wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Kama unaamini katika hiki.."Roho za uchawi...Roho za umasikini...Roho za mauti ...Mikosi na laana" jua wewe ni Gullible of the gullibles

    Wasalaam Kuna hawa watu hasa mama zetu,mtu anakosea au anafeli katika mazingira fulani ya kibinadamu kabisa mathalani kwa uzembe wake au uzembe unaosababishwa na wengine...badala ya kukimbilia uwajibikaji kumezuka neno Roho ya... Kwa mfano mtu ni mlevi,badala ya kumwambia kuwa ni mlevi na...
  2. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Wewe ni siri

    Tunza siri zako mwamba! ___________________ 1. Siri ni maisha wewe! Huna siri, huna maisha! 2. Ukiweza kujificha adui asikuone lakini wewe ukawa unamuona jua ushindi ni wako hata kama unasilaha dhaifu. 3. Kujificha ni moja ya kanuni za ushindi! Kitu kinachofichwa huitwa siri. Wengi...
  3. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Ipe maneno hii video hapa

  4. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Je wewe upo katika ipi ya hizi nne?

  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye Watoto Watatu halafu Wote ni Wezi na hawana mbele wala Nyuma na Mwanaume asiye na Mtoto kabisa Kwako Wewe nani hapa mwenye Afadhali?

    Na katika huu Uzi najikita tu zaidi Kusoma Maoni / Majibu yenu kwa huu Ubishani nimeukuta mahala na ninauleta Kwenu.
  6. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kama una kitambulisho cha NIDA na huna Passport ya Tanzania jua wewe ni mkaazi (Resident) wa Tanzania ila sio raia (Nationalist) wa Tanzania

    Wakati naahangaikia Passport ndio nimejua kuwa ukiwa na NIDA tu haitoshi kuwa raia wa Tanzania mpaka uwe na Passport ya Tanzania. Tafuteni passport aisee tunakosa mambo mengi sana yenye fursa.
  7. SweetyCandy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama wewe ni binti au kijana

    Umekuta mwanamke ana mume wake na wanandoa halali acha kuivuruga . Maana kwa sasa utaona sawa ila kwa baadae wewe na familia yako , mtakipata pata , mtapata kijitoto kingine kimteke mume wako na wewe utamani kujiua. Kama sasa unavyomfanyia mwenzako kwenye ndoa yake. Kuna mwanadada alikuwa ni...
  8. H

    JamiiForums Tanzania WAAFRIKA walio waislam na wakristo wooote ni MATAHAIRA

    Waafrika hao ndivyo walivyoelewa na siyo kwamba wao ndiyo wako sahihi kwa walivyoelewa hakuna Mwafrika mwenye akili aliye muislam au mkristo wote wanaoishi humo ni MATAHIRA kwani wanaishi kwa hofu ya moto kwa mambo ya kuhadithiwa na watu waliowatawala na wasiyokuwa na utu
  9. Knock life

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni kama mimi unawasiliana na watu wakubwa kama hivi ?.

  10. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Kuishi Dar haimaanishi wewe mjanja

    Hellow Kuna watu wana jiaminisha kuwa hawewezi kutapeliwa wala hakuna asichokijua kwasababu tu anaishi dar ni uongo Kuna watu wamezaliwa dar na wamekulia hapo ila wanatapeliwa kila siku na kuibiwa kijinga sana sasa wewe wa mkoa umeenda dar kwasababu tu ya kazi unajiona mjanja subiri...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC | Robo Fainali CAF CC | New Suez Stadium | 02.04.2025

    Mnyama Simba SC anaanzia ugenini Misri kwa kuvaana na Al Masry SC katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika. Mchezo huu unapigwa saa 1:00 usiku 🏟️ New Suez Stadium Kaa karibu kwa Live updates Vikosi vya timu zote (Team news) Mechi imeanza 4' Mashambulizi kwa...
  12. Atukuzwee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho ungekua wewe ni mimi ungeweza? nimeambatanisha na picha kama ushahidi

    Kuna watu ni wagumu saana kuelewa wanadai kwamba kisa changu nilicholeta ni cha uwongo mrejesho na ushilahidi huu hapa
  13. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tanzania Kama wewe Huli Nguruwe, USA Usiende

    watu hawataki kabisa kurudi makwao wakafuturu ila wanataka wakae USA tu waenjoy kisha Waandamane Sasa MWA-TRUMP kasema NO, utarudi kwenu, Wanalia hao Bye Bye, Uturuki inakuhitaji zaidi ila analilia USA, Kaandamanie Uturuki, ISRAELI IMEBARIKIWA, huwezi KUPAMBANA NA CCM ukashinda
  14. Tembosa

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani watu wanalifanya sana lakini wewe huwezi?

    Tuende sawa. Kuna baadhi ya mambo ni ya kawaida na yanafanyika kila siku lakini wewe huwezi au hujui namna yakufanya... Mfano mimi; 1. Zile ngazi mwendo(escalators)siwezi kuzitumia, na sizitumii hata iweje...Siwezi. 2. Kula wali /pilau na ndizi mbivu kwa wakati mmoja....Siwezi. 3. Kumsimamisha...
  15. Right Marker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dunia inazunguka, na wewe unazungukwa

    "Dunia inazunguka, na wewe unazungukwa" Muda huu rafiki yako wa shida na raha yupo kumsisitiza mpenzi wako kuwa jambo lao liwe siri wewe usijue. Kwasababu kama wewe utagundua.. ✓ Urafiki wenu utavunjika (wewe na rafiki yako wa shida na raha), ✓ Uhusiano wenu utavunjika (wewe na mpenzi wako wa...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa

    Habari Wakuu! Bila kupoteza wakati. 1. Unamwomba mpenzi/ Mkeo Ngono. Ukiona Mkeo au mpenzi wako anakupimia michezo ya kitandani na wewe unamwomba ujue wewe ni mwanaume uliyekata tamaa, usiye na lolote la maana, uliyekwisha. Mwanaume dhaifu. 2. Unatumia nguvu kubwa hasa ya pesa kumhudumia ili...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania JE, WEWE NI CHUMVI AU NI MAKAPI?

    Chumvi haihitaji kufanana na viungo vingine, wala haitoi harufu kama viungo vingine, lakini bila hiyo, supu haina ladha. Watu wenye kujitambua hawawezi kupigania nafasi, umaarufu, au mwonekano. Matokeo yao huongea kwao, si propaganda zao. Huhitaji kupaza sauti ili usikike, watu hukaa kimya...
  18. amshapopo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amini usiamini kuna wanawake wanatosheleza kila engo. Ni wewe na tamaa zako tu!

    Kiukweli kuna wanawake wanatosheleza kila kona mpaka unajiuliza huyu vipi? Ukiwa na hamu yupo radhi afanye afanyavyo urizike. Akijifungua hakuachi uwe na hamu utafute mwingine Akiwa P anajitahidi akuridhishe ili mradi uridhike Kiufipi anakuhudumia kila hali…… Je wapo wa dizaini hii? Tule...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Ni chakula gani watu wanakipenda lakini wewe hujawahi kukielewa kabisa?

    Naona sushi kinakuwa overrated lakini mimi sijawahi kukielewa kabisa pamoja na chapati za kusukuma kila mtu ana hype chapati maharage ila mimi sizielewi kabisa.
Back
Top Bottom