whatsapp

  1. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Nigeria: WhatsApp na Facebook zapigwa faini ya Tsh. Bilioni 583.8 kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Serikali imeitoza kampuni ya META faini ya Dola za Marekani Milioni 220 (takriban Tsh. Bilioni 583.8) ikiwa ni baada Mitandao ya WhatsApp na Facebook kukutwa na makosa ya ukiukwaji wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Haki za Wateja Taarifa ya Tume ya Ushindani na Ulinzi wa Haki za Walaji...
  2. covid 19

    JamiiForums Tanzania Kuna masheikh wengine wananongwa sana eti sheikh wetu amenitoa kwenye group la whatsapp la kugawa nyama siku ya Eid

    Sasa najiuliza kosa langu ni nini yani group nipo na ni mchangiaji mzuri tu wa mada mbalimbali ila aliona sijui namzidi umaarufu leo nimefika sehemu yenye wi-fi nataka kuuliza kama nyama imeshaanza kuja msikitini nakutana na sms ya admin removed you sasa kwanini asingenitoa toka muda yaani...
  3. Xiao qui shui

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mtu anayetumia gb whatsapp mpka leo anisaidie

    Salamu wakuu Naomba kama kuna mtu anatumia gb whatsapp mpka leo anipatie link humu niidownload maana nikitumia ya kawaida naambiwa download the official whatsapp ijapokua ni ile ya kutoka play store
  4. Advocate_Silayo

    JamiiForums Tanzania Update mpya Application ya WhatsApp

    WhatsApp imeanzisha utaratibu wa kutuma sauti (voice note) ambayo mtumiwaji ataweza kuisikiliza mara moja tu (listen once) kama ambavyo ilivyo kwenye picha (view once). Ni maendeleo mazuri ya kiteknolojia lakini nadhani inaweza kutumiwa kama chombo cha kumtukana mtu mwingine kwa maneno na...
  5. mahroof

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu used ya Huawei inanipata changamoto ya What'sApp

    Msaada wakuu Simu yangu ni huawei ni used from china Simu ina changamoto ya whatsap, nikisajiri number baada ya week inaanza kuandika kama nilivyo ambatanisha hapo chini Msaada jamani tangu nimeanza kutumia whatsap sijawahi kutumia whatsap ambazo siyo official
  6. Shammy-

    JamiiForums Tanzania Nmana gani naweza kusoma ama kirejesha deleted message kwa Whatsapp?

    Kichwa chajieleza vizuri, naomba mnisaidie ni kwa nmana gani naweza kusoma ama kirejesha deleted message kwa Whatsapp ikiwa natumia Whatsapp ya kawaida tofatu na gb Whatsapp, fm WhatsApp n.k Kama Kuna App ya kurudisha deleted message basi naomba kufahamishwa. Ova.
  7. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa Ban mbili za whatsApp ndani ya siku mbili

    ...
  8. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Nashindwa ku-verify WhatsApp

    Wajuzi msaada. Nimepakua WhatsApp lakini mtandao unagoma ku-verify. Nimeshindwa kupata verification code kwa sms wala kwa call. Msaada! Mbinu mbadala. Tunakosa hela jamani!
  9. jangos

    JamiiForums Tanzania WhatsApp wamekuwaje?

    Habari, Ni muda sasa nimekuwa nikifungiwa WhatsApp hadi natamani kuifuta kabisa, kila niki submit wanaifungua baada ya masaa 24 kisha haimalizi at a dakika 5 inafungiwa tena naomba msaada.
  10. tamsana

    JamiiForums Tanzania Tangu jana nashindwa kupakua kwenye WhatsApp file aina ya word, pdf na excel

    Wataalam habari ya majukumu. When i want to download pdf, word and excel files i get the pop up message "WhatsApp download failed. Please try again later". Nimetafuta na kujaribu tutorial youtube na google bila mafanikio. Hatua ya mwisho kabisa nime reinstall app lakini bado changamoto iko pale...
  11. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Kero na changamoto za kwenye magroup ya WhatsApp

    Habari za mida hiii wadau. Maendeleo ya kiteknolojia yameleta unafuu wa maisha na kuyafurahia maisha hasa kwenye mawasiliano. Lakini maendeleo hayo kwa upande mwingine yameleta usumbufu na kero hasa yakikutana ndugu zetu ambao hawana nidhamu kwenye kutumia. Kumekuwa na makundi ya kupiga soga...
  12. Yuda Eskareote

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimefungiwa Whatsapp account yangu

    Habari wanajamvi Ninaomba Msaada juu ya kufunguliwa Kwa account yangu ya whatsapp iliyofungiwa burned Natumia whatsapp messenger Pelee na sikufanya chochote Kama forwarding SMS wala majibizano na mtu inaandika hivi Msaada tafadhari
  13. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Hatimaye matapeli umehamia Whatsapp

    Nimekaa nasoma JF, Mara text hizo kwa wasapu yangu angalia mwenyewe hizi screenshot
  14. Kaveli

    JamiiForums Tanzania Msaada: namna ya ku-recover WhatsApp Video call (outgoing) if possible.

    Kwa tech gurus wote kwenye jukwaa hili, title ya uzi yahusika. Naombeni namna ya ku-watch/download WhatsApp Video call (outgoing). Urgently naihitaji video husika ila haipatikani kwenye storage. Naishia kuona video call 'history' tu ya tarehe husika. N.B: Nahitaji video husika urgently for...
  15. MwaFreeca

    JamiiForums Tanzania Msaada whatsapp

    Habari ndugu zangu, Nina shida Whatsapp yangu ilifungiwa kwasababu nilikua natumia GB whatsapp. Nikawasiliana nao kwa njia ya Email account ikafunguliwa. Nikatumia whatsapp official kwa muda wa miezi mitatu ikaja kukataa tena inaleta ujumbe huu hali yakuwa natumia Official whatsapp..
  16. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Whatsapp Status watakuwa na uwezo wa kuweka video ya dakika 1

    WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuongeza urefu wa video ambayo mtu anaweza kuweka katika sehemu ya WhatsApp Status. WhatsApp imeanza kuweka limit ya dakika 1 (sekunde 60) katika video za WhatsApp Status. Kwa kawaida limit yake ni sekunde 30! Majaribio haya yameanza kwa watumiaji wa Android.
  17. N

    JamiiForums Tanzania Msajili wa Jumuiya za Kiraia: Serikali haisajili 'groups za WhatsApp' bali inasajili kisheria jumuiya zisizo za kidini

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa amesema kuwa Serikali haisajili 'groups' za WhatsApp isipokuwa wanasajili jumuiya mbalimbali ambazo sio za kidini ambazo zipo kwenye jamii. Anasema kuwa zoezi la usajili ambalo linaanzia kwenye Mkoa wa Dar es...
  18. Heparin

    JamiiForums Tanzania Msajili wa Jumuiya za Kiraia: Makundi ya WhatsApp kusajiliwa Kisheria kwa TZS 200,000/-

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa, amesema kampeni ya usajili wa jumuiya zisizo za kidini iliyoanza mkoani Dar es Salaam, inahusisha vyama au vikundi vikiwamo vinavyoendeshwa kwa njia ya mtandao wa WhatsApp. Amesisitiza kuwa ni muhimu vyama...
  19. Drax001

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Whatsapp bot na hizi ni features zake

    WHATSAPP BOT Ulimwengu wa Sasa matumizi makubwa ni ya artificial intelligence (robot) now Whatsapp Kuna robot maarufu kama Whatsapp bot. BOT FEATURES 🤖 Auto View Status 👉Hii utaview status ata ukiwa offline tena just now😁 🤖Always Online 👉hii muda wote utaonekana active online ata Kam...
  20. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Tangu waizime WhatsApp GB huduma ya WhatsApp imepoteza mvuto

    App ya WhatsApp GB ina raha yake. Ilikuwa na feature nyingi nyingi sana. Na mara kwa mara wanatoa update inavutia sana. Sasa majuzi nilishuhudia watu wakitakiwa ku download official WhatsApp app mm najua ni njama tu. Ile ilikuwa inaruhusu kuona kama mtu alituma kitu akakifuta wewe unaona na...
Back
Top Bottom