wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, Shujaa Magufuli angekubali kula wali wenye virutubisho!?

    Mama kaenda Marekani kaja na wali wenye virutubisho, Tanzania yenye ardhi yenye rutuba asilimia 80 mvua inayonyesha na maji yanayotiririka masaa 24, Tanzania yenye amani isiyo na vita, Tanzania ilitolelewa kijamaa iliyolima mashamba ya Ujamaa kuvuna mavuno ya kutosheleza, leo tumefanywa kama...
  2. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wenye mamlaka ya kuajiri

    Mdau anasema, tafadhali Sana usialike watafutaji wa kazi kwenye usaili Kama ulipanga kuitoa nafasi hiyo ya kazi kwa ndugu jamaa au marafiki. Wapo wanaokuja katika usaili kwa Nauli za kuazima Tena kwa umbali mrefu😭 imenihuzunisha Sana.
  3. JamiiForums Tanzania Club ya vijana wenye tabia njema

    Kama wewe 1. Unamuamini Mungu 2. Unafanya kazi ya halali na kwa bidii kupata riziki 3. Huna imani za kichawi na kishirikina 4. Sio mlevi wa pombe au sigara 5. Umeoa au kualewa na unaiheshimu ndoa yako 6. Unasaidia wenye shida kadri ya uwezo wako 7. Huna husda wala majungu 8. Unajitahidi...
  4. JamiiForums Tanzania Pambano: Nchi gani iko juu kwa wanawake wenye mpindo mzuri ama miili mizuri yenye makalio ya viwango kati ya Wanyarwanda na Waganda?

    Katika hili pambano mimi binafsi kusema ule ukweli nikiangalia ukanda wa maziwa makuu hapa Afrika Mashariki, kwa ujumla inapokuja swala la shepu hasa mpindo mzuri wa makalio ama Matrakoo Wanyarwanda hadi sasa wanaongoza kwa mbali sana, japo hawajazagaa sana huko Dubai na Arabuni ila hawa viumbe...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa ile dialogue ya TCD, tuna watu wenye fikra zenye walakini

    Nikifikiri Taifa lilivyo na issues complex kwa huu utawala wa sasa TCD wanakuja na dialogue ya kuwabebea ma bag mabwanyenye ili kupata uongozi ndani ya nchi ni dhahri kuwa tuna jamii iliyokuwa na thinking zilizo na mashaka. binafsi nadhani uongozi wa nchi umeua Elimu tunayoihitaji kama jamii...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni walimu pekee ndio watumishi wenye kero ya kuhitaji madaraja mserereko?

    Salam wana JF! Kuna sintofahamu kubwa imeibuka miongoni mwa watumishi wa umma hasa wale wa kada zingine tofauti na walimu. Hii ni kutokana na namna serikali inavyoonyesha ubaguzi katika kushughulikia kero za walimu dhidi ya kero za watumishi wengine, Mfano kwa miaka miwili mfululizo sererikali...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kama wanawake wanapenda wanaume wenye hela, kwanini wenye nazo ndo wanaongoza kuchapiwa?

    Habari zenu wakubwa, Mada nyingi humu mnasapoti pesa ndo kinasio cha kuwanasa wanawake lakini ukiangalia wenye nazo ndo wanasalitiwa sana,unakuta mwanamke kaolewa na tajiri baada ya mda anaanzisha vurumai wagawane mali asepe aende kwa mwanaume wake kapuku,stori za wake za watu kuzaa na...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Anayefahamu tiba ya huu utando utando kwenye ngozi za watoto

    Kuna hii hali ya vidoa vilivyopauka kutokea kwenye ngozi ya mtoto. Naomba mwenye ufahamu wa tiba yake ya asili au ya hospitalini maana tuneshatumia dawa unaenda na kurudi.
  9. JamiiForums Tanzania Tujipange kugawana hao Mapacha wa Chuo cha Ardhi wenye skendo ya kufanyiana Sup ya Hydrology

    Kwa haraka haraka kifuatacho ni majanga kama ya ujane na watoto. Nashauri baharia wote tukae mkao wa kula tugawane hizo toto's. Hio inaitwa wamrambee, wamnyonyoee, hawavumi ila wako Ardhi. Ndio hivyo tu Wadiz
  10. JamiiForums Tanzania Kama nyama ni ilele, kwanini wanawake wengi hupenda wanaume wenye uume mkubwa?

    Kina dada naombeni jibu. Lady , To yeye, Madame B, Miss Angel ,FaizaFoxy, Money Penny
  11. B

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Dido, Female Future Program wawawezesha wanafunzi wenye mazingira magumu Mtwara

    Mtwara. Kwa kutambua ugumu unaowakabili baadhi ya wanafunzi kukidhi mahitaji yao muhimu, taasisi ya Dido Mwanafunzi Initiative (DMI) kwa kushirikiana na Female Future Program Cohort 9 imetoa msaada wa sare za shule, madaftari na viatu kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari mkoani Mtwara...
  12. JamiiForums Tanzania Upinzani wa kimpira wa Yanga na Simba ni wenye manufaa na wakuigwa

    Bila kupoteza muda, nazipongeza timu zetu Yanga na Simba kwa kuingia kwenye hatua muhimu ya robo fainali Kimsingi, timu hizi zimeonesha uwezo mkubwa na hayo yote yanachangiwa na upinzani na utani wa jadi uliopo baina ya timu hizi mbili Hakika, kwa sasa hizi ndiyo timu zakuigwa ndani ya Africa...
  13. JamiiForums Tanzania Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi alizaliwa Kivule, Alifikaje Zanzibar?

    Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi kumbe alizaliwa Kivule Mkuranga Mkoani Pwani kutoka kwa Baba yake ambaye Kiasili anatokea Tanzania Bara ila alimpeleka tu Kisiwani Zanzibar ili akapate Elimu sahihi ya Dini ya Kiislamu inakuwaje Maamuzi ya Maziko yake yafanyike Kesho Ugenini...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Israel yaua wapalestina 100 wanaosubiri msaada wa chakula

    Kama kawaida yao, ukishazoea kuua utaendelea kuua tu. Wale wanaoitwa Taifa teule wameendelea na kazi yao ya kufanya wanachoweza kwa ufanisi mkubwa. Leo wameua wapalestina masikini 100, wasio na silaha, ambao wana njaa wakati wakisubiri msaada wa chakula. Wanajeshi wa Israel limefyatulia kundi...
  15. JamiiForums Tanzania 10 bora ya WanaCCM wanaokifanyia chama kazi kubwa hapa JF

    Wafuatao wanastahili maua yao kwa kazi kubwa ya kukipigania CCM hapa JF. Hawa ni legends wa Chama kilichobeba matumaini ya watamzania wote yaani CCM. Wamefanya kazi kubwa ya kukieneza chama JF kwenye upinzani mkali. 1. Lizaboni 2. Bia yetu 4. Lucas mwashambwa 3. MamaSamia2025 4. USSR 5. Etwege...
  16. JamiiForums Tanzania Simu aina ya Samsung nimeidharau sana. Wenye infinix bakini nazo nafuu

    Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana. App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi. Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

    Umoja wa Watoa Huduma Sekta ya Binafsi APHTA, Mashirika ya Dini (CSSC), na Bakwata wanapenda kutaarifu umma kuwa mazungumzo yaliyokuwa yakifanyika baina ya umoja huo na Wizara ya Afya. Kamati ya Waziri na NHIF yameshindwa kupata muafaka katika suala zima la kitita cha bei mpya zilizopendekezwa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania China yapendekeza ukarabati wa reli ya TAZARA wenye thamani ya dola za Marekani bilioni moja

    Katika hali ya kufurahisha na kufufua matumaini, hivi karibuni balozi wa China nchini Zambia Bw. Du Xiaohui alimwambia waziri wa uchukuzi wa Zambia Bw. Frank Tayali, kuwa serikali ya China inapanga kutumia dola bilioni 1 za kimarekani kuifanyia ukarabati reli ya TAZARA, inayounganisha eneo la...
  19. JamiiForums Tanzania Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

    Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya watu wenye akili na yaliyoendelea. Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu mazuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa online wenzangu mnaelewa jinsi ilivyo kazi kumpata mteja 😭

    Hii ya leo imeniuma Sana hadi nimelia..... Kuna watu wanaroho mbaya Sana. Wafaanya biashara wa online wenzangu mnaelewa jinsi ilivyo kazi kumpata mteja 😭😭 Bas mwenzenu Mimi nafanya biashara online, Sina bidhaa Ila nikipta mteja baada ya kupost ndo nikamchukulie. Sasa pale kariakoo nimewazoea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…