wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukiwa Maskini hata siku ya Kufa utakuwa nayo ni Shida tu kwa wengine

    Yaani unakuta mtu anakaribia kufa unamuuliza "sasa mzee unatuachaje?" Anasema "muishi kwa amani na upendo" Khaaaa... Amani na upendo hakuna mshiko? Mzee anakufa anawaachia Kauli tu. Maana ndiyo aliyo nayo hana mali.... Anaacha kauli na madeni.unakufa bado unawaachia shida. Si bora ungeishi...
  2. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga ukomeshe waandishi uchwara madalali wa Simba ili iwe fundisho kwa wahuni wengine

    Ni dhahiri kabisa media house imevamiwa na wahuni na inashangaza kuona gazeti likienda kuchapishwa huku likibeba habari za uongo kana kwamba hakuna mhariri. Ushauri wangu kwa Uongozi wa Yanga ni huu, ili kukomesha tabia hii ya unprofessional journalism Uongozi wa Yanga utowe tamko la Boycott...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Anasema hanitaki, lakini anaona wivu nikivusha wanawake wengine

    Muuza Kangala nina wakati mgumu sana. Maana huyu mwanamke ananichanganya. Kama miezi mitatu tulizinguana naye. Baada ya kizinguana naye mpaka leo anazingua kunipa puchi. Mimi nikivusha wanawake anamaindi, kuna siku nilivusha mwanamke ile nataka kuchapa nikasikia anapiga simu. Sasa hivi kila...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake pisi kali wana tofauti gani na hawa wengine kwenye mapenzi?

    Kumekuwa na wimbi la vijana wengi wanatamani kudate na pisi kali kila iitwapo leo. Mtupe ujuzi; je, hawa pisi kali wana ubora upi na sifa zipi ukilinganisha na hawa wengne kwenye sekta ya mapenzi?
  5. JamiiForums Tanzania Kiboko ya maendeleo ile wengine walishindwa

    Mama Samia tuokoe sisi maskini na usisahau kumkamata Biswalo ambaye katudhulumu sisi wanyonge bila makosa yoyote. Najua naye yule angekuwepo angekamatwa pia kwa kudhulumu watu uhai na pesa zao. Maskini Nimrodi Mkono kapalalyse kisa alifilisiwa na pesa yake kuchukuliwa kwenye account zake
  6. JamiiForums Tanzania Kalynda imefunga ofisi zake hapa nchini, viongozi wake hawajulikani walipo

    Kama heading inavyojieleze Kama unajua uliweka pesa zako Kaylnda sahau na utafute kazi nyingine ya kukuingizia kipato watanzania ni wagumu sana kuelewa sijui kiwakute nini ndio wakubali QNET nao walikuja ivi ivi wakaondoka na kuacha vilio kila kona now Kalynda wameaondoka na kijiji[emoji16][emoji16]
  7. JamiiForums Tanzania Diddy na weusi wengine wanakosea sana kwenye harakati zao kuhusu watu weusi. Kanye West yuko sahihi

    Hivi karibuni kuna tukio limetokea huko Marekani ambalo kwa upande wangu limenifanya nifikiri tofauti kabisa. Msanii Kanye West alishambuliwa sana kwa maneno toka kwa Black Americans kisa kikiwa yeye kusema WHITE LIVES MATTER. Ikumbukwe weusi wengi wana harakati zao za BLACK LIVES MATTER...
  8. JamiiForums Tanzania Moto unawaka, No fap Challenge (Kuzuia shahawa kutoka): Nimekaa siku 8 kujizuia kupizi napata wakati mgumu kuendelea, wengine mmeweza vipi ?

    Hii no fap challenge inahusu kujizuia kuzitoa shahawa kwa kufanya vitendo kwa mwili ama kutumia akili kuwaza, vitendo vinaweza kuwa kama sex au kujichua na akili ni pale unajenga mawazo ya kingono mwishowe unapizi, Shahawa ndipo nguvu za mwanaume zilipo kiroho, kiakili na kimwili, ukiona huwezi...
  9. JamiiForums Tanzania Ibrahim Class 'Mawe' na mabondia wengine wa Tanzania wanatakiwa kujifunza baada ya tukio alilolifanya Ibrahim

    Boxer ni mchezo ambao unahitaji umpelekee mashambulizi mwenzako ili wewe ushinde. Lakini pamoja na mashambulizi hayo, yupo refa na Masecond ambao wote kazi yao ni kuwalinda mabondia ndani ya uwanja. Lakini ni kazi ya bondia pia yeye mwenyewe kujilinda. Lakini la ziada kabisa ambalo mabondia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mabeberu: Ni haki wao kudhulumu ardhi na rasilimali za nchi zingine, bali ni dhambi kwa wengine kukaribishwa na nchi nyingine kuwa washirika!

    Mpaka leo Marekani inakalia kwa nguvu sehemu kubwa tu ya ardhi ya Syria na wanachimba mafuta huko kwa kuwatumia waasi!! Hutawasikia umoja wa mataifa ukilalamikia hilo!! Marekani iliingia Syria kwa nguvu kwa lengo la kumng'oa rais Saad wa Syria. Urusi ilialikwa na syria ili itoe msaada na urusi...
  11. JamiiForums Tanzania Bomu lalipuka karibu na msikiti na kuua wanne huku wengine wakijeruhiwa kule Afghanistan

    Hawa wagomvi kwenye hii dini sijawahi kuelewa nani hupigana na nani maana wote humpigania na kumtetea "mungu" mmoja.... Kuanzaia Somalia hadi Afghanistan, ni mabomu ya kujilipua kisa wanamtetea "mungu" wao ila wahanga ni hao hao wanao amini kwenye "mungu" huyo huyo.... At least four people have...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Asili yetu waafrika ni nini? Mbona ni watu wa ajabu na hatuonyeshi ikiwa tunauwezo wa kuwakomboa watu wetu?

    Tuko tayari kupandishwa kwenye bas na wazungu tukienda kwao, Ila sisi hatuko tayari kupunguza na kuacha uagizaji wa magari ya kifahari yanayokula kodi nyingi za watu wetu Ukiacha wazungu na wenye asili ya Kiyahudi, tuliobaki ni binadamu tuliotokana na nini? Mbona siamini nikionacho baada ya...
  13. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yatangaza wagonjwa wengine 6 wa Ebola

    Wizara ya Afya ya #Uganda imethibitisha maambukizi mapya ya Ugonjwa wa Ebola baada ya kulipuka kwa ugonjwa huo na kuua mtu moja mwenye umri wa miaka 24, mwanzoni mwa wiki hii eneo la Mubende. Aidha, mamlaka inafuatilia vifo vya watu wengine saba kikiwemo cha mtoto wa mwaka mmoja kujua kama...
  14. JamiiForums Tanzania Tigo Tanzania ni wezi kama wezi wengine tu

    Laini mpya kabisa. Nimeweka salio la elfu mbili na sijaitumia kabisa. Baada ya wiki mbili hela yote imepotea. Wiki nzima nawafuatilia mwisho wanasema ulijiunga na huduma kadhaa. Nawaomba wanitumie uthibitisho wamekaa kimya kwenye Facebook page yao.
  15. JamiiForums Tanzania Barbara Gonzalez awa makamu wa rais caf pamoja na wenzake wengine 10

    RAIS • Ahmed Yahya MAKAMU WA RAIS (WAPO 11) 1• BARBARA GONZALEZ 2• Maclean Cortez 3• Djibrilla Hamidou 4• El Hajoui Hamza 5• Sekou Sylla 6• Shehu Dikko 7• Ransford Abbey 8• Alim Konate 9• Mohamed Yonis 10• Muwanda Haruna 11• Mokhosi Mohapi MSHAURI • Desmond Maringwa
  16. JamiiForums Tanzania Mapigano yazuka kati ya walinzi wa mpaka wa Kyrgyzstan na Tajikistan

    Siku zote Urusi amekua akikingia kifua Armenia, na yupo hadi na base pale, ila ilipobainika Urusi hana chochote cha maana kwenye medani za vita baada ya aibu anayopata Ukraine, ghafla Azerbaijan wakaanza kuchakaza Armenia. Na mtanange haujaishia hapo, kunao hawa Kyrgyzstan na Tajikistan...
  17. JamiiForums Tanzania Inonga ndiyo Mkongo pekee aliyeitwa Timu ya Taifa je, hawa Wengine wasioitwa ni Wakongo kweli?

    Pongezi nyingi kwa Klabu ya Simba kuweza kutoa Mchezaji wake ( Beki tegemeo ) Henock Inonga Baka na Mchezaji husika kwa kuweza Kuitwa hivi majuzi tu katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Congo DR. Kuna Timu Moja nchini Tanzania ( kwa sasa nimeisahau ) imejaza Wakongo wengi kama Wanamuziki wa Zaiko...
  18. JamiiForums Tanzania Utofauti wa Mwafrika na watu wengine hauko kwenye rangi tu, hata akili. Mtu mweusi kapunjwa akili

    Habari! Mpaka leo natafakari hivi ni sababu za Kijiografia ndizo zimepelekea utofauti huu mkubwa wa akili baina ya Mwafrika na mtu mweupe? Sometimes nahisi ni sababu za kibaiolojia (genetic factors) ndizo zimeweka mstari wa akili kati ya Mwafrika na mtu mweupe? Narudi mezani napata jibu ni...
  19. JamiiForums Tanzania Malema na Waafrika wengine wanaoonyesha chuki zao kwa mwendazake Malkia Elizabeth ni wavivu wa kufikiri

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Ninaandika nikionyeshwa kusikitishwa sana na matamko yanayotolewa na watu mbalimbali hasa wanasiasa maarufu wa kiafrika kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth wa Uingereza. Julius Malema wa SA pamoja na watu wengine wameonyesha chuki zao kwa hoja za mambo...
  20. JamiiForums Tanzania Upende usipende Dunia itakufundisha kutokudharau wengine

    Anaandika, Robert Heriel Vijana wenye Dharau na kiburi mnawaona Watu wazima wenye age 45-70. Msiwaone wapole😂😂 msiwaone Kama wamezubaa 😊 Walikuwa wanaringa Kama ninyi, walikuwa na Dharau na kiburi Kama ninyi. Ila Dunia imewafundisha, somo limewaingia. Ujana maji ya Moto wahenga walishasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…