Ni muhimu kujua makosa ili usiyarudie/usiyafanye.
Ukishaondoa makosa, kinachobaki ni vitu vizuri. Pia kuna makosa yatakayomfanya mwanamke wako kupoteza mvuto kwako. Ataanza kujitenga nawe. Nawe utaanza kulazimisha penzi mwisho wa siku anakublock, anakunyima penzi au anakuchunia kabisa.
Hivyo...
Wakuu kwema?
Habari hapo kwa majirani ni mzee Odinga anadai alishinda uchaguzi na anasema ataitisha maandamano makubwa ya kwenda kumtoa Ruto Ikulu
Uchaguzi ulikuwa wa wazi na matokeo yote yaliyotoka vituoni na kusainiwa na mawakala wa pande zote yote yalikuwa uploaded online
Na kama kuna wizi...
Ukichunguza sana watu wengi wanaotumia mtandao wa Twitter wengi ni wajinga tena sana. Kujifanya mjuaji ni moja ya sifa ya kuwa wewe ni mjinga.
Sasa naona na huku JamiiForums kuna watu wanajifanya wajuaji na kuleta mambo ya Twitter kuyaleta huku please tuko uku kwa lengo moja kupata elimu sio...
Najua kwa haraka haraka mtafikiria kunijibu kwamba "Mwajiri hawezi fikia mafanikio ya Mo ai Bakhresa" ....vuta pumzi tulia!! Hao kina Mo watoe akilini mwako maana wapo kundi tofauti kabisa ni wafanyabiashara waliofikia mafanikio ya biashara zao kujiendesha hata wakiwa wamelala.
Mtu mwenye ajira...
Habari,
Ukisikiliza nyimbo nyingi za Injili, ukisikiliza maombi ya wakristo wengi au ukisikiliza ibada za shukrani hukosi kusikia neno "Sikustahili."
Mtu kapata division one anatoa sadaka huku akilia anasema hakustahili, akiolewa, akioa, akinunua hata pikipiki au gari used mtu husema...
Habari wanajukwaa,
Moja kwa moja kwenye mada.
Wanawake wenye mafanikio kiuchumi huwa hawadumu kwenye ndoa na wengine huwa hawaolewi kabisa japo wanapenda kudate na wanaume (vijana) wasio na pesa nyingi wakiwahudumia kwa kila kitu na wakizingua wanawatimua.
Hasa watumishi ndiyo wanaongoza kuwa...
Ukweli usemwe.
Kila ninachosema nina ushaidi nacho kwenye familia kuna watu wamejiajiri na wengine wameajiriwa.
Siku nikamcheki aliyeajiriwa ili anikopeshe kiasi fulani akaanza kunambia mambo magumu labda ngoja mwisho wa mwezi sema na hapo mademu mengi. Dukani wananidai kama 100k kwa daah...
Jeshi la Magereza ni kama limesahaulika hivi au ndio mimi sijui?
Askari magereza wengi hasa wa vyeo vya chini maisha yao ni duni sana kwanzia kazini mpaka huku uraiani tunapoishi nao.
Kwanza wengi wao uniform zao ni zimechakaa na kupauka tofauti sana na majeshi mengine.
Pili makazi yao duni...
Utafiti wa KNBS umeonesha kua asilimia 46.7 ya wanaume ambao wana nyumba hawana ELIMU rasmi, ikilinganishwa na asilimia 32.2 ambao wamepita shule ya upili.....
Kulingana na utafiti huo Hilo linatokana na kwamba wasomi wengi huishia mijini kusaka ajira na kuishi nyumba za kupanga huku wenzao...
1. Ili upate Ajira Serikalini Kipaumbele uwe mwana CCM.
2. Ili upate Uteuzi wa Kiutendaji (katika Mashirika) lazima uwe mwana CCM.
3. Mkiwa Vyuo Vikuu pakitokea tatizo kuhusu Pesa za Bodi ya Mikopo mkisema tu nyie pia ni wana CCM mnashughulikiwa haraka.
4. Ili upate Ajira TISS (narudia tena...
WANAOJIFANYA WANAIKUBALI NDOA WENGI WAO NI MAKATILI NA WATESAJI WAKUU.
Anaandika, Robert Heriel.
Kuhani.
Ndoa ni nzuri. Ndoa ni tamu Sana. Ndoa inahitaji upendo wa kweli, sio huu upendo wa kinafiki nafiki. Pamoja na uzuri WA ndoa lakini ndoa sio lazima ikiwa hakuna Upendo WA kweli. Mambo ya...
Duh
===
"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya
Hellow
Kataa kubali wanaume wengi wanapenda taarabu sema kwasababu tu ya jamii ilivyo mjengea mwanaume kuishi ndiyo ina mpa shida kushow love kwenye mziki huu.
Na hili nimeliona kwenye sauti za busara wanaume tulikuwa wengi sana kuliko kawaida.
Na hata Dogo Janja juzi kapost kwenye wasp...
Lugha ni moja ya vyanzo vikuu vya mawasiliano kati ya watu wa tamaduni tofauti, na ufahamu wa lugha unasaidia katika mawasiliano kati ya pande husika.
China ni nchi ambayo imejikita katika uwekezaji katika nchi za nje, na hivyo ufahamu wa lugha hiyo ni moja ya vyanzo vya ajira katika nchi...
Ndugu ujambo
Humu ndani kila mtu amejiunga akiwa na lengo lake, wapo waliojiunga na malengo yao yakatimia na wapo ambao wamejiunga hayajatimia bado lengo lao.
Kundi la kwaza ni wale waliojiunga kwa lengo la kupata kazi kutokana na shuhuda za watu mbalimbali ambao walipata michongo kupitia JF...
Mfano unakuta Mtu kaajiriwa analipwa 600k
Anafanya Kazi 8--9 hours
Anamiliki nyumba vyumba 3 na choo cha nje
Ana Ist used ya Mwaka 2005
Kaoa ana watoto 2 au 3
Basi utaanshangaa huyu Mtu akimcheka
Kijana bodaboda
Ambaye Hana nyumba Wala gari
Ambaye hajaoa
Sasa huyu kijana bodaboda hutumia...
- Tanzania kuna mifuko ya hifazi ya Jamii miwili:-
1. NSSF ( huu nikwa wafanyakazi wa sekta binafsi na sekta zisizo rasmi )
2. PSSSF ( huu nikwa wafanyakazi walio ajiriwa na serikali pekee )
Mafao ni haki ya kila mwanachama wa mfuko, pindi anapo pata Janga la aina yoyote mfano uzee, kukosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.