wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tulia Akson: Kazi zote huwa za mfalme(Rais), wengine tunamsaidia

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema ana imani mahakama itamsaidia Rais katika eneo la utoaji haki. Dr. Tulia amesema kuna watu hawaelewi kama mhimili wa mahakama nao unafanya kazi ya kumsaidia Rais. Dr. Tulia amesema anaamini watu huwa wanasoma vitabu vya dini, ambapo...
  2. JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa kwa Membe kutokudhuria pia Bashiru, mke wa Magufuli na wengine wengi hawajahudhuria

    Membe hakupata kuhudhuria wala kumlilia Magufuli kwenye kifo chake jambo ambalo mke wa Magufuli naye hajafanya kuhusu kifo cha Membe. Ikumbukwe, wanazi wote wa upande wa Membe hawakuhudhuria ima ibada ama kuagwa kwa JPM vivyo hivyo wanazi wa JPM ukimwondoa (double agent Makonda)...
  3. JamiiForums Tanzania Duniani wawili wawili; Hawa ndio mastaa wanaofanana hapa Bongo

    1. Ally Kamwe na Privaldinho 2. Beka Flava na Mayele Ongeza na wako.
  4. JamiiForums Tanzania Simba wamekuwa wazururaji wengine wanakamatwa, Wananchi tuwe makini

    Napenda kutumia nafasi hii kuwaasa wananchi wachukue tahadhari kwani Simba wamekuwa wazururaji tena hawana lengo wala shughuli yoyote ya maana wanayofanya mjini na wakati mwingine wanaweza kuwadhuru bila sababu yoyote. Simba hao wenye hasira kali ambayo haijafahamika chanzo chake wamekuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hii dunia wapo wanao ishi, wengine tunaishia tu

    Wakuu hii dunia kuna watu wanafaidi asee, hii pesa yaani mane,mavumba au madafu yanatunyima vingi sana. Cheki huu mjengo ambao ameureview Supercarblondie.
  6. JamiiForums Tanzania Elewa hivi ili usiwakatishe tamaa wengine ili ujisikie vizuri/ uonekane bora

    Kila mtu anamkatisha mwengine tamaa kwa namna moja au nyingine. Lakini ni juu yetu kupunguza hizo tabia, na kuruhusu wengine wawe bora zaidi. Unapoona mtu anajitahidi, usimshushe chini. Angalia maneno yako unayoongea. Maneno yako ni kioo cha akili yako. Inaonesha akilini mwako umejaza nini...
  7. JamiiForums Tanzania Wenye akili au wanaotumia akili huwa wanakufa haraka kuliko hawa wengine

    Usibishe. Angalia watu wenye misimamo mikali, wenye akili nyingi na majasiri. Hawaishi sana. Hufa mapema. Waliowahi fanya mambo makubwa au harakati kubwa duniani wengi walikufa mapema. Walikufa kwa natural death au kuuawa. Soma history usibishe. Angalia wapigania uhuru na mageuzi wa Africa...
  8. JamiiForums Tanzania Tukubaliane: Wanaohubiri kwenye mabasi, masokoni na njiani ni Omba omba kama ombaomba wengine

    Bila kupepesa macho au kumung’unya mung’unya maneno lets keep it one thousand. Hawa watu wanaohubiri kwa maspika, kwa makelele iwe masokoni,njiani au kwenye mabasi au wale wanaoimba gospel barabarani kisha kuweka bakuli au kuomba sadaka ni omba omba tu kama omba omba wengine. Na Wala hawapo...
  9. JamiiForums Tanzania Kufuru ya wanadamu inapotaka kubadili sayansi ya Mungu

    Ujinga wa Elon Musk ni pale pesa yake inaweza kubadili sayansi ya Mungu. Elon Musk ana mkakati kabambe wa kuhamishia makazi yake kwenye sayari ya Mars na tayari tunaambiwa Huko mji umeshaanza kujengwa Mungu ametupa Dunia Moja tu kuwa sehemu bora kabisa ya kuishi, tumeichafua na kuinajisi kwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kama Mwalimu anaweza safiri mpaka mkoa mwingine kwenda kuipigia kura CCM, tutegemee nini kwa wananchi wengine?

    Habari Jf ,Ni aibu kuona nchi kama Tanzania baada ya miaka 60 ya Uhuru bado ina changamoto nyingi sana ambazo hazitakiwa kuwepo ,kibaya zaidi bado CCM inaendelea tu kuwepo madarakani. Kwa kifupi CCM haitakiwi kuendelea kuongoza hii nchi kutokana na muda iliopata lakini haifanikiwa kuondoa...
  11. JamiiForums Tanzania Nina kipato kwa mwezi nataka gari wewe unaleta kujua. Wengine hawataki ushauri ni maelekezo

    This is mei dei. Happy birthday dear workers world wide. Kwa wasiojua siku hii inazingatiwa na international labour organization- ILO. Niende kweny point yangu. Nilianza kuhangaikia maisha long ago. Age is so so so going fast. Nyumba yangu ya kupunzikia sio kulala. Ninayo. Watoto yesu...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Uking'atwa na mbu panawasha na wengine hawawashwi?

    Wana JF! Naombeni kujua kwanini Kuna mtu aking'atwa na mbu anawashwa na mwingine hawashwi..??
  13. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wengine hawajitambui Kabisa

    Nimemsikia mjinga Mmoja kupitia Uhuru Fm anamlalamikia Kijana Mlinda mlango Ally salumu eti hawezi kudaka mechi kubwa yaani , kuongea ongea tu mfano wa walevi.
  14. JamiiForums Tanzania Maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee

    Daaah, ngoja niteremke moja kwa moja kwenye point,, Simba alipokuwa cafcl maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee na sahivi niwasikie, NASEMA HADI FA HAMTAPATA YAANI MTAKANDAWA POTE POTE MKIVUKA AZAM FC MNAKUTANA NA MWENYE KUU YA JANGWANI YAANI MTAPOTEANA MPAKA MSEME JINA LA UTOTO LA...
  15. JamiiForums Tanzania Arusha flood nadhani imewachukua watu wengine leo. Video

  16. JamiiForums Tanzania Kwanini 'Mahausigeli' wengi ni wepesi Kushika Mimba tofauti Wanawake Wengine?

    Ushauri wangu kama uko Nyumbani na una Housigeli ambaye ama Wewe Baba Unambandua au Mwanao Anambandua au Nduguyo hapo Kwako na hata Shemeji yako Anambandua tafadhali tumia Condom au Waambie Wavae mpira kwani Mtafiti Huru GENTAMYCINE nimegundua Mahausigeli wanaongoza kwa Kushika Mimba kwa haraka...
  17. JamiiForums Tanzania Jamii ya Kitanzania inatuchukulia simple sana sisi walinzi, wengine tuna elimu zetu na fedha tunazo

    Hello! Inachekesha sana. Hivi kweli unanipa buku sijui jero kisa Mimi mlinzi. Mimi sio mlinzi ombaomba, na ni mwiko kwangu kumwomba mteja fedha, awe mteja wa ndani au wa nje ila mteja akinipa fedha siiachi. Nina gari, nyumba nzuri na mshahara laki 7.6 na posho ya chakula, overtime na zingine...
  18. JamiiForums Tanzania Wachaga tupe siri na sisi wengine

    Hellow africa Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu 🙄🙄🙄 Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nikiona watanzania wanateseka wanakaa wiki kwasababu ya ubovu wa barabara wengine barabara inapita juu ya maji inauma sana

    Magari ya abiria na mizigo yamekwama kwenye barabara ya kutoka Handeni-Kilindi-Kiteto-Kongwa na wengine kiketo -kondoa. Ndani ya nchi moja wengine wanajengewa barabara kupita juu ya maji (ziwa Victoria) Km 3.2 kwa gharama ya Ths. 700 Bilioni wakati kuna njia mbadala kuna vivuko. Uwanja wa ndege...
  20. JamiiForums Tanzania Haya mabadiliko ninayaona peke yangu ama nanyi wengine mnayaona?

    Kila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana. Kuna siku niliiona pale Pestana Dodoma majamaa wameshiba na miili imejengeka vyema, wamevaa vipens vifupi hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…