the World.
Lengo kuu la wimbo "We Are the World" lilikuwa ni kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia waathirika wa njaa na umaskini uliokuwa ukiathiri sana nchi za Afrika, hasa Ethiopia, katika miaka...
Naomba kala Jeremiah asikilize huu wimbo wake tena kisha aje atuambie ulikua unahusu nini? Ndipo asifie serikali ya awamu hii inaupiga mwingi maana huu wimbo ni kama alitabiri yatakayo tokea awamu hii na ndo anayo yasifia
UBETI WA 1
Rest in peace Kawawa Karume Baba Nyerere
Mlipanda mahindi...
1. Dar es salaam kujengwa tren ya chini ya aridhi kupunguza foreni hii ni sawa na mabomba kutoa maziwa nchi nzima, kwani mwendo kasi tu tunaona unavyopumulia pua je hiyo treni.
2. Kujengwa viwanda kila mkoa na kila mtaa haaa haaa hii sawa na ile wanafunzi wa vyuo vikuu kufanya practical...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.