Club ya vijana wenye tabia njema

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,434
5,095
Kama wewe
1. Unamuamini Mungu
2. Unafanya kazi ya halali na kwa bidii kupata riziki
3. Huna imani za kichawi na kishirikina
4. Sio mlevi wa pombe au sigara
5. Umeoa au kualewa na unaiheshimu ndoa yako
6. Unasaidia wenye shida kadri ya uwezo wako
7. Huna husda wala majungu
8. Unajitahidi kujielimisha na kufahamu mambo mbalimbali
9. Unaheshimu wengine na tofauti zao

Basi we sio mshamba, you are an ideal person .

Kwa pamoja tupige vijana wahuni kama wazifu, walevi, wachepukaji, washirikina, waizi na wala rushwa, wenye kiburi na jeuri n.k
 
Ndugu haya yatoka moyoni au kinywani mwako tu,kwani hicho chaweza kuwa kichaka chakujifichia tuu🤣
 
hii ni kwa mujibu wako, dhambi na mengine yanayohesabika ni mabaya yanakuwa mabaya kulingana na mtazamo wako, kama dhamiri haikuhukumu na ukifanyacho hakuna ubaya.
 
No.4 nimeifanyia research na dissertation 😊
Hence
There are bad drunkers / smokers & there are good drunkers/ smokers
 
Back
Top Bottom