Mimi ni katika watu waliosikitishwa sana na kesi ya ugadi aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. Hii inaonesha suala la haki za raia lina mushkili sana. Fikiria kama inaweza kufanyika hivi kwa mtu mkubwa kama Mbowe, vipi hali zetu sisi wa kawaida?
Hata hivyo, wakati tukishinikiza...
Faida yake kubwa ni kuwa haina riba, tofauti na mkopo wa benki. Unafundisha nidhamu ya kuweka pesa. Ni watu wengi wanaucheza katika viwango tofauti.
Kuna wapika maandazi na vitumbua, au wenye biashara ndogo ndogo, huwekeana kiasi cha kukusanya kila siku, wengi hukusanya faida ya siku. Hii...
Unapata kipato chako mfano laki tano kwa mwezi, mtu anakuambia pesa yako hii bila kujua unawalipa watu wengine wewe hujilipi, swali la kujiuliza kwani hii laki tano si ya kwangu najilipaje sasa wakati laki tano hii ni yangu?
Ni kweli yako lakini sasa katika laki tano mfano utagawa mahesabu kama...
Kuruka kwa miavuli ni ngumu sana na inahitaji ustadi na ueledi wa hali ya juu. Wanajeshi hawa wamepata mafunzo ya hali ya juu ili kuweza kuruka kwa miavuli na kunyemelea adui nyakati za usiku. Hawa hawafungwi na kamba na kuvurutwa na helicopter kama watu wengine.
Kupiga hatua ni pamoja na kujifunza kutokana na makosa.
Kwa kuangalia tukio la jana, umuhimu wa kuwa na moderators (@mods) unaonekana wazi.
Pana haja ya kuwaandaa moderators katika hadhira kutegemeana na wageni waalikwa.
Kwa kweli kubeza majanga ya Nzige wakati waathirika wapo kulikuwa...
Nimeiona hii kitu mahali, inaweza kuwafunza wengine humu.
Na. Irene Mbowe
Wasichana mlio kwenye Ndoa natamani sana mambo yafuatayo muyaishi na kuyazingatia;
Jitahidini kuwaheshimu waume zenu ili Ndoa ziwe na Amani na Furaha.
Unajua wengi mnasemaga, ‘Maisha...
Ukweli kabisa kwangu mimi ni mawaili tu mpaka sasa!
Mohamedi Mchengerwa na Geofrey Mwambe.
Hawa wamezishika nafasi zao kwa kujiamini na wanaendasha kazi za Uwaziri kama ipasavyo.
Mohamed Mchengerewa mpaka nimeanza kumfikia come 2030 akae pale juu. Huyu bwana anajitambua sana. Mwambe anajua...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Sergey Ryabkov akisisitiza hitaji la Rais Putin na Kiongozi Mkuu wa Kisoshalisti Joe Biden kufanya mazungumzo ya dharura, naye akisema: “Mawasiliano yanahitajika sana, tuna matatizo yanayoongezeka...Hakuna maendeleo katika masuala ya nchi mbili, ambayo yanazidi na...
Gazeti la Raia Mwema limeripoti kuwa watu wengine wamejitokeza kumshitaki aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Mfanyabiashara mmoja amenukuliwa na gazeti hilo akisema "Makonda ametufanyia mambo mengi kinyume na sheria za nchi.
Kuna wakati baadhi yetu, tulijaribu kumshitaki...
Unaweza kua mtu mwema, unafanya mambo yako vizuri, unafurahia maisha lakini mtu ama watu wakasababisha ukafikiria kufanya kitu ambacho hujawahi kukifikiria.
Watu wanaweza kusababisha mtu ufikirie kutenda mambo mabaya sana kwenye maisha yao.
Kuna mtu nilifanya nae kazi, nikamfanyia kazi yake...
Wakali wa hit Amapiano ya John vuli gate (Mapara A Jazz) kwa mtazamo wa kiutafiti yawezekana wakawa ndio kundi cheap na rahisi kupatikana compared na makundi yenye mfanano na wao kutoka bondeni kwa Madiba.
Thamani ya vitu au watu upimwa kwa Sifa mbalimbali ila kubwa ni upekee na upatikanaji...
Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.
Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote...
Hivi matraffic mnaokaa barabarani kuvizia makosa huwa mnawaza nini kupanga watu wa kuwasaidia kuwakamatisha madereva, yaani scenario ziko hivi: unaweza ukawa unatembea kwenye kimteremko barabarani, alafu mbele unaona kuna dereva bodaboda kama anasua sua kwenda ili mradi tu umkwepe alafu mbele...
Wapo Watumishi wasiopanda Vyeo wakiambiwa hawajasoma Kozi Fulani kwa miaka 20 tangu waajiriwe. Wanafanya kazi kwa Ufanisi wanajaza OPRAs lakini hakuna cheo wala Kuongezwa Mshahara.
Huwa wanahusishwa tuu kwenye Scheme of Service zikifanyiwa marekebisho. Hivi Utumishi hawaoni haja ya kuhoji...
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Waziri huyu kwa mara ya kwanza nilimfahamu pale alipoleta hoja Bungeni akitaka kujua kwanini mradi wa Umeme wa Mwl Nyerere Rufiji (JNHPP) utakaotoa ajira ya zaidi 7,000 na serikali kuwekeza zaidi ya TZS 6.55trilioni unafanyika katika Wilaya ambayo haina hata benki...
10 months into the COVID-19 mass vaccination campaigns in the UK, statistics provided by the UK’s Health Security Agency now clearly show that those who have been fully vaccinated are suffering far worse health and are susceptible to infections at greater rates than the unvaccinated.
Maana...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Ijumaa, Oktoba 22, 2021) orodha ya awamu ya pili yenye wanafunzi 7,364 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 19.4 Bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo.
Mkurugenzi Mtendaji...
Utetezi pekee alioweza kuutoa mahakamani kijana wetu Sabaya ni kuwa alitumwa na hata aliyekua makamu wa raisi (Na sasa ni raisi) alikua akifahamu. Hii ina maana Sabaya alikubali kufanya matendo yote yake aliyoshitakiwa nayo.
Kama Sabaya amepigwa mvua mchana kweupe tena mbele ya waliokua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.