wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hatimaye Paula wa Kajala amepost wimbo wa Mme wake "Kelebe" aliomshirikisha Innoss b

    Baada ya Vannyboy mtu mbaya kuachia "lisong" akiwa amemshirikisha mega star from Kongo Innos b , goma linalokwenda Kwa jina la "KELEBE"ambalo kwa sasa ndo habar ya mjini.... Goma Hilo lililogonga views "kilo " na usheee ndani ya saa moja ,limechanja mbuga huko YouTube na sasa linatambaa pale...
  2. O

    JamiiForums Tanzania PADI WUBONN mkenya huyu akiigiliziia wimbo wako anakupotezaaa kabisaaa

    Huyu mkenya comedian akiigilizia wimbo wako utanuna anakupoteza.drake Mwenyewe alinuna ule wimbo wake wa gods plan mpaka akamnunia huyu mkenya.ila kiukweli Jamaa in balaa
  3. JamiiForums Tanzania Mjue Mtunzi halisi wa Buffalo Soldier ambao ulipewa umaarufu na Bob Marley

    Wanangu hamjamboni? Leo tujikumbushe mambo ya kizamani kidogo hasa wapenzi wa reggae kama mimi baba yenu. Japo marehemu Bob Marley aliufanya wimbo wa buffalo soldier maarufu, mtunzi wake ni Giddes Chalamanda toka Malawi. SIkiliza hiyo kitu utajua na kuamini ninachowambia baba yenu.
  4. JamiiForums Tanzania Leo nimepata wasaa wa kusikiliza na kuangalia wimbo mpya wa kijana Harmonize

    Kiufupi ni hamna kitu pale zaidi ya kelele nyingi wala huelewi mtu huyu anasema nini. Amejitahidi kiasi chake kufanya hii remix ya wimbo wa Awilo wa miaka mingi ya zamani ila asikate tamaa akazane atafika.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Tuongee hili in deep, hivi views ndo kigezo Cha wimbo kuwa Bora, au ni popularity? Harmo ,mond wanahusika

    Tusiongee Sana, hivi msanii akitoa wimbo ukawa na views wengi inamaana ndo mziki mzuri , au views inategemeana na popularity ya aliyeutoa mziki huo. Kwasababu Kuna miziki ukisikia ni ya kawaida Ina views wengi, Ila Kuna mwingine mikali Ina views wachache. Nachanganyikiwa. .tuchukulie mfano...
  6. JamiiForums Tanzania Swali la kufikirisha: Kwanini Hayati Magufuli enzi za uhai wake alipenda sana wimbo wa "Baba" wa Stamina na Prof. Jay?

    Habari wanajamvi..! Leo nimejiuliza hivi kwa nini hayati alipenda sana wimbo wa baba ,kiasi ambacho hata kwenye uzinduzi wa studio za Channel ten akaomba apigiwe wimbo wa "Baba "wa Stamina na Prof Jay aliyekuwa mbunge wa Mikumi??
  7. JamiiForums Tanzania Tundaman - True Love. Wimbo huo unatoka lini?

    Nimeona vipande kadhaa youtube na tiktok kwakweli wimbo una mahadhi fulani ninayo yakubali. Naomba kujua wimbo huo watoka lini au kama umeshatoka weka link hapa.
  8. JamiiForums Tanzania Wimbo 'kajiandae' ni kitambo lakini bado unagusa japokuwa si maarufu sana

    Kiukweli tuache utani mbona naona kama huu wimbo unamashairi mazuri ama kwa kuwa si mchambuzi wa mziki @Ommydimpoz ulikomaa sio mhezo Oh cherie Usione nachelewa Mwenzako nafanya mipango Tupate riziki kidogo Yo mamii Usione nachelewa Yote sababu mipango utasubiri kidogo My moonlight My...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuupata wimbo huu wa zamani (zilipendwa)

    Jamani natafuta huu wimbo muda mrefu Bila mafanikio sijui jina lake staili ya uimbaji ni kama ya magic system au papa Wemba ile nyimbo kama sio mkongo aliyeimba Basi ni watu kutokana West Africa au central Africa hii nyimbo inaimbwa kwa mtindo huu naandika Kiswahili. "Kiberenge kinaokoaaaa...
  10. JamiiForums Tanzania Mmekutana baa na ex wako..je utamshukuru dj kwa wimbo gani

    Imetokea tu..mmekutana baa Wewe meza hii na yeye meza ya pembeni...dj akipiga wimbo gan utamshukuru sana..tena ikiwezekana utaimba kwa sauti/au kucheza kwa madoido
  11. JamiiForums Tanzania Wimbo wangu mpya kwa ajili ya John Pombe Magufuli unapatikana YouTube kwenye channel yangu HAITHAM KIM

    Watanzania Tunakulilia Baba 😭 @haithamkim X @wyse_tz Official Video is out ‼️
  12. JamiiForums Tanzania Wimbo Wangu Maalumu kwaajili ya John Pombe Magufuli unapatikana YouTube kwenye channel yangu HAITHAM KIM

    Watanzania Tunakulilia Baba 😭 @haithamkim X @wyse_tz Official Video is out ‼️
  13. JamiiForums Tanzania Wimbo wa boney m bonoboos I shall sing unaniumiza roho nalia mpaka nazimia

    Wimbo huu ukipigwa unafanya nimkumbuke baba yangu mzazi enzi hizo tukiwa uwingereza malechela akiwa balozi uk naumia Sana . Naomba mwenye mashairi yake video zipo utube . I shall sing sing my song lalalalalalaaaaaaaaaa Lalalalalalaaaaaaaaaa I shall sing sing my song .........
  14. JamiiForums Tanzania Wimbo wa Ndala Kasheba Dunia Msongamano umezungumzia kabisa tabia ya Watanzania

    Mawazo yamenijia leo aliokuwa mzee wangu akisema dunia ni msongamano wa watu wenye akili tofauti. Ukitaka kuishi vema fikiri kabla ya kujibu jifunze kwa walimwengu walimwengu wajifunze kwako dunia ni kuona mambo halafu kuyasahau. Mateso nimeshayapata matatizo mengi yamenikuta furaha nyingi...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Aliyetunga wimbo wa "Idd Amin akifa, mimi siwezi kulia..." Ukaimbwa mashule na kambini kama kibwagizo alikuwa nani?

    Habari wadau! Tuko kwenye mjadala hapa! Wapo wanaodai ni mwalimu nyerere wengine wanasema ni Mboma, wengine wanasema ni Rais Moi! Je, ni nani aliyetunga wimbo huo uliosikika kwa maneno "Iddi Amin Akifaa, Mimi siwezi kuliaa, nitamtupa kageraa, ili awe chakula cha mamba! Je, wimbo huo ulikuwa...
  16. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki wa Reggae Bunny Wailer (Neville O'Riley Livingston) afariki dunia

    Lejendari wa muziki wa Reggae Bunny Wailer, ambaye ni miongoni mwa waasisi wa kikundi maarufu cha Reggae kiitwacho Wailers, ambacho kilimuinua Bob Marley kwenye hadhi mziki wa ulimwengu, amefariki akiwa na umri wa miaka 73. Nyota huyo wa miaka 73 alikata roho akiuguzwa katika hospitali ya...
  17. JamiiForums Tanzania OMBI: Mwenye code au Note za wimbo wa "Parapanda Italia"

    Inasemekana nyimbo nyingi zinazoimbwa hasa kwenye nyumba za ibada zinakuwa na mpangilio maalum ambao mtu yeyote akiufuata anaweza kuimba. Sasa kuna huu wimbo una maneno kama ifuatavyo. "Parapanda italia parapanda, Parapanda italia parapanda" Mwenye kujua au mtaalamu wa nyimbo anisaidie...
  18. JamiiForums Tanzania Wimbo kwa ajili ya wakina baba upo?

    Jaman habarini ningependa kuuliza kama ambavyo tumezoea kila siku wasanii karibia kote duniani huimba nyimbo kwa ajili ya kuwasifu wakina mama. Je ningependa kuuliza kuna mtu ata mmoja anaujua wimbo wowote ulioombwa kuwasifu wakina baba maana sio kila siku tunasikiliza za kuwasifu wakina mama tu...
  19. JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani wa Kibongo umeimbwa kwa Kiingereza tu?

    Mbona kwenye interviews nasikiaga YES, TO BE HONEST, nk, lakini sijawah sikia nyimbo kwa kizungu mwanzo mwisho.. Achana na zile wanataja vijimaneno viwili vitatu tu.
  20. JamiiForums Tanzania Msanii wa Nigeria Burna Boy amejumuishwa katika orodha ya wanamuziki ambao album yake itakayochezwa wakati wa sherehe ya kuapishwa kwa Joe Biden

    Kwanza unaweza kufikilia inakuwaje asichukuliwe mwanamuziki wa Marekani au mataifa mengine yaliyoendelea, pili ni kiasi gani cha pesa analipwa mwanamuziki huyo kutoka Afrika ya kaskazini? Lakini ni kwamba orodha ya nyimbo zipatazo 46 zimeandaliwa katika sherehe ya kuapishwa kwa Biden, taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…