Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,638
- 32,141
Huyu ni IGP wa Kenya akitoa usia kwa askari wake. Ametulia anaongea kirafiki na kwa kujiamini bila kutaka jikomba kwa wanasiasa. Akitoa wito wa Polisi kutumia akili.
Halafu pata muda msikilize IGP wa Tanzania. Unamwona tu akili hana, elimu hana na anawaza kumwaga damu all the time.
Halafu pata muda msikilize IGP wa Tanzania. Unamwona tu akili hana, elimu hana na anawaza kumwaga damu all the time.