whatsapp

  1. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ungana nami leo ujifunze kutumia RCS Chats, mbadala wa WhatsApp katika kifaa chako cha Android

    Je, unatumia kifaa cha Android? Je, unatafuta mbadala wa WhatsApp baada ya kuitumia kwa muda mrefu? Ndiyo, inawezekana, ukiwa na Kifaa cha Android iwe Simu, Tablet huna ulazima wa ku download App ya WhatsApp, unaweza kupata Features zote za WhatsApp ikiwemo kutuma Picha, Video, GIF, Poll...
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Wivu kwa vijana wadogo wanaofanikiwa haraka, haya ni majibu ya ‘ChatGPT’ juu ya hilo

    Nadhani wengi mnakumbuka sakata la Niffer… Majibu ya ChatGPT ni haya.. [Why are older people jealous of sucessful young people?] =============== Wivu dhidi ya vijana waliofanikiwa unaweza kutokana na sababu mbalimbali za kisaikolojia na kijamii, ingawa si watu wote wazima wanahisi hivyo. Hapa...
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Whatsapp watakua na uwezo wa kuweka video ya zaidi ya sekunde 90 kwenye Status

    Hii ni habari njema kwa wale wapenzi wa mtandao wa Whatsapp, kampuni ya Meta inayomiliki mtandao wa Whatsapp imesema Muda sio mrefu itaweza kuachiwa Feature mpya ya watu kuweza kuweka video ndefu kwenye status. Feature hii imeshaanza kufanya kazi kwa baadhi ya watumiaji wa Whatsapp ambao...
  4. KENZY

    JamiiForums Tanzania Story na chatGPT la WhatsApp, ona lilivyonijibu..

    Hili roboti kuna muda linachekesha sana kwenye majibu yake!, binafsi nimelisave kama "Akili mnemba".
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani: Meta Yaweza Kulazimika Kuuza Instagram na WhatsApp

    Kampuni ya teknolojia ya Meta, inayomilikiwa na bilionea Mark Zuckerberg, huenda ikalazimika kuuza Instagram na WhatsApp kufuatia kesi ya ukiritimba (antitrust) inayosikilizwa nchini Marekani. Meta, ambayo pia inamiliki Facebook, ilinunua Instagram mwaka 2012 na WhatsApp mwaka 2014. Serikali ya...
  6. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Screeshots thread: Idadi yako kubwa ya WhatsApp status views

    Mzuka! Kama hutojali, turingishie kwa picha idadi kubwa ya status viewers unazopata/ulizowahi kupata. Mimi binafsi ni 000 digits, sijawahi fika 0000. (Ila picha sina). Mufti kuku The Infinity BICHWA KOMWE - Maghayo #Uzi_Tayari
  7. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Je wajua? kama Whatsapp yako ina Chat GPT??

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nikwamba kama unatumia smartphone basi utakuwa na Watsapp application katika hiyo simu yako, basi na katika hiyo whatsapp ytako kuna akili mnemba (AI) iliyotengenezwa na Chat GPT ili iwe rahisi kwako kuuliza vitu na kujibiwa! Je unaipataje ni Rahisi sana...
  8. mrembomzuri

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mume kuanzia miaka 45

    UKIWA CHINI YA MIAKA 45 NI MARUFUKU KUNITAFUTA. Hello mimi niko single, nahitaji mume, Miaka 45-75.....awe anajiweza kutunza na kuhudumia mke, familia. Dini yoyote, niko tayari kuwa hata mke wa 2, 3, 4.
  9. Barakha John

    JamiiForums Tanzania WhatsApp Imeiga tena kutoka Tiktok & Instagram : Hili Litakushangaza ….

    #mwanakidigitali hii utaipenda … WhatsApp wamefanya mabadiliko makubwa kwenye Ststus zake na sasa unaweza kuweka muziki wowote unaotaka unapo post picha kupitia WhatsApp status 📌 Ona hatujasalimiana hata 😆 Mambo ni vipi #mwanakidigitali …. Najua swaumu itakuwa kali poleni kwa mfungo kwa wewe...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuweka Audio Status Whatsapp

    Msaada tafadhali mwenye kujua
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nimekuta namba yangu ya Tigo niliyotumia miezi mitatu iliyopita imebadilishwa usajili, whatsapp yangu imebadilishwa ?

    Leo nikiwa natumia whatsapp nimekuta picha ya namba yangu ya Tigo kuna mtu mwengine kajipiga selfie Naenda kuangalia usajili wa majina kwa njia ya kutuma pesa nakuta majina tofauti. Hili jambo limenishangaza sana juu ya privacy ya namba zangu, kwa bahati nzuri haikuwa namba nayotumia sana...
  12. Scars

    JamiiForums Tanzania WhatsApp ipo down

  13. PamojaTz

    JamiiForums Tanzania Vitabu kwa lugha ya Kiswahili vinapatikana. Nicheki kwa Whatsap

    Kutokana na uhitaji mkubwa wa vitabu kwa lugha ya kwetu, hatuna budi kuwaletea vitabu hivyo (Softcopy na Hardcopy). Njia ya kuhudumiwa ni kupitia WhatsApp 0737317870 pekee.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kumuondoa Admin aliyetengeneza Group la whatsapp,

    Wakuu kuna mtu amehack group langu la whatsapp la muhimu sana. Naombeni kufahamu inawezekanaje hii, mtu umemuamini na kumpa uadmin halafu unaamka unakuta "You're no longer an admin" wakati wewe ndiye whatsapp group creator. Naombeni kufahamishwa wajuzi wa mambo Teknolojia ni Yetu sote
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hakuna watu wananikera whatsapp kama hawa kina "Samahani naitwa fulani nilikuwa naomba urafiki

    Na siku hizi wamekuja tofauti, zamani unatumiwa ujumbe moja kwa moja, sikuhizi utatumiwa meseji habari yako, hellow, vipi, n.k. Unaweza kudhani ni mtu mnafahamiana labda huna namba yake, unamjibu kwa heshima ghafla unatumiwa meseji "Samahani naitwa fulani nilikuwa naomba urafiki naomba unisevu...
  16. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Umewahi kujiuliza ni familia ngapi zinakula na kunywa kwa kipato kinachopatika Facebook, instagram,whatsapp?

    To be honest Kwa sisi wafanya -biashara tunabidi kumshukuru Sana Mungu na kumuombea maisha marefu mmiliki wa hii mitandao ,Facebook, Instagram na WhatsApp. Familia zetu zinakula na kunywa kupitia hii mitandao Tunauza bidhaa za mamilion , tunanunua bidhaa n.k God bless you makizigibagi.
  17. Satirical Yet Awesome

    JamiiForums Tanzania Hizi Settings za 'Status Privacy' za Whatsapp zinafanya kazi kweli?

    Habari 👋 Moja kwa moja kweny mada. Aisee, Leo nimeyakoroga, leo majira ya mchana kabla ya kuweka status kuna mtu nilim-hide kweny option settings za "status privacy", then nikapost, alaf nikazima data nikaendelea na shughuli zangu. Asaiv nimerudi home nimewasha data nakuta message kibao za...
  18. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Kampuni za simu Tanzania nadhani zina shida, tabia ya kuzuia simu za wateja na kuwachatisha WhatsApp kupitia BOT ni ulimbukeni

    Baadhi ya Kampuni za simu Tanzania nadhani hazina akili timamu, tabia ya kuzuia simu za wateja na kuwachatisha WhatsApp kupitia BOT ni ulimbukeni Hii tabia ya baadhi ya kampuni za simu kuzuia huduma ya kuzungumza na wateja kupitia namba 100 sijui wametoa wapi TCRA wachukulieni hatua hawa watu...
  19. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuzuia Usiadiwe Kwenye Makundi ya WhatsApp Bila Ruhusa Yako

    Bila shaka ilisha wahi kukupata hii... Umeamka zako Asubuhi unajikuta umewekwa kwenye group na mtu pengine hata humjui. Mara group la Mchango mtoto kameza shoka hahahah (jokes) Nk. Kuna muda inakera na kuudhi ... Basi kuanzia leo ukisoma makala hii fupi litakuwa limeisha... Mimi Naitwa...
  20. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Pegasus yakutwa na hatia ya kudukua na kufuatilia mawasiliano ya watumiaji wa WhatsApp

    Kampuni ya META imeshinda kesi iliyofunguliwa mwaka 2019 iliyokuwa ikiituhumu kampuni ya NSO Group ya Israel kutumia Programu yake ya 'Pegasus' kudukua mawasiliano ya Watumiaji wa Mtandao wa WhatsApp. Uamuzi wa Mahakama umetokana na kubaini kuwa NSO ilikiuka Sheria za Mkataba wa Ulinzi wa...
Back
Top Bottom