whatsapp

  1. phzhenry

    JamiiForums Tanzania WhatsApp Business yangu ina-logout mara kwa mara, nifanyeje ikae sawa?

    WhatsApp business yangu kwa siku za hivi karibuni imekuwa ikinisumbua inakuw ina logout na kunisubirisha baada ya masaa 24 tena ndy niweze kujaribu kuingia tena, na yanapofika masaa 24 niki verify account inakubali inafunguka ila natumia ni ndani ya dk10 tu ina-logout tena, sas hii imekuwa...
  2. Kang

    JamiiForums Tanzania WhatsApp kuacha kufanya kazi simu za zamani Jan 1

    Meta wameamua kuacha kussuport simu zenye Android KitKat (4.4) kwenda chini kuanzia Jan 1 2025. Baadhi ya simu maarufu ambazo zitaacha kufanya kazi ni Samsung: Galaxy S3, Galaxy Note 2, Galaxy Ace 3, Galaxy S4 Mini Motorola: Moto G (1st Gen), Razr HD, Moto E 2014 HTC: One X, One X+, Desire 500...
  3. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Hivi ni WhatsApp leo inashida gani?

    Hello my friend's Hivi ni WhatsApp yangu tu ambayo leo haitumi text wala kupokea ujumbe? Mwanzo ilifunguka text zikaingia shida ikawa kujibu ukijibu inapotea ewani now haifunguki shida nini? Nimejaribu kuupdate ila bado
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Zipi ni faida na athari za kuwa kwenye magroup ya Whatsapp ya ukoo

    Katika makala ya leo, Ni vyema tukaeleweshana kwa kina faida na athari za kuwa kwenye magroup ya Whatsapp ya ukoo. Najua wengi tumezoea kujiunga na magroup ya shule, kazini na biashara ambapo faida zake ni nyingi sana. Kwenye haya magroup unaweza kuona tangazo la kazi, unaweza kupata...
  5. milele amina

    JamiiForums Tanzania Pave, Ayo Blog kwenye Group la Whatsapp la Moshi yetu, lengo lake ni nini?

    Fuatilia,tupe ushauri!
  6. Daata

    JamiiForums Tanzania Msaada WhatsApp yangu inakuwa logged out ikihusishwa na spam

    Wadau wa Jamiiforums Habari za wakati huu. Na leta kero yangu kwenu kuhusu WhatsApp yangu kusumbua mara kwa mara. Usumbufu unatokana kuwa log out kwa madai ya account yangu kuhusishwa na spam. Tatizo lilianza siku moja namba yangu ili unganishwa na ma group kama tano ambayo haya kuwa ya...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kuna magroup ya WhatsApp ya DAWASA maeneo yote Dar, Waziri Aweso omba links za maeneo yenye malalamiko upate uhalisia

    Salam, Tunaendelea katika episode nyingine ya 'MZINDUE AWESO MAJI YAREJEE', na leo tumpe mbinu nyingine ya kujua uhalisia wa kinachotokea mtaani. Yaani hii wiki inaenda kuisha kule Mbezi Beach maji yametoka haijazidi siku moja, afu Waziri Wizara ya Maji huko anajitapa tu maji yapo na chawa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Equatorial Guinea yaunyima uwezo WhatsApp usambazaji wa picha na video za ngono za Afisa wa Serikali

    Naona Serikali Equatorial Guinea wanafanya kila mbinu kuhakikisha mambo yasiwe mengi baada ya huyo jamaa kuchafua hali ya hewa kwenye taifa hilo na nje ya taifa hilo ============================ Serikali ya Equatorial Guinea imeminya Mtandao wa Whatsapp Nchini humo ili Raia wake wasiweze...
  9. snipa

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuedit Text au emoji liyoituma WhatsApp Kimakosa au bila Makosa, Ndani ya dakika 15.

    Rasmi sasa WhatsApp waruhusu kuedit message uliyoituma kimakosa au bila kuwa na makosa lakini ungependa kuedit vitu kama vile emoji n.k Ni uamuzi mzuri japo utaleta hoja kuhusu encryption ya message tutakazokuwa tuna tuma kwasabu WhatsApp ni end to end encrypted. Kumbuka waweza kuedit text Yako...
  10. Singasinga

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaweka status WhatsApp ya kuachana na mtu ila si mimi

    Habari wakuu, Nimeamka leo nakuta mpenzi wangu kaweka WhatsApp wimbo wa Mboso uitwao Over akisindikiza na maneno na dhihaka za emoj za kuonesha anamwambia mtu ambae sio mimi. Kuna haja ya kuhoji?
  11. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Napata shida sana na watu wanaoweka Dissapearing Message kwenye whatsapp zao

    Kwa wanawake akiniwekea hivyo najua hana mwanaume mmoja yaani ana mambo mengi anafanya huko kwa simu yake na hataki abambwe kama yeye ni malaya, Kwa wanaume akiweka hivyo red flag ya kwanza ni tapeli, mzinzi, mhuni, mwizi Ongeza nyingine...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Usaili kwa walimu uliokuwa ufanyike Oktoba mpaka Novemba wasitishwa mpaka hapo watakapotangaziwa tena

    Usaili wa walimu Umehairishwa mpaka hapo utakapotangazwa. Afya mpaka leo hakuna Pdf. Je, kipi kiko nyuma ya haya? 1. Serikali haina Hela. 2. Utumishi wamelemewa. . .
  13. G

    JamiiForums Tanzania Group la WhatsApp, kwa walimu wa kemia na biologia kwa maandalizi ya usaili.

    Link hii hapa https://chat.whatsapp.com/K6A6IZtd9yBEWTpoyGZRHu
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Hakuna tija yoyote ya Makundi ya WhatsApp kwa watu uliosoma nao kitambo

    Tulimaliza Form four 2009 Hatuna mawasiliano yoyote baada ya shule Shuleni hatukuwa marafiki kivile Sasa mambo yamebadilika, tumekuwa wazazi, tuna majukumu mengine Mijadala ya magroup haya ni mwalimu Fulani alikuwa anachapa, tulitoroka nk Ambavyo Kwa Sasa havikusaidii Suala la michango Michango...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Siwezi kupata access ya WhatsApp account yangu

    Habari wakuu, nimepata changamoto baada ya kuinstall whatsapp kutoka playstore. Na ni official application ila inaniandikia hivi. Sasa wakuu naombeni msaada wenu. Na hata nikienda kwenye hiyo website yao, nikipakua app inaniletea taarifa hiyo hiyo.
  16. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Mume kabamba WhatsApp message zangu kwenye simu ya mkewe

    1. Wakuu kuna Mother flan Mwalimu wa sekondari ya kata mitaa ya Kibamba huwa nakamua toka Oktoba 2022 sasa ijumaa nilienda kupiga kuanzia saa 8 mpaka sasa 12 nikamrudisha hadi mitaa ya kwao. Kumbe jamaa alikua sehemu kaona mkewe anashushwa kwenye Subaru mke kadanganya ilikua Uber lakin wapi. 2...
  17. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Unapata changamoto kutumia WhatsApp?

    WhatsApp sijui wana shida gani na mimi? Mwanzo nilikuwa natumia Iphone, shemeji/wifi yenu akaninyang'anya akanipa simu yake aliyokuwa anatumia, simu yake aliyonipa nitumie ni aina ya Oppo, nilivyoinstall WhatsApp kwenye hii simu nilitumia kama wiki moja hivi, baada ya hapo wakaanza kufungia...
  18. The Dictator

    JamiiForums Tanzania WHATSAPP TEXTS: Huwa unachukulia vipi ile situation ya mtu anaku-blue tick alafu hajibu wala kureact chochote?

    Kuna watu kitendo hiki kinawaumiza sana. Wengine wala hawajali. Wewe huwa unachukuliaje mtu akikufanyia hivi?
Back
Top Bottom