Urusi inataka kufukuzia vijana wengine mitaani baada ya kundi la kwanza kubuma - mobilization

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,751
48,400
Warusi wanaendelea kutumika kama vipande vya nyama za kutumbukizwa kwenye "meat grinder", makundi baada ya makundi wanapelekwa na kufyekwa Ukraine, sasa habari zimeanza kujitokeza kuwa Urusi inataka kurudi mitaani kufukuzia vijana wengine wapelekwe wakafie Ukraine.
===============

An advisor to Ukraine's Minister of Interior Affairs has publicly announced that Russia is preparing for a second wave of mobilization in the country.
 
Putin anatuabisha washabiki wake. Tunahoji lipoti tatu 1. Kwanini superpower inashindwa kuiteka kyiev?. 2. Ule msafara uliokuwa unaenda kyiev umefika wapi? 3. Kuwapeleka vitani wasio na ujuzi inamanisha nini kwa superpower?. Nataka majibu kwa warusi wenzangu wa Gongo la mboto, Buguruni, Tandale, Kawe na ubungo.
 
Madereva wa msafara lazima wachimbe dawa, usitupelekeshe....

107022555-1646096113384-gettyimages-1238835924-up_russians_invade_ukraine_08_feb28_2022_maxar.jpeg
 
Mwambieni akosee njia ashambulie kakijiji ndani ya kataifa ka NATO ndio afutwe kabisa, wanamtamani sana, ile siku kifaa cha Ukraine cha kuzuia kombora kilitua Poland kimakosa, Urusi alikua wa kwanza kulia lia wasije wakamsingizia.....hehehe
Si wangemsingizia tu kama walivyofanya Kwa Sadam Hussein huko Iraq?
NATO na Urusi wanaogopana,Huo ndio ukweli mchungu!
NATO si Waweke no fly zone Ukraine kama ambavyo Zelensky ameomba mara nyingi Toka mwanzo wa SMO?
Au hao US na NATO wampe Ukraine silaha za kupiga Moscow!
Kwanini mnalazimisha Urusi apige nchi za NATO,kwanini wanaomdhamini siiaha Ukraine wasiingie front iwe vita kamili dhidi ya taifa Moja Russia?
 
Warusi wanaendelea kutumika kama vipande vya nyama za kutumbukizwa kwenye "meat grinder", makundi baada ya makundi wanapelekwa na kufyekwa Ukraine, sasa habari zimeanza kujitokeza kuwa Urusi inataka kurudi mitaani kufukuzia vijana wengine wapelekwe wakafie Ukraine.
===============

An advisor to Ukraine's Minister of Interior Affairs has publicly announced that Russia is preparing for a second wave of mobilization in the country.
Unateseka sana mbwa wewe.sijui kama unapata hata usingizi
 
Si wangemsingizia tu kama walivyofanya Kwa Sadam Hussein huko Iraq?
NATO na Urusi wanaogopana,Huo ndio ukweli mchungu!
NATO si Waweke no fly zone Ukraine kama ambavyo Zelensky ameomba mara nyingi Toka mwanzo wa SMO?
Au hao US na NATO wampe Ukraine silaha za kupiga Moscow!
Kwanini mnalazimisha Urusi apige nchi za NATO,kwanini wanaomdhamini siiaha Ukraine wasiingie front iwe vita kamili dhidi ya taifa Moja Russia?

Saddam alikua mwarabu wenu hivyo kumsingizia na kumpiga kama mbwa haikua kazi, ila wazungu kwa wazungu panakua na ukakasi kusingiziana.
 
Hivi ukiwa mkweli hata siku moja hutapoteza nini?? Hivi una habari taifa la Urusi linachukulia vipi suala la usalama wa taifa lao hasa linapo tishiwa na taifa hasa la Amerika - wanakuwa kitu kimoja hasikudanganye mtu, hasa hasa hizi popaganda za kishenzi za mataifa ya magharibi eti Warusi wanavaa nguo za kike kukwepa kujiunga na jeshi - ulaghai mtupu, wanao kacha kujiunga na jeshi ni Waukraine sio Warusi - nimeona wanajeshi wa Urusi 300,000 waki-pass out baada ya mafunzo ya kijeshi, sasa hizi habari zako za kutunga unazipata wapi 98% ya Warusi wana muunga mkono Putin kwa sababu wanajua sana kilicho kuwa kinaendelea huko Ukraine Putin kawa wahi na kuwata ngebe, nani ambaye hajui kwamba mataifa ya magharabiri specifically thw USA wanaitumia Ukraine kujaribu kudorosha/hujumu uchumi wa Urusi na kujaribu kuidhoofisha Urusi kujeshi

Russians are no fools - they know Ukraine inapigana a proxy war on behalf of US and UK lakini Warusi Watawashinda tu na kuwadhalilisha kama ilivyo kuwa kwenye early 1900s Amerika na Uingereza hawaja anza leo, someni historia sio mnakimbilia kilahumu tuu - Kwa taarifisa yako Russia is now getting started- mataifa 41 yanapigana na Urusi indirectly, we subiri baada ya kutandikwa kweli kweli utawasikia wakilia lia eti Urusi inatumia nguvu kupita kiasi - siku hiyo inakuja - nyie subirini na mgojera zenu za kuizodoa Urusi. zenu.
 
Hivi ukiwa mkweli hata siku moja hutapoteza nini?? Hivi una habari taifa la Urusi linachukulia vipi suala la usalama wa taifa lao hasa linapo tishiwa na taifa hasa la Amerika - wanakuwa kitu limoja hasikudanganye mtu, hasa hasa hizi popaganda za kishenzi za mataifa ya magharibi eti Warusi wanavaa nguo za kike kukwepa kujiunga na jeshi - ulaghai mtupu wanao kacha kujiunga na jeshi ni Waukraine sio Warusi - nimeona wanajeshi wa Urusi 300,000 wakj-pass out baada ya mafunzo ya kijeshi sasa hizi haari zako za kutunga unazipata wapi% ya Warusi wanamuungakino kwa sababu wanajua sana kinacho ebdelea huko Ukraine,mataifa ya magharabiri wanaitumia Ukraine kujaribu kudorosha uchumi wa Urusi na kujaribu kuidhoofisha Urusi kujeshi - Russians are no fools - they know Ukraine inapigana a proxy war on behalf of US and UK lakini Warusi watawasjinda tu na kuwadhalilisha - kwa taaroga yako Rissia is now getting started- mataifa 41 yanapigana na Urusi inderectly utawasikia wakilia lia eti Urusi inatumia nguvu kupita kiasi - siku hiyo inakuja - nyie subirini na mgojera zenu.

Warusi wanaikimbia nchi yao kwa jinsi wanalazimishwa kwenda kufia Ukraine kwa vita ambavyo havina tija yoyote kwa nchi yao, wewe unateseka hapa kwa kuandika liinsha ambalo umejaza paragraph moja hata hujui kuzingatia uakifishaji.
 
Kumbuka huyu bondia Nikolai valuev alishakufa kitambo maiti yake imeliwa na ndege wiki nzima kutokana na ukubwa wake.
Russian wanatakiwa wamshambulie Putin na kumuondoa ikulu faster sana
View attachment 2433498
 
Si wangemsingizia tu kama walivyofanya Kwa Sadam Hussein huko Iraq?
NATO na Urusi wanaogopana,Huo ndio ukweli mchungu!
NATO si Waweke no fly zone Ukraine kama ambavyo Zelensky ameomba mara nyingi Toka mwanzo wa SMO?
Au hao US na NATO wampe Ukraine silaha za kupiga Moscow!
Kwanini mnalazimisha Urusi apige nchi za NATO,kwanini wanaomdhamini siiaha Ukraine wasiingie front iwe vita kamili dhidi ya taifa Moja Russia?
Marekn ina majimbo sio chini ya manne yenye uchumi mkubwa kuliko Urus , budget ya jeshi marekan ni sawa na GDP ya urus

Alafu uweke Nato yote combined?? Ache bange wewe
 
Nimeshangaa sana kuona majeshi ya Putin yanachakazwa kiasi hiki, pamoja na kutumia maguvu na ghalama kama zote lakini bado wanaendelea kuchakazwa tu.., nazidi kuamini kwamba vita ni zaidi ya tuijuavyo

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom