wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wasiojulikana wazidi kuua, miili ya wawili yapatikana, idadi ya waliouawa wafikia 29

    Miili miwili kati ya mitatu ya watu iliyopatikana juzi Ijumaa ilikutwa ikielea katika Mto Yala Nchini Kenya. Mmoja ulikutwa umetobolewa macho huku ukiwa umekunjwa na kitambaa katika mdomo, mwingine ukiwa umezungushiwa nailoni juu ya kichwa na kufunika uso. OCPD Charles Chacha wa Yala...
  2. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kumbe hata TANROADS alianzisha Mkapa, sasa wengine walifanya nini miaka 10 Ikulu ?

    Kuanzia TRA kumbe mpaka TANROADS ni Mzee Mkapa ( RIP) alianzisha, sasa wengine miaka 10 walikuwa wanafanya nini Ikulu ? Angalau Mzee Mwinyi miaka 10 alipiga kazi pia, alifanya mengi sana ukichukulia ukweli kwamba aliongoza nchi kipindi kigumu sana cha mageuzi ila 2005-2015 ni lost decade...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kiume naye ni Binadamu kama wengine, acha kumkataza kulia anapokuwa na maumivu

    Mtoto wa kiume anakuwa na hisia kwa namna yeyote vile kama binaadamu wengine. Ni vile wewe mzazi unamsaidia mtoto wako kukua kwa namna ambayo utamsaidia na kumuongoza. Mtoto wa kiume anastahili kuogopa na hata kulia. Mzazi acha kumkataza mtoto wako wa kiume kulia maana tuna tabia ya kuwaambia...
  4. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninamkumbuka mwanamke niliyeachananaye japokuwa nilishaoa tayari

    Habari za leo Wana JF, Nilishawahi kuwa na uhusiano na mwanamke kwa miaka mitatu, tukaachana ni mwaka sasa mi nishaoa na yeye inasemekana kashaolewa, kiukweli. Yule kiumbe amegoma kutoka kichwani kila mara namuota tunasex na mambo mengi kadha wakadha. Pia, kinachochangia kumkumbuka ni kuwa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Licha ya kwamba nami nashangaa kama wengine lakini namuamini Rais Samia

    Siku za karibuni watanzania wamekuwa wakishangazwa na yanayoendelea, ni kama walikuwa kwenye usingizi mzito wasijue ni nini kinachoendelea lakini kadiri usingizi unavyoisha ndivyo wanabaki kufurahi. Baadhi ya vitu vinavyoshangaza na vimekuwa kama ndoto ya kutisha ni kama: I) Iliwezekanaje...
  6. my name is my name

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wengine hawana hata sifa za kupendwa

    Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu. Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu...
  7. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Msumbiji: Rais Felipe Nyusi amfukuza kazi Waziri Mkuu, ateua mwingine

    Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amemteua Adriano Afonso Maleiane kuwa Waziri Mkuu mpya wa taifa hilo ikiwa ni muda mfupi baada ya kumfukuza kazi aliyekuwa akishika nafasi hiyo, Carlos Agostinho do Rosário. Maamuzi hayo ya uteuzi yameenda pamoja na uteuzi mpya wa mawaziri kadhaa akiwemo Waziri wa...
  8. Ophonso

    JamiiForums Tanzania Mdomo umewaponza kwa kuwashutumu wengine wanatoa kafara ndugu zao

    Hakuna kitu kibaya sana kama ulimi. Usipouchunga ulimi wako utakuletea aibu, madhara kwako na kwa wengine. Hii familia imekuwa inaropoka sana wengine wakipoteza wapendwa wao tena katika mazingira ya kawaida tu ya kifo kama ajali au magonjwa. Utasikia tu eti Wamemtoa Kafara. Mtu kafa kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Marekani: Wakati Marekani ikishinikiza wengine kuitenga Urusi kiuchumi, yenyewe haiko tayari kuitenga Urusi maeneo inayofaidika nayo

    Marekani ni mnunuaji mkubwa sana wa mafuta yasiyosafishwa toka Urusi!! Hilo ni eneo nyeti sana kwake kiuchuni. Jana katika hotuba yake muhimu kwa Taifa, mataifa ya ulaya yalitegemea Biden kutangaza kususia ununuaji wa mafuta toka Urusi, na kwa mshangao wao hakugusia kabisa jambo hilo. Hata...
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui ni mimi tu au kuna wengine pia?

    Jamani mimi hata mwanamke awe mzuri namna gani, kama anachonga/ananyoa/anapunguza nyusi lazima anishinde. Sipendi kuona nyusi za mwanamke zimechongwa. Yaani niko tayari kumvumilia mwanamke mchafu, mvaa mawigi, muweka mikope ili mradi tu hachongi nyusi. Siku hizi najitahidi sana ninapozungumza...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Deep thinking: Utu wako uujuao wewe ni tofauti na matoleo tofauti ya utu wako katika fikra za watu wengine. Ujifikiriavyo sivyo uonwavyo!

    Maisha ya mtu yeye pekee ndie anaeweza kucheki muvi nzima ya Maisha yake kuanzia kumbukumbu, tabia, siri, fikra, hisia, mahusiano, mwili, udhaifu, anachopenda, n.k. katika muvi hio watu wataaambulia clips za hio muvi ama picha mnatona screenshots zitazojenga toleo lako la lengine katika fikra...
  12. Stroke

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya Ukabila ni Mbaya tumeanza na Wamasai wengine Watafuata

    Miaka 61 baada ya kuwa na Tanganyika huru leo tunashuhudia kampeni kubwa na ya aina yake katika taasisi mbali mbali hapa nchini ya kuwataka wamasai ambao wamekuwa wakiishi katika maeneo hayo kwa zaidi ya miaka 60 kutakiwa kuya hama makazi yao ambayo vizazi na vizazi wamekua wakiita nyumbani...
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi hayako Fair. Wakati mpenzi wa Zamaradi kawekwa kwenye bango la mil. 6, wengine hata kwenye phonebook hampo

    Watu wanapendwa asikwambie mtu, lakini wewe unatendwa na kupondwa. Wanaumeeeeee! Mpo? Mwenzenu anapendwa mpaka anawekwa kwenye bango lakini wengine hata kwenye phonebook hampo ama mme-seviwa kwa jina la "Guruwe ama Nguruwe" Mapenzi kizunguzungu hata kwa wanawake maana wapo wanaohongwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Napingana na Mahakama kuzungumza na Mbowe peke yake bila watuhumiwa wengine, watuhumiwa watatu wanatetewa na Mbowe Kwenye Haki yao ya Kula?

    Askari ma gereza wamemfuata FREEMAN Mbowe, anahitajika ofisini kwa Jaji katika kikao cha pamoja na mawakili wa pande zote (serikali na utetezi), Washtakiwa wengine watatu bado wamebakia kizimbani. Hapa Kuna utata na mahakama imeshindwa kabisa kusimamia Haki, ushahidi wa Upande wa utetezi...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tribute to Silent Heroes & Heroines: Hongera “Idara” Kuhudumia Wastaafu Wake Till D-Day!”. Je Huu Sio Ubaguzi?!. Why Only Some but not All of Them?!

    Wanabodi, Hii ni makala ya Jumapili iliyopita. Naendelea na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", leo ikiwa ni makala ya Tribute to certain Silent Heroes and Heroines, na kuipongeza “Idara” kwa kuwahudumia wastaafu wake hadi mwisho!” kifoni, lakini nina swali, nikiamini binadamu wote ni...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nimevutiwa na mpango wa CHADEMA wakukusanya rasilimali na kuboresha makazi ya akina Lingwenya, Azory na wengine wanaougulia machungu

    Nimefanikiwa kukutana kijiweni na baadhi ya viongozi wa Bavicha wakiwa Mwanza nakujadiliana nao kuhusu mikakati Yao ya muda mfupi katika eneo la kusaidia jamiii wakasema wanalo wazo soon litamature na Kuanza utejelezaji. Mawazo Yao yamejikita kufanya haya Kwa jamiii 1. Familia ya Azory GWANDA...
  17. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Idadi ya Wamasai inaongezeka. Je, idadi ya nyumbu na wanyama wengine haiongezeki? Kwanini Wamasai wasiongezeke, wao sio binadamu?

    Eneo la hifadhi ya Ngorongoro ni zao la mkataba kati ya Serikali ya kikoloni ya Uingereza na viongozi wa kimila wa jamii ya kimasai na makubaliano yalikuwa ni kwamba, wananchi wenyeji wa Ngorongoro waondoke eneo la Serengeti na wasirudi tena waende Ngorongoro Mkataba wa Serikali ya kikoloni ya...
  18. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Vijana wengine Watatu wasadikiwa kupotea mikononi mwa Polisi

    Hizi taarifa zinazidi kutisha na kuumiza, Gazette la Mwananchi Online limeripoti kupotea kwa vijana watatu tangu tarehe 24/12/2021 Hadi Leo huku Jeshi la POLISI likishindwa kabisa kutoa maelezo ya wazi. My take: Huu utani POLISI wanaofanya kwa maisha ya Watu sio mzuri; walipotezwa Watu miaka ya...
  19. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Hapo zamani, unakumbuka nini?

    Mwaka wa baraka
  20. MC44

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa Serikali kufuatia ajali iliyohusisha waandishi

    Ajali ya gari iliyohusisha gari ya serikali iliyobeba waandishi wa habari na hiace iliyobeba abiria tulitangaziwa jumla ya watu 14 walipoteza maisha 6 waandishi na 8 wananchi. Lakini leo wale waandishi 6 ndio wameagwa na waziri wao kuibuka. Tena kaka na matamko mengi na ya hovyo. Ila wale 8...
Back
Top Bottom