Wakali wa hit Amapiano ya John vuli gate (Mapara A Jazz) kwa mtazamo wa kiutafiti yawezekana wakawa ndio kundi cheap na rahisi kupatikana compared na makundi yenye mfanano na wao kutoka bondeni kwa Madiba.
Thamani ya vitu au watu upimwa kwa Sifa mbalimbali ila kubwa ni upekee na upatikanaji...
Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.
Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote...
Hivi matraffic mnaokaa barabarani kuvizia makosa huwa mnawaza nini kupanga watu wa kuwasaidia kuwakamatisha madereva, yaani scenario ziko hivi: unaweza ukawa unatembea kwenye kimteremko barabarani, alafu mbele unaona kuna dereva bodaboda kama anasua sua kwenda ili mradi tu umkwepe alafu mbele...
Wapo Watumishi wasiopanda Vyeo wakiambiwa hawajasoma Kozi Fulani kwa miaka 20 tangu waajiriwe. Wanafanya kazi kwa Ufanisi wanajaza OPRAs lakini hakuna cheo wala Kuongezwa Mshahara.
Huwa wanahusishwa tuu kwenye Scheme of Service zikifanyiwa marekebisho. Hivi Utumishi hawaoni haja ya kuhoji...
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Waziri huyu kwa mara ya kwanza nilimfahamu pale alipoleta hoja Bungeni akitaka kujua kwanini mradi wa Umeme wa Mwl Nyerere Rufiji (JNHPP) utakaotoa ajira ya zaidi 7,000 na serikali kuwekeza zaidi ya TZS 6.55trilioni unafanyika katika Wilaya ambayo haina hata benki...
10 months into the COVID-19 mass vaccination campaigns in the UK, statistics provided by the UK’s Health Security Agency now clearly show that those who have been fully vaccinated are suffering far worse health and are susceptible to infections at greater rates than the unvaccinated.
Maana...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Ijumaa, Oktoba 22, 2021) orodha ya awamu ya pili yenye wanafunzi 7,364 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 19.4 Bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo.
Mkurugenzi Mtendaji...
Utetezi pekee alioweza kuutoa mahakamani kijana wetu Sabaya ni kuwa alitumwa na hata aliyekua makamu wa raisi (Na sasa ni raisi) alikua akifahamu. Hii ina maana Sabaya alikubali kufanya matendo yote yake aliyoshitakiwa nayo.
Kama Sabaya amepigwa mvua mchana kweupe tena mbele ya waliokua...
Najua unavyoumia Mdogo wangu ila GENTAMYCINE nasema Watanzania tutakutusi, kukashifu na kukuona huna lolote ila hapo hapo ulipo tambua kuwa Wewe ndiyo Shujaa yetu namba Moja ndani ya Kikosi cha Timu ya Taifa Tanzania ya Taifa Stars.
Najua kuwa Taifa Stars ikifungwa basi Sisi Waswahili...
Utajiri ni hali ya kuwa na mali au pesa nyingi . Mara nyingi utajiri hupimwa kwa wingi wa pesa alizonazo mtu mfano , kiwango kikianzia milioni 100 mtu huyo huitwa milionea, kikianzia milioni 1000 mtu huyo huitwa bilionea, Mtu mwenye utajiri huitwa TAJIRI na mtu asiye na utajiri (mali au pesa...
Salama.
Huwa viongozi na watumishi wa serikali wakijinasibu kuwa wanalipa kodi, lakini kilogic watu hawa hawalipi kodi hata kidogo, badala yake ni watumia kodi.
Wataalamu waliochunguza swala hili walikuja na mfano ufuatao. Ikitokea nchi ikakusanya kodi sifuri, basi kuanzia Rais, Waziri...
Kwa Mujibu wa Taarifu Tulizopata ni kwamba waliokua wametuhumiwa na Mheshimiwa Mbowe katika kesi ya Ugaidi walishahukumiwa na wameanza kutumikia kifungo?
Iweje leo wamerudishwa mahakamani? Au walikata rufaa?
Hili ndio swali ninalojiuliza kuhusu taratibu na hatua za kufuata katika kuandaa hukumu na mpaka kuja kuisoma mahakamani.
Binafsi natarajia iwe ni siri ya Hakimu,Jaji au Jopo la Majaji husika vinginevyo inakuwa si sahihi.
Swali lingine ninalojiuliza ni je, Hakimu au Jaji baada ya kusikiliza...
Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani.
Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000.
Ameendelea kudai...
Wajawazito katika Kata ya Kalela Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wanapeana zamu kupanda kitandani kujifungua na wengine kulazwa chini kutokana na Zahanati ya Kalela kuwa na chumba kimoja cha wodi ya wazazi chenye kitanda kimoja.
Chanzo: Nipashe
Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa!
Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana...
Sio lazima uwe unatembea nao kingono, ila at any time T hakikisha una wanawake angalau watatu warembo "standby", ambao una mawasiliano nao ya karibu. Ukiweza kuwa unawatafuna ni added advantage.
Hii itakusaidia sana kudumisha mahusiano yako ya SASA kwa njia zifuatazo:
1. Itakujengea komfidens...
Hukuongezea Maarifa
Kufundisha wengine ni njia bora ya kuongeza Maarifa yako kwasababu utahitajika kujiandaa kwa kusoma na kujifunza mambo mbalimbali ili uweze kufundisha vyema
Huwezesha kujitathmini
Njia bora ya kujitathimini ni kwa kufundisha wengine kile unachokijua kisha uwaruhusu wakupe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.