Wewe una mchepuko je nawewe ukijua hili utafanyaje

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
5,190
Reaction score
9,822
Ukija jua mkeo naye nimchepuko wa bossy wako unapofanyia kazi nayeye ndio alimtafutia kazi .

Umemzalisha mchepuko wako mtoto mmoja na mke anajua unamtoto njee maana bossy wako ndio msiri wako mkubwa utafanyaje??

Nahuwezi kumuambia bosy wako achane na mke wako maana anasiri zako kibao pia au utajiua wewe kuepuka aibu.
 
Mwanamke akiwa na mimi kuchepuka sio kosa kabisa , kidude ni chake hivyo wakumpa nani na wakati gani achague mwenyewe.
 
Mwanaume ameumbiwa tamaa. Kwahiyo ruksa kwa mwanaume kuwa na wanawake wenge aside main chick. Ndio maana kuna ndoa za mitaala yaani mwanaume uoe wanawake wengi. Ila mwanamke hawezi olewa na wanaume wengi ikiwa hivyo huyo anakuwa ni malaya.
 
Ukija jua mkeo naye nimchepuko wa bossy wako unapofanyia kazi nayeye ndio alimtafutia kazi .

Umemzalisha mchepuko wako mtoto mmoja na mke anajua unamtoto njee maana bossy wako ndio msiri wako mkubwa utafanyaje??

Nahuwezi kumuambia bosy wako achane na mke wako maana anasiri zako kibao pia au utajiua wewe kuepuka aibu.
Hahahh... Hii kali.
Mimi nina michepuko mitatu, mmoja ni mke wa mtu. Mke wangu hawezi kufahamu na hana mchepuko maana simu yake mda wote naitumia. Siku akiwa na mchepuko sijui nitamfanyeje, tutaachana siku hiyohiyo.
 
Ukija jua mkeo naye nimchepuko wa bossy wako unapofanyia kazi nayeye ndio alimtafutia kazi .

Umemzalisha mchepuko wako mtoto mmoja na mke anajua unamtoto njee maana bossy wako ndio msiri wako mkubwa utafanyaje??

Nahuwezi kumuambia bosy wako achane na mke wako maana anasiri zako kibao pia au utajiua wewe kuepuka aibu

Ukija jua mkeo naye nimchepuko wa bossy wako unapofanyia kazi nayeye ndio alimtafutia kazi .

Umemzalisha mchepuko wako mtoto mmoja na mke anajua unamtoto njee maana bossy wako ndio msiri wako mkubwa utafanyaje??

Nahuwezi kumuambia bosy wako achane na mke wako maana anasiri zako kibao pia au utajiua wewe kuepuka aibu.
Wewe mke ana umaa bhana haijarishi ni boss au nan hapo lazima iwe mbwai tu
 
Mwanaume ameumbiwa tamaa. Kwahiyo ruksa kwa mwanaume kuwa na wanawake wenge aside main chick. Ndio maana kuna ndoa za mitaala yaani mwanaume uoe wanawake wengi. Ila mwanamke hawezi olewa na wanaume wengi ikiwa hivyo huyo anakuwa ni malaya.
Mfumo jike huu
 
Shida kubwa watu wengi hawajui kama wao ni michepuko ya watu wengine.

Ukianza kuvua nguo kwa wanawake wasio wako, basi wewe ni mchepuko wa mtu mwingine
 
Wife kuwa na mchepuko ni juu yake ila nisijue.

Boss kujua Siri zangu zote wife kujua michepuko yangu yote ama Nina Watoto Nje sio sababu ya kumfanya afanye uzinzi Hadi nijue.

Kwa namna hiyo haijarishi kazi alinitafutia yeye haijarishi kazi nitapoteza ama vipi ndoa itaishia hapo hapo pia Kwa sababu boss alifanya hayo Kwa sababu ana Siri zangu basi nikiacha kazi nitahakikisha amekua kilema si Kwa sababu eti alichepuka na mke wangu tu Bali Kwa sababu anadharau na aliona sutamfanya kitu. Uboss wake ni huko ofisini uraiani atafirimbwa tu
 
Back
Top Bottom