wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Uhuru Day: Tuliposahau Hadhira ilikuwa pia na Wageni Waalikwa

    Kupiga hatua ni pamoja na kujifunza kutokana na makosa. Kwa kuangalia tukio la jana, umuhimu wa kuwa na moderators (@mods) unaonekana wazi. Pana haja ya kuwaandaa moderators katika hadhira kutegemeana na wageni waalikwa. Kwa kweli kubeza majanga ya Nzige wakati waathirika wapo kulikuwa...
  2. Kuna mambo watu wanayapitia ili wengine wajifunze

    Nimeiona hii kitu mahali, inaweza kuwafunza wengine humu. Na. Irene Mbowe Wasichana mlio kwenye Ndoa natamani sana mambo yafuatayo muyaishi na kuyazingatia; Jitahidini kuwaheshimu waume zenu ili Ndoa ziwe na Amani na Furaha. Unajua wengi mnasemaga, ‘Maisha...
  3. N

    Mawaziri waliosimama kama Mawaziri awamu ya Sita, Wengine hamna kitu kabisa

    Ukweli kabisa kwangu mimi ni mawaili tu mpaka sasa! Mohamedi Mchengerwa na Geofrey Mwambe. Hawa wamezishika nafasi zao kwa kujiamini na wanaendasha kazi za Uwaziri kama ipasavyo. Mohamed Mchengerewa mpaka nimeanza kumfikia come 2030 akae pale juu. Huyu bwana anajitambua sana. Mwambe anajua...
  4. Ni kweli Twitter imefunga account za watu wengine Tanzania?

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Sergey Ryabkov akisisitiza hitaji la Rais Putin na Kiongozi Mkuu wa Kisoshalisti Joe Biden kufanya mazungumzo ya dharura, naye akisema: “Mawasiliano yanahitajika sana, tuna matatizo yanayoongezeka...Hakuna maendeleo katika masuala ya nchi mbili, ambayo yanazidi na...
  5. Raia Mwema: Makonda Kibarua kizito, wengine wajitokeza kumshitaki

    Gazeti la Raia Mwema limeripoti kuwa watu wengine wamejitokeza kumshitaki aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Mfanyabiashara mmoja amenukuliwa na gazeti hilo akisema "Makonda ametufanyia mambo mengi kinyume na sheria za nchi. Kuna wakati baadhi yetu, tulijaribu kumshitaki...
  6. T

    Watu huchochea watu wengine watende mambo mabaya

    Unaweza kua mtu mwema, unafanya mambo yako vizuri, unafurahia maisha lakini mtu ama watu wakasababisha ukafikiria kufanya kitu ambacho hujawahi kukifikiria. Watu wanaweza kusababisha mtu ufikirie kutenda mambo mabaya sana kwenye maisha yao. Kuna mtu nilifanya nae kazi, nikamfanyia kazi yake...
  7. Mapara A Jazz yawezekana wakawa cheap zaidi kulinganisha na wasanii wengine maarufu kutoka South Africa?

    Wakali wa hit Amapiano ya John vuli gate (Mapara A Jazz) kwa mtazamo wa kiutafiti yawezekana wakawa ndio kundi cheap na rahisi kupatikana compared na makundi yenye mfanano na wao kutoka bondeni kwa Madiba. Thamani ya vitu au watu upimwa kwa Sifa mbalimbali ila kubwa ni upekee na upatikanaji...
  8. R

    Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

    Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla. Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote...
  9. Matatizo ya Traffic Barabarani wanapanga njama na madereva bodaboda na raia wengine kukamatisha watu

    Hivi matraffic mnaokaa barabarani kuvizia makosa huwa mnawaza nini kupanga watu wa kuwasaidia kuwakamatisha madereva, yaani scenario ziko hivi: unaweza ukawa unatembea kwenye kimteremko barabarani, alafu mbele unaona kuna dereva bodaboda kama anasua sua kwenda ili mradi tu umkwepe alafu mbele...
  10. Hivi kwanini upulizie pafyumu nyingi hadi ukiwa umbali wa mita 100 wengine waisikie?

    Tuache ushamba aisee. Puliza pafyumu au body spray inayokufaa wewe wewe peke yako within your own perimeters aisee. Inakera sana. Uzi tayari.
  11. Naomba kuuliza: Hivi kwanini Walimu hupanda Madaraja bila kusoma ilhali Watumishi wengine wa Umma hawapandishwi?

    Wapo Watumishi wasiopanda Vyeo wakiambiwa hawajasoma Kozi Fulani kwa miaka 20 tangu waajiriwe. Wanafanya kazi kwa Ufanisi wanajaza OPRAs lakini hakuna cheo wala Kuongezwa Mshahara. Huwa wanahusishwa tuu kwenye Scheme of Service zikifanyiwa marekebisho. Hivi Utumishi hawaoni haja ya kuhoji...
  12. Waziri Mchengerwa ukimsikiliza anaonesha utofauti mkubwa na wengine kimtazamo wa 'kifenotipia' ila hatujui kuhusu 'Jenotipia' yake

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Waziri huyu kwa mara ya kwanza nilimfahamu pale alipoleta hoja Bungeni akitaka kujua kwanini mradi wa Umeme wa Mwl Nyerere Rufiji (JNHPP) utakaotoa ajira ya zaidi 7,000 na serikali kuwekeza zaidi ya TZS 6.55trilioni unafanyika katika Wilaya ambayo haina hata benki...
  13. Tuendelee kujifunza kwa wengine

    10 months into the COVID-19 mass vaccination campaigns in the UK, statistics provided by the UK’s Health Security Agency now clearly show that those who have been fully vaccinated are suffering far worse health and are susceptible to infections at greater rates than the unvaccinated. Maana...
  14. HESLB: Awamu ya pili 7,364 wapangiwa mikopo; wengine watapangiwa Oktoba 25

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Ijumaa, Oktoba 22, 2021) orodha ya awamu ya pili yenye wanafunzi 7,364 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 19.4 Bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo. Mkurugenzi Mtendaji...
  15. Sabaya amekuwa mfano mzuri wa wanaojifanya kutumwa na mamlaka za juu. Wengine kaeni mguu sawa

    Utetezi pekee alioweza kuutoa mahakamani kijana wetu Sabaya ni kuwa alitumwa na hata aliyekua makamu wa raisi (Na sasa ni raisi) alikua akifahamu. Hii ina maana Sabaya alikubali kufanya matendo yote yake aliyoshitakiwa nayo. Kama Sabaya amepigwa mvua mchana kweupe tena mbele ya waliokua...
  16. Wengine hatumpendi Mungu tunajilazimisha tu

    Wengine hatuna tu option kulingana na vitisho tulivyopandizwa tangu utotoni ila huyu Mungu hatumpendi haswa
  17. Captain Mbwana Samatta nakuomba tusamehe Watanzania, Taifa Stars ikifungwa mbaya Wewe ila ikishinda Sifa wanapewa Wengine

    Najua unavyoumia Mdogo wangu ila GENTAMYCINE nasema Watanzania tutakutusi, kukashifu na kukuona huna lolote ila hapo hapo ulipo tambua kuwa Wewe ndiyo Shujaa yetu namba Moja ndani ya Kikosi cha Timu ya Taifa Tanzania ya Taifa Stars. Najua kuwa Taifa Stars ikifungwa basi Sisi Waswahili...
  18. Mtu mmoja akiwa bilionea, watu elfu moja huwa masikini

    Utajiri ni hali ya kuwa na mali au pesa nyingi . Mara nyingi utajiri hupimwa kwa wingi wa pesa alizonazo mtu mfano , kiwango kikianzia milioni 100 mtu huyo huitwa milionea, kikianzia milioni 1000 mtu huyo huitwa bilionea, Mtu mwenye utajiri huitwa TAJIRI na mtu asiye na utajiri (mali au pesa...
  19. Rais, Mawaziri, Wabunge wa maafisa/watumishi wengine wa Serikali hawalipi kodi lakini ndiyo wanapangia wengine kiasi cha kodi cha kulipa

    Salama. Huwa viongozi na watumishi wa serikali wakijinasibu kuwa wanalipa kodi, lakini kilogic watu hawa hawalipi kodi hata kidogo, badala yake ni watumia kodi. Wataalamu waliochunguza swala hili walikuja na mfano ufuatao. Ikitokea nchi ikakusanya kodi sifuri, basi kuanzia Rais, Waziri...
  20. Naomba Kujulishwa Kuhusu wale watuhumiwa wengine kesi ya akina Mbowe

    Kwa Mujibu wa Taarifu Tulizopata ni kwamba waliokua wametuhumiwa na Mheshimiwa Mbowe katika kesi ya Ugaidi walishahukumiwa na wameanza kutumikia kifungo? Iweje leo wamerudishwa mahakamani? Au walikata rufaa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…