wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Kwa Mmakonde yeyote aliyopo humu naomba msaada wa kunitafsiria wimbo huu, chilambo Cha vene!

    Ni wimbo unaoitwa 'Chilambo Cha vene' uliopigwa na mwamba Halila Tongolanga "Field Marshal". Aisee wimbo umenishika vibaya huo miaka na miaka lakini si mjuzi wa kutosha wa kimakonde hivyo naomba msaada wako wa tafsiri ewe Mmakonde usiye na majivuno..... Natanguliza shukrani, Nawatakia Christmas...
  2. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa kiswahili uliotrendi sana mitandaoni uliotengenezwa kwa AI

    Watu wengi wamekua wakiuskiliza huu na umewahudumia sana lakini bila kujua ukweli ya kuwa huu wimbo umetengenezwa kwa AI. Ukiangalia kuanzia mpangilio wa sauti, mguso wa hisia na namna ulivyokaa kugusa mioyo ya watu huwezia amini kuwa hii ni AI, namna ulivyopangiliwa unazidi hata ubunifu na wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nay Wa Mitego awashukuru Watanzania kwa kuufanya wimbo wake mpya kuwa No. 1 trending, awasifu kwa misimamo na umoja

    Msanii Nay wa Mitego kupitia ukurasa wake wa Insta ameeleza hayo hii ikiwa ni katika kipindi amabacho wananchi wanajitahidi kuwawajibisha wasanii waliokataa kusimama nao kipindi cha matatizo. Nay ameanika; "Watanzania Wa Sasa Sio Watu Wa Kuchezea Wana Maamuzi , Wana Misimamo Na Umoja✊. Jana...
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo ndiyo utatuongoza kesho D9

    GT Mambo ni moto hatutaki mchezo mchezo
  5. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa MAKOMBORERO upigwe Marufuku nchini

    Huu wimbo una viashiria vya ukombozi na uvunjifu wa amani. Hivyo ingefaa upigwe Marufuku na BASATA kuleta utangamano wa kitaifa
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani wa Desemba unaupenda zaidi?

    🎶 Ni wimbo gani wa Desemba unaupenda zaidi? Chagua moja au zaidi na tuma list yako! 1️⃣ ‘Jingle Bells’ 2️⃣ ‘Silent Night’ 3️⃣ ‘We Wish You a Merry Christmas’ 4️⃣ ‘Last Christmas’ 5️⃣ Wimbo mwingine (taja chini 👇)
  7. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo unaendana sana na hali ya sasa, Heshima imerudi

    https://youtu.be/VS3BHKMqbu4?si=GoJgDZwYpmbx7N6M
  8. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wimbo: Wasanii mlishabikia mitano tena, Biashara zenu zitadorora

    Wimbo maalum kwa ajili ya wasanii wetu wana mambo mengi ya kujifunza kutokana na tukio lilitokea.
  9. sizzya007

    JamiiForums Tanzania “Mungu Ibariki Afrika” haifai tena kuwa Wimbo wa Taifa la Tanzania 🇹🇿 (na Afrika kwa ujumla)

    “Mungu Ibariki Afrika” ilitungwa kama wimbo wa matumaini. Wito wa umoja, amani, na hekima miongoni mwa Waafrika waliokuwa wakipigania ukombozi. Lakini leo, zaidi ya nusu karne baadaye, maneno hayo hayana uhalisia katika bara letu. Tunaimba “Hekima, Umoja na Amani” huku viongozi wetu wakiongoza...
  10. Keynez

    JamiiForums Tanzania Sawa mmeshindwa kujizuia kwenda kwenye mamipira, basi hata kusimama kuimba Wimbo wa Taifa?

    Labda mmeshindwa kujizuia kwenda kwenye hayo mamipira yenu. Labda ni addiction mnayoshindwa kuizuia. Labda wengine mnaona ni sehemu ya "kusahau" kwa muda machungu ya maisha. Sawa tunakubali. Ila hata kujiorganize na wote kwa pamoja kusimama wakati mpira unaanza na kuimba Wimbo wa Taifa? Hili...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson kapost wimbo kwamba Watu asiowajua Wamemfuata Nyumbani wakiwa wamebeba Bunduki. Ila haogopi Babylon

    Kwenye Page yake ya Instagram, aliyekuwa Spika wa Tanzania bunge la 12, Kapost Picha yake akiambatanisha na wimbo wa Lucky Dube wa Jah save Us, Kipande kinachosema tafsiri isiyo rasmi kwamba; "Watu waliokuwa wamebeba bunduki aina ya machine gun(MG) wamemfuata Nyumbani kwake. Watu hao walikuwa...
  12. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tutarajie kuimbishwa wimbo gani baada ya Uchaguzi?

    Mwanzo ilikuwa M4C. Halafu ikawa people's power! Mara ikaja hii ya No reforms no election!. Sasa nadhani baada ya uchaguzi pataanzishwa wimbo mwingine kwakuwa , NO REFORMS NO ELECTION itakuwa imeexpire! Lakini pia kurudi kuimba people's power pia haifai kwakuwa itakuwa kujidanganya...
  13. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Game gumu. Nandy anatoa wimbo same day anau-promote Youtube

    Ngumu kuacha kitu kitrend chenyewe. Boost muhimu. Ningeongeza view ila walituambia tufanye kazi.
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Tupate burudani ya wimbo wa HAKUTAKUWA Nywinywi wala Nywinywi

  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa lyrics za wimbo mpya wa Roma "Teremsha Bunduki"

    Afande teremsha bunduki, Unawatetea mbona hawakukumbuki, Unatuonea, unatupiga Mabuti, Mara virungu, mara unataka kutushuti, Afande teremshaa! Hai! Hai hai! Afande teremsha bunduki! Hai hai! Afande teremshaa! Hai! Hai hai! Afande teremsha bunduki! Hai hai! Afande teremshaa! Hai! Hai hai! Afande...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa Vitali Maembe una ujumbe mkali sana

    Vitali Maembe, msanii kutoka Bagamoyo kwenye huu wimbo anasema ukiona watu wameweka majamvi, ujue wameshafiwa. Na aliyekufa hakufa kwa ugonjwa bali aliuawa. Anauliza iko wapi Tanzania tuliyokuwa tunajivunia?
  17. Farolito

    JamiiForums Tanzania Jina la wimbo huu wa Enrique Iglesias lina maanisha nini?

    GT Naomba mnijuze huu wimbo una maana gani? Unaitwa 'Velvet Horizons' Ni wimbo mzuri sana umetoka mwaka huu 2025 naupenda ila nimeshindwa kujua maana yake,kila nikisoma maana ya maneno hayo mawili niunganishe sipati maana halisi. Pia nimejaribu kutafuta Lyrics zake sizipati,kama unajua mahali...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa kivuruge-nandy remix made by AI hata Nandy haoni ndani

    Sikiliza kionjo tu cha dakika moja kisha toa maoni.
  19. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Misholi aliona mbali sana kuimba huu Wimbo "bora hayati Nyerere"

    Huu wimbo ulitoka kuelekea kipindi cha uchaguzi wa J.K Kikwete mwaka 2004 na hayo aliyoyaimba hayakutokea. Ni miaka takribani 22 toka wimbo utoke na leo yote yaliyoimbwa yanaelekea kuwa dhahiri shahiri. Mzee wa watu alifanya unabii bila hata kujua utakuja kutokea lini na leo tunayaona...
  20. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mnaoimbishwa wimbo wa "OKTOBA TUNATIKI" ni mkumbo wa kichama au mnaujua ukweli wa kutiki?

    Wakati wewe unaimbishwa wimbo wa "OKTOBA TUNATIKI" mnao waimbia wako busy kujiwekeza kiuchumi wao na watoto wao pamoja na familia zao kwa ujumla kupiti mgongo wa ninyi mnao imbishwa huo wimbo. Nimesikitika sana nimeenda kituo cha afya kimoja kikubwa tu na kinahudumia zaidi ya kata tatu au zaid...
Back
Top Bottom